JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: jinsi ya kuongeza unene msaada

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 23
  1. kirama00's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 27
   Rep Power : 454
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default jinsi ya kuongeza unene msaada

   nisaidieni kwa hilo wakubwa


  2. Kamkuki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2011
   Posts : 897
   Rep Power : 731
   Likes Received
   97
   Likes Given
   536

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Kula hovyo hovyo bila mpango nayo inasaidia

  3. kirama00's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 27
   Rep Power : 454
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Kamkuki View Post
   Kula hovyo hovyo bila mpango nayo inasaidia
   asante nashukuru kwa ushaur mkuu

  4. mbaraka.m's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th October 2011
   Posts : 210
   Rep Power : 558
   Likes Received
   32
   Likes Given
   45

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Lala sana,kula sana,kunywa vitu vyenye sukar kama soda,pata vitu baridi kama maji,usifanye mazoezi,kuwa mvivu etc

  5. mbaraka.m's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th October 2011
   Posts : 210
   Rep Power : 558
   Likes Received
   32
   Likes Given
   45

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Pata vyakula vyenye mafuta kama nyama ya mafuta,kula ngozi ya nje ya kuku,blue band,uji wa ulezi etc


  6. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,484
   Rep Power : 429504381
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Mkuu.@kirama00 Kabla sijakupa ushauri wangu wewe kuwa mnene nauliza maswali yangu ninakuomba unijibu una miaka mingapi? una kilo ngapi? Je wewe ni Mke au mume?Umeowa au umeolewa ?ninaomba unijibu ndio ninaweza kukupa ushauri ili uweze mnene asante.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  7. Nonda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th November 2010
   Location : Gongo La Mboto
   Posts : 9,652
   Rep Power : 82018355
   Likes Received
   2112
   Likes Given
   724

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Quote By kirama00 View Post
   nisaidieni kwa hilo wakubwa
   Umeshatembelea sehemu/mabanda ya kufugia nguruwe?
   Kaangalie huko,wanakulaje? wanakula nini?

   Huo wembamba wako umeupataje?

   Utapata msaada zaidi kwa kujibu maswali aliyouliza Mzizi.

  8. Zero One Two's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2007
   Posts : 9,399
   Rep Power : 16999
   Likes Received
   2955
   Likes Given
   11111

   Default

   MziziMkavu hata mie nataka niwe mnene mkuu.
   Mie nina 65kg.
   Umri 25 - 31 years.
   Ni mwanaume.
   Sijaoa ila nipo na mpango wa kuwowa..
   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu.@kirama00 Kabla sijakupa ushauri wangu wewe kuwa mnene nauliza maswali yangu ninakuomba unijibu una miaka mingapi? una kilo ngapi? Je wewe ni Mke au mume?Umeowa au umeolewa ?ninaomba unijibu ndio ninaweza kukupa ushauri ili uweze mnene asante.

  9. Mwana Mtoka Pabaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2012
   Posts : 5,101
   Rep Power : 2474
   Likes Received
   2487
   Likes Given
   763

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Quote By kirama00 View Post
   nisaidieni kwa hilo wakubwa
   Kama ni wa kike njoo ukae nyumbani kwangu, mbona huchukui miezi miwili tayari utakuwa tinginya. Mi najua kulea bwana wacha mchezo
   Kama kweli bakora zinafundisha basi punda angekuwa profesa!

  10. Mwana Mtoka Pabaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2012
   Posts : 5,101
   Rep Power : 2474
   Likes Received
   2487
   Likes Given
   763

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Quote By mbaraka.m View Post
   Pata vyakula vyenye mafuta kama nyama ya mafuta,kula ngozi ya nje ya kuku,blue band,uji wa ulezi etc
   Au abebe mimba eti?

   Ila hiyo itadumu kwa miezi 9 tu
   Kama kweli bakora zinafundisha basi punda angekuwa profesa!

  11. imaney's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2012
   Posts : 1,020
   Rep Power : 664
   Likes Received
   292
   Likes Given
   741

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   mnh shindilia machips mayai kila siku utakuwa mnene,hujatuambia kama kipato chako kina afford lol unene gharama

  12. Lukolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Iringa
   Posts : 5,121
   Rep Power : 86242795
   Likes Received
   3037
   Likes Given
   2058

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Watu wanaingia gharama kubwa sana kutafuta kupunguza unene, kumbe kuna wengine wanahangaika kuutafuta. Haya maisha bwana, kitu kinakuwa na thamani usipokuwa nacho, ukiwa nacho unaona hakina umhimu. Anyway ushauri mzuri ni kwamba unene huwa hautafutwi, huwa unakuja wenyewe.
   Kama mtu alikuwa waziri au hata mkuu wa mkoa katika serikali ya Kikwete, hafai kuwa Rais wa Tanzania. Kimsingi mtu huyo ni sehemu ya uongozi mbovu na wa hovyo ulioliingiza taifa letu katika umaskini mkubwa na mdororo wa uchumi tulionao sasa. Kama mtu huyu alijua namna ya kuiokoa nchi na hakufanya hivyo, ina maana alitusaliti watanzania na hafai kuwa Rais wa nchi. Kama hakujua ni nini cha kumshauri Kikwete ili Mambo yaende sawa, ina maana hana analolijua. Je anataka awe Rais ili afanye nini ilihali hakuna alijualo?

  13. neggirl's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2009
   Posts : 4,767
   Rep Power : 11280
   Likes Received
   1945
   Likes Given
   2792

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   huu uzi ni wa kipekee!

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   Keep your day time job, Mind your own business.

  14. Sangari's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st November 2011
   Posts : 168
   Rep Power : 546
   Likes Received
   49
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By kirama00 View Post
   nisaidieni kwa hilo wakubwa
   Jibu maswali ya MziziMkavu kwanza ndo tukupe ushauri mkuu.

  15. Duduwasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 2,711
   Rep Power : 6398
   Likes Received
   576
   Likes Given
   430

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Mimi chakula changu kikuu kilikuwa Chips mayai usiku na mchana Wali Nyama kwa miaka kadhaa sikuwahi nenepa ila nilipoanza kula wali kuku na mboga zenye viungo vingi mchana na usiku morning chai ya maziwa na vitafunwa tofauti tofauti au Soup kwa kipindi cha miaka mitatu nikawa naitwa bonge niliogopa sana na nimepunguza kuku na sometime naacha kula usiku na chai huwa naipotezea sometime hadi nakijihisi nimepungua ndio nakaza buti tena so na maintain weight miaka mitatu iliyopita nilikuwa na kg 60 ila kwa sasa nina 85 nikipungua nafika 82 nacheza hapo tu sitaki kuzidi zaidi.
   Mpira ni kama Pesa Mwenye nazo akizihesabu wengine huzitizama

  16. Duduwasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 2,711
   Rep Power : 6398
   Likes Received
   576
   Likes Given
   430

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada


   Mavyakula kama haya
   Mpira ni kama Pesa Mwenye nazo akizihesabu wengine huzitizama

  17. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,484
   Rep Power : 429504381
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Quote By manoah View Post
   MziziMkavu hata mie nataka niwe mnene mkuu.Mie nina 65kg.Umri 25 - 31 years. Ni mwanaume.Sijaoa ila nipo na mpango wa kuwowa..
   Mkuu manoah mbona unanichanganya kuhusu umri wako? unasema una umri 25-31 ? nikuelewe vipi wewe? mimi nina umri wa miaka 48 nina kilo 88 ninataka

   nipunguze kilo natamani niwe kama wewe mwenyewe kilo 65 wewe unataka kuongeza kilo? hahahah kula kila siku ufuta mbichi gawa moja la mkono utanenepa uwe unakula mkate tia cheese kwa wingi. Uwe unakula vyakula vya

   mafuta kila siku, uwe unakula bila ya mpangilio maalum utanenepa lakini utapatwa na maradhi ya moyo unene sio mzuri ushauri kwa wale wanaotaka kuwa wanene ninaowanea huruma kwa matatizo yatakayo wapata baada ya kupata huo unene,


   How to Become Fat Fast in 10 DaysAs

   how there are many who want to lose weight and look trim, there are people who are desperate to gain weight and look beautiful as well. Putting on weight should be done carefully so that you

   can reduce your weight at anytime. Weight gain is a carefully handled process as that should not affect your body structure.One has two choices to increase your weight1. Increase the weight in the muscle structure properly to make the body fit. This option fits to those who have the necessity to increase the weight for personal or

   professional demands or reasons. For example, police, wrestler and so on.2. Random increase in weight to become fat. This option or choice to increase weight is chosen by people who are underweight.Here are the lists of food

   items that a person should eat to become fat in 10 days:The basic step is to increase the intake of protein in your daily diet. Start practising a couple of simple warm-up exercises daily. Add up the intake of healthy fats and more calories. Protein, fat, carbohydrates, fibre contents, vitamins and minerals intake can only increase your weight.

   Instead of following your regular schedule of 2 to 3 meals a day, divide it into 5 small meals at frequent intervals every day. The diet always differs depending on the physical work done by you. However, this diet plan is different to both men and women.If your aim is just to increase the weight but not bothered about the structure or looks, just have to eat and sleep adequately. However, this practice could lead to obesity due to unmatched weight.

   Men:Take

   2-3 raw egg daily in the morning and boiled eggs in the afternoon. Daily intake of meat will add your weight in a greater extent.

   Women:Good intake of ghee, rice, and calorie-contained food will increase the weight in women. Potato chips, cheese items, boiled items, oil content foods, pizzas, and burgers will play a major role in increasing

   the weight in greater extent.Important Tips for Men & Women:First thing to do to gain weight is eating the right amount of food each day. Take about 20 times of your body weight in calories every day.It is better to plan your meals daily as you know what and when to eat – and you don’t have to just go have it for the sake of filling your

   stomach.Keep checking your weight daily. Multiply your body weight into 20 and that is the amount of calorie that you must eat on a daily basis. So if you weigh 120 pounds and multiply it by 20, you’ll have to eat 2,400 calories everyday to gain weight fast.The intake of calorie is not necessarily be exactly 20 times of your body weight but for

   optimum results it would be the best measurement to start with. If you can add additional calories if you aren’t finding any gain in your weight.Next, pay attention to the type of food that you eat. You will end up just putting on weight instead of healthy muscles if you keep eating junk foods. In order to get muscle weight, eat healthy food, such as meat, carbohydrate rich food and healthy fat. Have an approximate calculation of this combination in your

   daily diet – carbohydrate 40%, protein 30%, and fat 30% this would be an ideal combination of healthy diet.If your body needs to receive regular stream of nutrients, you need to change to frequent or smaller number of regular meals (for example 4 to 6 smaller meals) daily instead of big 3 meals as usual. This way it will be easier to build

   muscles weight.Diet is only part of the formula, though. Any good weight gain plan also includes a weight training program. Some of the most important exercises for building muscle are bench presses, squats and dead lifts. If you don’t have these 3 big exercises in your workout program you’re wasting your time!In order to build muscle, you

   need to do 4-12 reps for each exercise. If you do more than 12, you’ll be gaining endurance, not larger muscles. If you do 2-4 reps, then you’ll improve your strength which will also help you lift heavier weights. This rep range is important and I actually include it in my workout program. But 6-12 reps is the “sweet spot” that will be greatly responsible for building muscle mass and giving you most of your weight gains.Important rule to remember while

   focusing on gaining weight is to keep your workouts short. Plan your workout only for 60 minutes or less. Longer than 60 minutes, your body begins to release a powerful catabolic hormone called cortisol, which BREAKS DOWN muscle tissue! Needless to say this is the last thing you want.Adhering to all these tips and following the methods will give you result to become fat fast and easy soon.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  18. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,484
   Rep Power : 429504381
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Quote By Duduwasha View Post

   Mavyakula kama haya
   Mkuu Duduwasha Junk food Vyakula feki hivyooooooooooooooooo
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  19. Zero One Two's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2007
   Posts : 9,399
   Rep Power : 16999
   Likes Received
   2955
   Likes Given
   11111

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   Asante ndugu MziziMkavu nitayafanyia kazi haya uliyn niambia ndugu, ila nami niwe na ka mwili kidogo, maana huu mwili nilionao watu wananiona kama mtoto vile yani, hapo unapo sema ''gawa mmoja la mkono'' una maanisha nini mkuu

  20. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 9,636
   Rep Power : 2649
   Likes Received
   1917
   Likes Given
   1001

   Default Re: jinsi ya kuongeza unene msaada

   mh wewe ni wa migombani? Kule kwenye mlima wa watalii? Maana watu wa huko unene ni dili kubwa saaaana tena sana! Hasa kwa wanawake, inasemekana heri uende huko bila pesa lkn umenenepa!


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...