JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

  Report Post
  Page 1 of 4 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 73
  1. #1
   Rtd's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th October 2012
   Posts : 19
   Rep Power : 467
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Habari zenu wana JF,

   Mimi ni mvulana wa miaka 24, nina tatizo la kuwahi kufika kileleni. Tangu shule ya msingi hadi Sekondari nimesoma shule ya boarding ila ya sekondari ilikuwa ni boys school.

   Muda wote huo hadi nafika miaka 23 sikuwahi kufanya tendo la ndoa, hivyo nimekuwa nikipiga punyeto tangu darasa la 6 hadi nilipofika form four. Mwaka mpya nilibahatika kupata mwanamke. Katika kutaka kukutana naye kimwili kilichoniumiza ni kuwa nilimuandaa vizuri lakini ile kutaka tu kumuingilia hata dakika haikuisha nikamaliza na kushindwa kuendelea.

   Juzi tena tumejaribu na hali imejirudia hiyo hiyo. Naomba ushauri wenu nifanye nini ili niwe nachelewa kumaliza? Bila kwenda hospitali mazoezi yanasaidia? Tafadhali nisaidieni mawazo katika hili tatizo langu.

   Asanteni.


  2. dada white's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,234
   Rep Power : 811
   Likes Received
   499
   Likes Given
   124

   Default re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   toa mafikilio ya utamu wakati unafanya mapenzi.

  3. mzabzab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2011
   Posts : 6,293
   Rep Power : 351251
   Likes Received
   2199
   Likes Given
   453

   Default re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   hahaha....duh nyeto mbaya...mambo ya kujipimia utamu mwenye....baba K huwezi jipimia mnato hahaha
   when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!!

   whom the gods seek to destroy first call promising

  4. mzabzab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2011
   Posts : 6,293
   Rep Power : 351251
   Likes Received
   2199
   Likes Given
   453

   Default re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Quote By dada white View Post
   toa mafikilio ya utamu wakati unafanya mapenzi.
   ataachaje kuwaza utamu wakati yupo hapo kwenye utamu halisia wewe
   when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!!

   whom the gods seek to destroy first call promising

  5. Zakumi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2008
   Location : Mtoni
   Posts : 4,609
   Rep Power : 1604
   Likes Received
   1656
   Likes Given
   477

   Default re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Rtd

   Kijana wewe ni dume la mbegu kabisa na haujaathirika na kitu chochote kile. Kwanza kupiga Punyeto haina madhara yoyote. Pili kuwahi kumwaga haina uhusiano na punyeto ulizopiga kipindi kilichopita.

   Ushauri wangu ni huu. Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa hakuna kitendo kinachofanyika katika mwili wako bila kuongozwa na fahamu zako. Ukijamba ni fahamu zako zinazotoa ruhusa kufanya kitendo hicho. Ukikooa ni fahamu zako zinazofanya hivyo. Hivyo basi hata kumwaga wakati wa tendo la ndoa kunaongozwa na fahamu zako.

   Kwa mtaji huu ni lazima u-control fahamu zako wakati unafanya wa tendo ndoa. Ukianza kwa juhudi kubwa na kupoteza fahamu mapema, utamwaga mapema. Lakini uki-control mapigo yako na ya mwenzako na vilevile kutopoteza fahamu, utaelewa ni kipindi gani mwafaka uongeze juhudi hili na wewe ufike kileleni.

   Kufanya mazoezi kunaongeza stamina na kuongeza mzunguko wa damu, ni baadhi vitu muhimu katika masuala ya mchezo wa ndoa. Hivyo fanya mazoezi na kula vyakula vizuri kwa afya yako. Pamoja na hayo uwe unaongea na mpenzi wako kuhusu jinsi ya kufanya mapenzi hili wote mridhike. Usifanye tendo la ndoa kama kumkomoa mtu.

   So long,

   Z10.
   If we permit feathers to be freely borrowed, who is to tell the peacock from the crow?


  6. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,111
   Rep Power : 429502264
   Likes Received
   20909
   Likes Given
   10494

   Default re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Fanya kegel's exercise (hebu google).
   Lakini kwa ajili ya kutomzoea, inaweza kutokea. Relax, jipe muda. Shukuru Mungu unafika kilele, kuna matatizo humu mjini?

  7. #7
   gobore's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2009
   Location : Pointing my .45 at the camera...
   Posts : 727
   Rep Power : 779640
   Likes Received
   320
   Likes Given
   30

   Default re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Xaxa wewe Xi uache tu hayo maXuala ya mademu?-- Kwa uandishi kama huu? No wonder unajikoboa hadi miaka 23.

  8. #8
   Sumu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2010
   Location : Abbottabad, Hazara.
   Posts : 4,137
   Rep Power : 1391
   Likes Received
   1370
   Likes Given
   1556

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Jipake mafuta ya Simba kwenye uume wako kabla ya kila tendo.

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   Cowards Die Many Times Before Their Deaths, The Valiant Never Taste Of Death But Once - Shakespeare.

  9. HoneyBee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd October 2012
   Posts : 579
   Rep Power : 2292
   Likes Received
   247
   Likes Given
   372

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Practice makes perfect.

  10. akenajo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 1,476
   Rep Power : 757
   Likes Received
   379
   Likes Given
   140

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Pole sana go to seek for medical assistance

  11. Lateni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2012
   Posts : 666
   Rep Power : 614
   Likes Received
   284
   Likes Given
   304

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Quote By Sumu View Post
   Jipake mafuta ya Simba kwenye uume wako kabla ya kila tendo.

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   Duu, Hii ni kweli? Dar es salaam yanapatikana wapi?

  12. #12
   Sumu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2010
   Location : Abbottabad, Hazara.
   Posts : 4,137
   Rep Power : 1391
   Likes Received
   1370
   Likes Given
   1556

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Quote By Lateni View Post
   Duu, Hii ni kweli? Dar es salaam yanapatikana wapi?
   Kuna Wamasai wanayauza pale Kariakoo.

   Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   Cowards Die Many Times Before Their Deaths, The Valiant Never Taste Of Death But Once - Shakespeare.

  13. Zasasule's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th August 2009
   Posts : 1,008
   Rep Power : 1069
   Likes Received
   86
   Likes Given
   50

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Mafuta ya simba?? Dah atayapata wapi hayo!!

   A runner must run with dreams in his heart, not money in his pocket

  14. dada white's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,234
   Rep Power : 811
   Likes Received
   499
   Likes Given
   124

   Default

   Quote By mzabzab View Post
   ataachaje kuwaza utamu wakati yupo hapo kwenye utamu halisia wewe
   Hunisumbui coz kila mtu anakujua we ni muathirika wa ngono.

  15. mwita ke mwita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2010
   Posts : 2,641
   Rep Power : 0
   Likes Received
   452
   Likes Given
   355

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   ukipata demu nenda bafuni upige nyeto then urudi kwa demu kale kwa keanza aka kiherehere kanakuwa kametoka then unapiga goma

  16. Lusa Nise's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2013
   Posts : 253
   Rep Power : 500
   Likes Received
   100
   Likes Given
   33

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Kwa kawaida raundi ya 2 inachukua muda zaidi ya raundi ya 1, so ukiwa na game piga nyeto kwanza may be 30minutes kabla ya game ili usije ukapata shida ya jamaa kusimama, then nenda kwenye game ambapo sasa hiyo itakuwa raundi ya 2 ambayo definetely itachukua muda. Ukiweza kufanya vizuri (kudumu kwenye game kwa muda mrefu) mara moja tu itakujengea confidence na utajifunza namna ya control na utaachana kabisa na nyeto.

  17. ameline's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2013
   Location : Arusha
   Posts : 2,255
   Rep Power : 584144
   Likes Received
   1017
   Likes Given
   683

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Quote By mzabzab View Post
   hahaha....duh nyeto mbaya...mambo ya kujipimia utamu mwenye....baba K huwezi jipimia mnato hahaha
   wewe mzabzab wewe? kijana anataka ushauri wewe unamcheka ee... shauri yako

  18. ameline's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2013
   Location : Arusha
   Posts : 2,255
   Rep Power : 584144
   Likes Received
   1017
   Likes Given
   683

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Quote By Zasasule View Post
   Mafuta ya simba?? Dah atayapata wapi hayo!!
   kwa wamasai

  19. ZeMarcopolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2008
   Posts : 13,330
   Rep Power : 141699899
   Likes Received
   5771
   Likes Given
   5446

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   Ukipiga goli, tiliza boli kidogo halafu chekecha mashine endelea na mzigo...
   "To greed, all nature is insufficient"

  20. dfreym's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th October 2010
   Posts : 336
   Rep Power : 736
   Likes Received
   64
   Likes Given
   171

   Default Re: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto

   kwaza fahamu kuwa wewe si mgonjwa. ni mzima sema hako kamchezo haujakapatia.

   cha kwanza, inaonesha mwenza wako hakuandai baada ya wewe kufika kwa mara ya kwanza. ndiyo maana unashindwa kusimamisha tena, pia inaonesha unamfadhaiko, na unapoingia ulingoni unahisi huwezi, hivyo unakuwa umeshashindwa hata kabla ya mchezo.

   CHA KUFANYA.
   1. JIAMINI KUWA HAUNA TATIZO
   2. UNAPOFANYA TENDO, JARIBU KUPELEKA MAWAZO SEHEMU NYINGINE NA SIYO KWENYE TENDO (WAZA MENGINE, HATA KAMA NI SHIDA, LABDA MADENI, KODI YA NYUMBA, NA MENGINE YATAKAYO CHOTA MAWAZO).
   3. PIA KAMA UNAWAHI KABLA HATA YA DKK 1, FANYA KITU KIMOJA, MUANDAE MWENZA WAKO SANA ILA USIMRUHUSU AKUANDAE, HII ITAPELEKEA KUCHELEWA KIDOGO.
   4. PIA UNAWEZA KUVAA CONDOM, SOMETIMES HUSAIDIA KUMFANYA MTU ACHELEWE, PIA ITAKULINDA NA MAAMBUKIZO.
   5.PIA UNAWEZA KUWA UNAMALIZIA NJE, YAANI UKITAKA KUFIKIA KILELENI, UWE UNACHOMOA (Kwa kitaalamu wanaita withdrawal), PIA ITAKUSAIDIA KUFANYA UUME WAKO USILALE, KWANI KWA KUMALIZIA NDANI NDO KUNAKOLAZA UUME WAKO.
   6.PIA KUNAPO FIKA KWA MARA YA KWANZA NA BADO IKALALA, JARIBU KUMWAMBIA MWEZA WAKO AKUTOMASE TOMASE, AKUAMBIE MANENO MATAMU (wengine hupenda kuambiwa rude words, kama honey leo kweli ume...... kweli kweli, n.k),
   PIA KAMA HAKUKUANDAA MARA YA KWANZA BASI HUU NDO MUDA WA KUKUANDAA. VILIVYO... BILA SHAKA JOGOO ATASIMAMA TU.
   7.PIA ANAWEZA KUKUNYONYA UUME, PINDI UNAPOMALIZA KABLA HII, ITAKUSAIDIA KUSIMAMISHA.
   8. ILI YOTE HAYA YAFANIKIWE UNATAKIWA UWE NA MPENZI MMOJA, PIA MUELEZE NA MUELEKEZE TATIZO LAKO NA KWA MSAADA WAKE NA WAKO MSAIDIANE, MTAANIKIWA.

   UKISHINDWA NA HAYO BASI MUONE DAKTARI.

   SAMAHANI WANABODI KAMA NIMETUMIA MANENO YENYE UKAKASI
   If money doesn’t grow on trees then why banks have branches?


  Page 1 of 4 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...