Ndugu wadau,

naomba kujua maendeleo yaliopo sasa katika tiba ya sukari duniani, maana naona tafiti nyingi zimelenga kutafuta tiba ya ukimwi ila maradhi mengine ambayo ni tishio kwa jamii hayapo wazi.

Wadau naomba kujua kutoka kwenu, maana asili ya ugonjwa wa sukari ni kongosho(pancreas) kushindwa kufanya kazi.
Je tiba ya kuweka kongosho jingine (pancreas transplantation) pamoja na pacreatic islet cell transplantation imeweza kuwa suluhisho la ugonjwa huu????

Wadau tujuzeni.