JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.....

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 29
  1. squareroot's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2013
   Posts : 121
   Rep Power : 401
   Likes Received
   21
   Likes Given
   58

   Post Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.....

   huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?

  2. measkron's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 2,867
   Rep Power : 14567830
   Likes Received
   1511
   Likes Given
   3128

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Quote By squareroot View Post
   huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?
   Pole sana mkuu squareroot, Pumu huwa mara nyingi ni ya kurithi na huweza kupatwa kwa attacks kukapungua jinsi mtoto anavyokua... Kwa sasa nikushauri kuna vitu ambavyo utakuwa umeelekezwa mtoto kuwa mbali navyo kwani huweza kusababisha kupata attack, hivyo ni muhimu kuzingatia na pia kuwa na dawa ya kuvuta, inhaler, muda wote nyumbani hakikisha muda wake wa kutumika haujaisha, expired date, ili iweze kumsaidia mtoto pale anapobanwa na kifua....

  3. daisyvicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2012
   Posts : 269
   Rep Power : 450
   Likes Received
   31
   Likes Given
   21

   Default

   Quote By squareroot View Post
   huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?
   pole sana...ukubwani mara nyng haisumbui..mimi imepungua sana..japo hua napata atacks mara chache...nimeumwa toka mdogo na inatesa sana...hadi leo sikosi sulbutamol,piriton na dawa ya maji ya macho popote niendapo.mjitahidi asikae kwenye vumbi na baridi...mtafute specialist wa watoto pia..atasaidia..pole sana

  4. daisyvicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2012
   Posts : 269
   Rep Power : 450
   Likes Received
   31
   Likes Given
   21

   Default

   Quote By squareroot View Post
   huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?
   nakumbuka zamani enzi hizo kinanibana sana kuna dawa wanaeka kiini cha yai la kienyeji-ute unatolew
   asali mbichi kiasi
   pilipili manga ya kutosha
   na tangawizi ya unga
   ukilamba hii dawa inaleta jotoo kifuani and at least kule kubana na kuhema kwa shida kunapungua..unaeza ukajaribu hii...nimeguswa
   Ukwaju likes this.

  5. squareroot's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2013
   Posts : 121
   Rep Power : 401
   Likes Received
   21
   Likes Given
   58

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Quote By daisyvicky View Post
   pole sana...ukubwani mara nyng haisumbui..mimi imepungua sana..japo hua napata atacks mara chache...nimeumwa toka mdogo na inatesa sana...hadi leo sikosi sulbutamol,piriton na dawa ya maji ya macho popote niendapo.mjitahidi asikae kwenye vumbi na baridi...mtafute specialist wa watoto pia..atasaidia..pole sana
   asante sana mkuu najua ukubwani huwa haisumbui na hata kuisha kabisa maana hata mimi inasemekana nilikuwa nayo utotoni lakini sasa hainisumbui tena. najitahidi kuwa nahizo dawa home maana si unajua huwa kinaibuka muda wowote ila suala la vumbi ndio ishu kwa nyumbani naweza kucontrol huko shuleni ngumu sana.

  6. squareroot's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2013
   Posts : 121
   Rep Power : 401
   Likes Received
   21
   Likes Given
   58

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Quote By daisyvicky View Post
   nakumbuka zamani enzi hizo kinanibana sana kuna dawa wanaeka kiini cha yai la kienyeji-ute unatolew
   asali mbichi kiasi
   pilipili manga ya kutosha
   na tangawizi ya unga
   ukilamba hii dawa inaleta jotoo kifuani and at least kule kubana na kuhema kwa shida kunapungua..unaeza ukajaribu hii...nimeguswa
   Dah! asante sana nimeshanote hii. ubarikiwe sana nitakuwa naitengeneza hii

  7. Fadhili Paulo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2011
   Location : maajabuyamaji.net
   Posts : 2,909
   Rep Power : 14455
   Likes Received
   717
   Likes Given
   1956

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Ana uzito gani huyo mtoto? Pumu ni ishara ya mwili kuwa anaishiwa maji mwilini au hana maji ya kutosha mwilini hivyo ubongo unatuma maagizo kwa mapafu kupunguza matumizi ya maji, katika process ya kuishi hivyo katika upungufu huo wa maji ndipo pumu/asthma hutokea kwakuwa hewa ili isafiri bila shida huhitaji MAJI. Angalia hata maji yameundwa na hewa ndani yake (H2O).

   Sasa huyo ni mtoto wa miaka 5 usimlazimishe kunywa maji mengi ghafla, mtengenezee juice za matunda na uwe unampa kikombe 1 kila baada ya masaa 3 kutwa nzima, lakini nitajie uzito wake nitakutengenezea fomula. Tafadhari nitajie kwanza uzito wake.

   Unaweza kujifunza zaidi kuhusu Pumu/Asthma HAPA.

  8. mbaraka.m's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th October 2011
   Posts : 210
   Rep Power : 489
   Likes Received
   32
   Likes Given
   45

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Mi nilikuwa na pumu ya hatar sana.baada ya kufika miaka 15 ikapotea ghafla hadi leo nina 27 yrs.Allah akufanyie wepesi

  9. squareroot's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2013
   Posts : 121
   Rep Power : 401
   Likes Received
   21
   Likes Given
   58

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Quote By mbaraka.m View Post
   Mi nilikuwa na pumu ya hatar sana.baada ya kufika miaka 15 ikapotea ghafla hadi leo nina 27 yrs.Allah akufanyie wepesi
   Inshaallah!

  10. squareroot's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2013
   Posts : 121
   Rep Power : 401
   Likes Received
   21
   Likes Given
   58

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Quote By Fadhili Paulo View Post
   Ana uzito gani huyo mtoto? Pumu ni ishara ya mwili kuwa anaishiwa maji mwilini au hana maji ya kutosha mwilini hivyo ubongo unatuma maagizo kwa mapafu kupunguza matumizi ya maji, katika process ya kuishi hivyo katika upungufu huo wa maji ndipo pumu/asthma hutokea kwakuwa hewa ili isafiri bila shida huhitaji MAJI. Angalia hata maji yameundwa na hewa ndani yake (H2O).

   Sasa huyo ni mtoto wa miaka 5 usimlazimishe kunywa maji mengi ghafla, mtengenezee juice za matunda na uwe unampa kikombe 1 kila baada ya masaa 3 kutwa nzima, lakini nitajie uzito wake nitakutengenezea fomula. Tafadhari nitajie kwanza uzito wake.

   Unaweza kujifunza zaidi kuhusu Pumu/Asthma HAPA.
   Asante sana mkuu na uzuri wa mtt huyu anapenda sana maji na juice hivyo sio wa kumlazimisha anakunywa tu lakini pia nitazingatia ushauri wako. this boy is having 20kgs by now.

  11. daisyvicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2012
   Posts : 269
   Rep Power : 450
   Likes Received
   31
   Likes Given
   21

   Default

   Quote By squareroot View Post
   Dah! asante sana nimeshanote hii. ubarikiwe sana nitakuwa naitengeneza hii
   you are welcome..ni nzuri hata kwa kikohozi cha kawaida..

  12. daisyvicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2012
   Posts : 269
   Rep Power : 450
   Likes Received
   31
   Likes Given
   21

   Default

   Quote By squareroot View Post
   asante sana mkuu najua
   ukubwani huwa haisumbui na hata kuisha kabisa maana hata mimi
   inasemekana nilikuwa nayo utotoni lakini sasa hainisumbui tena.
   najitahidi kuwa nahizo dawa home maana si unajua huwa kinaibuka muda
   wowote ila suala la vumbi ndio ishu kwa nyumbani naweza kucontrol huko
   shuleni ngumu sana.
   muhm sana kukaa na dawa muda wote mkuu...mazingira ya shule ni ngumu kweli kukontrol asifikiwe na vumbi bt Mungu atamsaidia atasoma tu

  13. Mwanaweja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Posts : 3,549
   Rep Power : 1191
   Likes Received
   494
   Likes Given
   1097

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   asante sana kwa kushauri ninaimani ni wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ushauri utawasaidia sana

  14. adakiss23's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2011
   Posts : 1,945
   Rep Power : 16201534
   Likes Received
   493
   Likes Given
   168

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Pole. Najua ugumu unaopitia. Nilikuwa na asthma kuanzia miaka 4 hadi 10. Mimi nilipona kabisa kabisa. It was such a worst experience ever. Huwa sitaki kukumbuka kabisa. kuna mzee m1 alinitibu kwa kutumia majani fulani. Unakunywa hiyo dose kwa miezi miwili ila ina masharti fulani. Usile vitu vya sukari sukari kama soda pepsi fanta mirinda labda 7up au sprite peke yake. matunda unaruhusiwa kula ni nyanya n tango basi. Usile samaki chai yenye sukari nyingi nk. Kama uko serious nimtafute yule mzee maana ni kitambo sana sijamuona thou najua anapokaa. Anaishi tabata

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   condorezaraisi likes this.
   Brave_Hearts

  15. chilubi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 1,358
   Rep Power : 8216
   Likes Received
   284
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By squareroot View Post
   huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?
   Kuna instruction nlipewa lakini nimesahau!

   Lakini ni hivi
   Chukua karafuu saba (idadi sahih ndo nimeisahau, zitoe vile vichwa vyake, Ziroweke katika maji (glass)kuanzia usiku mpaka asubuhi. Kisha kabla ya kula chochote ama kunywa chochote kunya maji yale uloyaroeka ( excluding karafuu) then fanya ivo kwa siku 15
   condorezaraisi likes this.

  16. condorezaraisi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th September 2011
   Posts : 218
   Rep Power : 495
   Likes Received
   112
   Likes Given
   444

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Quote By adakiss23 View Post
   Pole. Najua ugumu unaopitia. Nilikuwa na asthma kuanzia miaka 4 hadi 10. Mimi nilipona kabisa kabisa. It was such a worst experience ever. Huwa sitaki kukumbuka kabisa. kuna mzee m1 alinitibu kwa kutumia majani fulani. Unakunywa hiyo dose kwa miezi miwili ila ina masharti fulani. Usile vitu vya sukari sukari kama soda pepsi fanta mirinda labda 7up au sprite peke yake. matunda unaruhusiwa kula ni nyanya n tango basi. Usile samaki chai yenye sukari nyingi nk. Kama uko serious nimtafute yule mzee maana ni kitambo sana sijamuona thou najua anapokaa. Anaishi tabata

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   Msaidie tu ndugu ukiwa unaumwa uko hiari kufata masharti yote unayopewa
   squareroot likes this.

  17. Dakile's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th February 2013
   Posts : 54
   Rep Power : 386
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By adakiss23 View Post
   Pole. Najua ugumu unaopitia. Nilikuwa na asthma kuanzia miaka 4 hadi 10. Mimi nilipona kabisa kabisa. It was such a worst experience ever. Huwa sitaki kukumbuka kabisa. kuna mzee m1 alinitibu kwa kutumia majani fulani. Unakunywa hiyo dose kwa miezi miwili ila ina masharti fulani. Usile vitu vya sukari sukari kama soda pepsi fanta mirinda labda 7up au sprite peke yake. matunda unaruhusiwa kula ni nyanya n tango basi. Usile samaki chai yenye sukari nyingi nk. Kama uko serious nimtafute yule mzee maana ni kitambo sana sijamuona thou najua anapokaa. Anaishi tabata

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   HATA MAKONGO JUU KUNA BIBI WA KISUKUMA anatibu hadi virusi, kma upo interested,panda magari ya makongo juu shuka kituo cha mashine! Uliza mtu yeyote atakupeleka hadi mlangoni

  18. alma gemela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2013
   Location : dar es salaam
   Posts : 536
   Rep Power : 482
   Likes Received
   151
   Likes Given
   32

   Default

   Quote By squareroot View Post
   huwa naambiwa ni allegy tu itaisha yenyewe je ni kweli waungwana?
   Mimi nina miaka 23 nina pumu tangu siku ya kwanza nimezaliwa wazazi wangu walijitahidi sana hata kutumia miti shamba nimekunywa dawa za kila kabila hadi mafuta ya simba nimekula
   Matokeo inatulia kwa miezi hadi mwaka basi nimekuwa nikiangaika sana hadi ilifikia kipindi sindano siogopi kwa jinsi nilivyozizoea
   Mwaka 2008 nilikutana na DR mmoja nikamwambia shida yangu mimi nilkuwa hadi natumia kipumulio kama ikinibana njiani ndio akanipa tiba ambayo ni hii
   Aliniambia kabla pumu haijakubana huo unapata dalili zipi? Nikamwambia hua nawashwa macho,pua, masikio, na koo kukereketa
   Basi akaniambia unatakiwa nijisome ndani ya miezi mitatu nitajua dalili zote za kubanwa na pumu.
   Akaniambia natakiwa nitumie cetrizen or dazit nyakati za kulala mfululizo miezi miwili alf baada ya hapo nikiwa napata reaction na hali ya hewa ndio niwe na meza au kama nataka kufanya kitu kwenye vumbi basi ninywe kwanza ndio niende ki ukweli tangu hapo mimi aminofilin nimezisahau tangu 2008 kipumulio situmii tena na nilikuwa kila mara na zimia kwa kubanwa na pumu lakini sasa sijabanwa japokuwa inakuja naiwahi natumia hizo dawa za allergy mda mwingine zinakataa mpaka nakohoa mpaka naandika hivi juzi ilinipata reaction ila nimeiwahi haijanibana
   Pumu haina tiba ila ni kujua dalil na kuziwahi mapema kwa mtoto hawezi kujisoma ila mzazi unatakiwa kuwa nae karibu pia unatakiwa usikose syrup ndani na pipi aina ya methodex

  19. Boniface Evarist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2010
   Location : MIT
   Posts : 1,081
   Rep Power : 1195
   Likes Received
   379
   Likes Given
   605

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Ni Yesu tu awezaye kuondoa kabisa pumu, tafuta huduma za watumishi wa Mungu WAKUSAIDIE kama vile Efatha, Mana n.k
   "....It was dawning on me that I was giving my son the same advice my parents had given me. The world around us has changed, but the advice hasn't...."
   ...Robert T. Kiyosaki

  20. MoneyMakers's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th February 2008
   Posts : 65
   Rep Power : 649
   Likes Received
   7
   Likes Given
   1

   Default Re: Nisaidieni tiba mbadala ya pumu (asthma) kwa mtoto wa miaka 5 nimehangaika hospitali sina hamu!.

   Pole sana Mkuu Squareroot.

   Pamoja na Michango mizuri ya Wanajamvi, nami napenda kutoa mchango wangu, nikizungumzia maelezo ya jumla kuhusu afya, na kisha kupendekeza tiba juu ya tatizo lako kama ifuatavyo:

   Wakuu, chakula kinachukua sehemu kubwa sana na muhimu katika UHAI wa mwanadamu, kama tu kitaandaliwa na kutumiwa vizuri. Iwapo kitatumiwa vibaya, kitaleta athari kubwa sana Kiafya na hata KIFO.

   Ili kuepukana na athari hizi, kila mtu anapaswa kula chakula bora ambacho kinatakiwa kuwa na mbogamboga, viazi, mihogo, magimbi, pamoja na jamii ya maharagwe na matunda (Alkaline Food) kwa wingi kwa kiasi cha 80% na vyakula vya wanga na jamii ya nyama (Acidic Food) kwa kiasi kidogo sana cha 20% ya mlo wote. Tatizo, kutokana na ama Umasikini au Mtindo wa maisha yetu tulionao sasa, tunafanya kinyume chake. Hii inapelekea miili yetu kuwa na asidi zaidi kuliko alkaline (Acidic body) na hivyo kuifanya kinga ya mwili kuwa dhaifu kiasi cha kushambuliwa na magonjwa mbalimbali kirahisi na mara kwa mara.

   Lakini pia, 90% ya magonjwa yote husababishwa na kutokufanya kazi vizuri kwa Utumbo Mpana kutokana na msongamano wa uchafu (sumu) mwilini zinazotokana na Vyakula visivokuwa na ubora unaotakiwa, Maji yasiyo salama, Kuvuta hewa zenye sumu, Mifumo ya maisha hatarishi na Matumizi ya mara kwa mara ya Madawa ya Hospitali. Hali hii hupelekea kutokupata haja kubwa vizuri (Tatizo la kukosa choo - Constipation). Sababu kubwa ya matokeo hayo ni kutokufanya kazi vizuri kwa mfumo mzima wa usagaji wa chakula. Pale ambapo chakula huwa hakisagiki vizuri hususani katika utumbo mpana basi tuelewe kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kupata maradhi mengi kama yafuatayo:

   • Saratani ya utumbo mkubwa
   • Vidonda vya tumbo
   • Shinikizo la damu
   • Kisukari
   • Kufunga na kukosa choo mara kwa mara
   • Figo kushindwa kufanya kazi vizuri
   • Matatizo ya moyo
   • Kukua kwa Tezi ya Prostrate (Prostrate gland)
   • Kiharusi
   • Ngiri
   • Magonjwa ya ngozi
   • Unene uliopindukia
   • Lehemu (Cholesterol)
   • Harufu mbaya mdomoni na hata Kikwapa

   Kuepukana na matatizo haya, pamoja na kula chakula bora, ni muhimu tukawa na DESTURI ya kusafisha mfumo wetu wa usagaji chakula mara kwa mara kwa kutumia VIRUTUBISHO (FOOD SUPPLEMENTS)

   Sasa Mkuu Squareroot, kuhusu matatizo ya PUMU, ni vyema Mgonjwa atumie virutubisho vifuatavyo kwa pamoja: SHAKE OFF PHYTO FIBER, SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, na RED YEAST COFFEE. Afya / Uhai wa mtu ni wa thamani sana kuliko kitu chochote. Ni vema wanafamilia kukaa vikao kujadiri na kuchangia gharama za matibabu ya wapendwa wetu. Isiishie tu kwenye sherehe au kusubiri mpaka mambo yanapoharibika (wapendwa wetu wanapotutoka) na kuonyesha ufahari.

   1. SHAKE OFF Phyto Fiber

   Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

   Faida za Shake Off

   • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
   • Ni njia ya haraka, salam, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
   • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
   • Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
   • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.

   2. Splina Liquid Chlorophyll

   Imetengenezwa kutokana na mmea wa “Mulberry ” unaotambulika kama chanzo bora cha “Chlorophyll”.

   Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya”.
   - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

   Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

   Vyakula asid:
   Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

   Vyakula vya Alkali:
   Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

   Faida za kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”
   1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
   2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
   3. Inaondoa tatizo la mmeng’enyo wa chakula.
   4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
   5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
   kupitia dawa za kuua wadudu.
   6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
   7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
   8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
   9. Inapunguza uzito kwa haraka.

   Nani anatakiwa kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”

   • Watu wenye matatizo ya moyo
   • Watu wanao toka jasho sana
   • Watu wenye matatizo ya Ini
   • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
   • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
   • Watu wenye upungufu wa damu
   • Watu wenye ngozi iliyo pauka
   • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
   • Watumiaji wa pombe na sigara
   • Watu wasiopenda kula mboga za majani
   • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
   • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
   • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
   • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
   • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
   • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
   • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
   • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

   Kahawa za Ginseng & Red Yeast

   Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu”lehemu”(Bad Cholesterol)

   Faida za kahawa ya Ginseng

   1. Inaboresha akili na kumbukumbu.
   2. Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
   3. Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
   4. Inaongeza nguvu mwilini.
   5. Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
   6. Inashusha presha ya juu.
   7. Inaongeza nguvu ya kujamiiana.

   Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

   1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na “triglycerides”.

   1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

   1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

   1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

   1. Inaboresha mmeng’enyo wa chakula.

   Naamini maelezo haya yatakua msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

   Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

   KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!

  21. Clean9

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...