JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 26 of 26
  1. snail's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2012
   Posts : 421
   Rep Power : 509
   Likes Received
   98
   Likes Given
   56

   Default Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

   Ningependa kufahamu kama mtoto anapopata maambukizi ya ukimwi toka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa anaweza kuishi na virusi vya ukimwa kwa muda gani hususa ni akiwa anatumia ARVs.


  2. Myakubanga's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Location : Dynamic
   Posts : 5,618
   Rep Power : 1220851
   Likes Received
   1036
   Likes Given
   1051

   Default

   Quote By Mamndenyi View Post
   nawashangaa tena mnaniacha hoi,
   kwani uzi unasemaje? .......Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?............. hiyo ya kusema we are all on the way na mimi najua pia,
   lakini nilikuwa kwenye thread shosti.

   mi naona mnataka kuniparua
   kama vipi mwambieni aondoe huu uzi.

   muwe mnasoma na topic za wenzenu muelewe, ulitaka nijibu je?
   Dada Mamndenyi,ulivyo jibu kwa kusikitika,huku ukisema eti unasikitika kwani "yupo on the way" ni dalili ya unyanyapaa eti!
   Kujikwaa si kuanguka dada mkubwa!

  3. BHULULU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 4,729
   Rep Power : 30863
   Likes Received
   1487
   Likes Given
   1183

   Default Re: Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

   Quote By Mamndenyi View Post
   i was replying this " Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?
   Hata mimi najua hivyo,ila ulinyanyapaa

  4. Myakubanga's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Location : Dynamic
   Posts : 5,618
   Rep Power : 1220851
   Likes Received
   1036
   Likes Given
   1051

   Default

   Quote By Mamndenyi View Post
   lakini nilikuwa kwenye thread shosti.
   Hivi na sie wanaume twaruhusiwa kuitwa 'SHOSTI' eeh!!

  5. ng`wana ong`wa kulwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2013
   Location : amanile nina
   Posts : 1,986
   Rep Power : 86978572
   Likes Received
   1351
   Likes Given
   2

   Default Re: Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

   Quote By Mpenda Yesu View Post
   Dada Mamndenyi,ulivyo jibu kwa kusikitika,huku ukisema eti unasikitika kwani "yupo on the way" ni dalili ya unyanyapaa eti!
   Kujikwaa si kuanguka dada mkubwa!
   jamani mbona mnamshambulia sana huyu dada tatizo letu waswahili mtu tumezoezwa kuzunguka mtu akisema direct anaonekana ananyanyapaa mlitaka asemeje anaishi kwa matumaini au? hata mimi nilikuwa na mtazamo kama wengi wanavyotazama nilikuwa nchi mmoja Ulaya tukiwa tunaona wagonjwa DK.akamwambia mgonjwa kuwa atakufa si muda mrefu wajiandae tu na process za mazishi....nilimuona yule DK.kama kapungukiwa busara nilipouliza nikaambiwa kipi kizuri huyu mtu, ni kweli anakaribia kufa si bora aambiwe ukweli ndugu zake wajiandae mapema au kumdanganya atapona wakati hali ilikuwa dhahiri atakufa alikuwa na kansa akiwa kwenye hali mbaya sana........hata tukishutumu mimi mwenyewe najua nitakufa siku moja,wengi hawautaki ukweli huu lakini ndo hivyo kila nafsi lazima ionje mauti tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.

  6. Rubi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2009
   Posts : 1,602
   Rep Power : 907
   Likes Received
   245
   Likes Given
   197

   Default Re: Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

   Ki-ukweili mimi naona kama mmemtafsiri vibaya Mamdenyi, nilichomuulewa ni kuwa mtoto anapozaliwa na VVU unakuwa unajua kabisa kuwa maisha yake hapa duniani ni mafupi kuliko mtoto anayezaliwa mzima. Tunajua sote kuwa tuko njiani kwa kuwa kifo kimeumbwa. lakini kila mzazi tegemeo lake ni kuona mwanae aliyemzaa anakuwa kiafaya kuishi na pengine kuja kumzika mzazi na sio yeye amzike mwanaye. hapo ndio machungu yanapokuja kufikiri kuwa mwanangu muda wowote atakwenda kwa sababu ana VVU so akiugua hata homa mzazi hata kua na amani.

   Nakumbuka yule mtoto wa Afrika Kusini sikumbuki jina lake naye alikuwa ameathiriwa na VVU na vyombo vya habari vilikuwa vinafuatilia afya yake kwa karibu kila uchao, kwa kweli siku alipoaga dunia nilisikitika sana.
   Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.


  7. nameless girl's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2012
   Posts : 3,187
   Rep Power : 116735558
   Likes Received
   1049
   Likes Given
   545

   Default Re: Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

   inategemea na kinga ya mwili ya mtoto huyo, na pia kama atakua anafata ushauri wa kitabibu. Kama asipofata hayo ni rahisi kwake kupoteza maisha akiwa mdogo sana


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...