JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 64
  1. Sumba-Wanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Location : Gambushi
   Posts : 5,297
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1130
   Likes Given
   1384

   Default Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Wana jamvi,

   Kumekuwa na move kama ile ya move ya watu kukimbilia kwa babu wa Loliondo kwa watu kukimbilia mafuta ya ubuyu. Nasikia huko Dodoma hata mashine zilizokuwa zinasaga mpunga sasa zimegeuka na zinasaga ubuyu. Mengi sana yamesemwa kuhusu mafuta haya.

   Naomba kujuzwa faida na athari zake.
   MziziMkavu and Mwanaweja like this.
   "A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"

  2. #41
   Swts's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2012
   Location : WONDERLAND
   Posts : 3,047
   Rep Power : 760560
   Likes Received
   1229
   Likes Given
   847

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   -Husaidia ngozi kuwa laini na angavu.
   -Kupunguza cholestrol.
   -Kuondoa fungus,matatizo ya macho,vitambi.
   -cd4 huongezeka.
   -waganga wakienyeji na waarabu hupenda kutumia haya mafuta,(mibuyu is said to be more related na mashetani sijuw,sina ushaidi)
   sijajua kwa tiba gani,but wameanza kutumia zamani sana
   Huuzwa ghali pia kutokana na umuhimu wake.

   Nb. Kila shetani na Mbuyu wake!! Lolest!!

  3. Ngigana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2010
   Posts : 399
   Rep Power : 604
   Likes Received
   76
   Likes Given
   202

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By King'asti View Post
   Kinachonishangaza ni kuongelea kunywa mafuta ya ubuyu for weight loss! How is that possible ukizingatia nayo yanakuja na calories?

   Challenge nyingine ni jinsi ya kutambua kama ndo yenyewe ama yamechakachuliwa. Shughuli!
   Ila pia inabidi kuwa makini kwa weye unayetaka kuyatumia, kwa sababu watanzania wengi wana ile roho ya kuchakachua, wanaweza hata kumwuzia mtu mafuta ya alizeti wakidai ni ubuyu! Kuna shughuli kweli!
   A life that influences no one is not worth living! By B B Shonga

  4. Mongolandege's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 18th October 2012
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By Zogwale View Post
   Mkuu katia hali ya kawaida ukiachana na CD4 nimeyatumia haya mafuta na yote uliyoandika hapa ni kweli tupu. Kwa upande wangu fungus,ngozi, na macho na massage imenisaidia sana. Yaani kwa wiki moja unasikia tofauti kubwa sana. Ila kuna taratibu zake za kutumia kwa kiasi na kuacha then unaendelea tena. Also so effective kwa constipation problem.
   Mkuu! Napenda kufahamu wapi wanapouza sabuni zinazotokana na huo ubuyu

  5. igwe sr.'s Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th June 2011
   Posts : 88
   Rep Power : 479
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Zogwale View Post
   Mkuu nakubaliana na wewe. Binafsi nimeyatumia hasa kwa ajili ya ngozi, macho na mafuta mwilini, fungus wa miguu vidoleni walikuwa wananisumbua sana hasa kati ya kidole kikubwa. Kwa hakika sina haya matatizo tena!!! Naendelea kuyatumia naona kila siku watu wananishangaa hasa ngozi!! Nimehamia kwa sabuni na mafuta kwa kuwa pia mwenzangu alinishawishi sana!! Si unajua hawa wenzetu na vitu vinavyohusu ngozi wako mstari wa mbele, so nilijaribu na matokeo nimepata.
   Hayo mafuta na hiyo sabuni,vinapatikana maduka gan?

  6. ngafu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2011
   Posts : 515
   Rep Power : 544
   Likes Received
   76
   Likes Given
   1037

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By Zogwale View Post
   Mkuu nakubaliana na wewe. Binafsi nimeyatumia hasa kwa ajili ya ngozi, macho na mafuta mwilini, fungus wa miguu vidoleni walikuwa wananisumbua sana hasa kati ya kidole kikubwa. Kwa hakika sina haya matatizo tena!!! Naendelea kuyatumia naona kila siku watu wananishangaa hasa ngozi!! Nimehamia kwa sabuni na mafuta kwa kuwa pia mwenzangu alinishawishi sana!! Si unajua hawa wenzetu na vitu vinavyohusu ngozi wako mstari wa mbele, so nilijaribu na matokeo nimepata.
   Nakubaliana na wewe Zongwale, nilikuwa na fungusi kwenye vidole vya mikono na miguuni kwa muda mrefu kila nikitumia dawa za hospitali fungusi walikuwa wanapotea halafu wananarudi tena kwa kweli nilikuwa nakosa raha sana lakini nilipoanza kutumia hayo mafuta ya ubuyu kwa kuchanganya na lotion na mafuta ya nywele fungusi wamepotea na nywele zimekuwa imara utadhani nina miaka 18+ wakati nina miaka 40+ kwahiyo ni kweli nina ushahidi wa mafuta ya ubuyu kutibu fungusi na kuimarisha nywele
   Last edited by ngafu; 30th January 2013 at 14:45. Reason: typing error

  7. Kansime

  8. hammidah's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd January 2013
   Posts : 24
   Rep Power : 384
   Likes Received
   5
   Likes Given
   3

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Naomba ufafanuzi zaidi,mimi binafsi nilitumia kama wiki moja mafuta kwa ajili weight loss,chakushangaza nilichubuka mdomo lea nyepesi ilitoka na kupata vidonda ndani ya koo hata kumeza mate ilikuwa kazi jamani nisaidieni

  9. Zogwale's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 9,530
   Rep Power : 114742940
   Likes Received
   2555
   Likes Given
   1182

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By hammidah View Post

   Pole sana!!! Inawezekana una tatizo lingine na si sababu ya mafuta ya ubuyu halisi. Pia uwe makini siku hizi kwa kuwa yanauzwa ghali watu wanachakachua sana. Ni lazima umpate muuzaji unayemwamini sana. Mimi huwa naagiza Dodoma kwa mjasiriamali ninayemfahamu na sijaona hiyo shida. Na kwa wale kina dada/mama ambao wanachubuka sehemu nyeti na fangasi pia wawe wanajipaka, inaondoa tatizo kabisa na ngozi inakuwa murua.
   MziziMkavu likes this.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  10. Zogwale's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 9,530
   Rep Power : 114742940
   Likes Received
   2555
   Likes Given
   1182

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By igwe sr. View Post
   Hayo mafuta na hiyo sabuni,vinapatikana maduka gan?
   Kama uko Dar es Salaam wasiliana na 0715 289258 na 0784 289248 atakueleza. Anazo sabuni na mafuta genuine kutoka Dodoma.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  11. Zogwale's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 9,530
   Rep Power : 114742940
   Likes Received
   2555
   Likes Given
   1182

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By Mongolandege View Post
   Mkuu! Napenda kufahamu wapi wanapouza sabuni zinazotokana na huo ubuyu
   Kama uko Dar es Salaam wasiliana na 0715 289258 na 0784 289248 atakueleza. Anazo sabuni na mafuta genuine kutoka Dodoma
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  12. 124 Ali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2010
   Location : urban-west,zanzibar islan
   Posts : 1,995
   Rep Power : 2157390
   Likes Received
   475
   Likes Given
   316

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Na vp sie wa uswahilini tunaokula ile pulp(white) sio mbegu za ubuyu tunapata faida gani?

  13. Zogwale's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 9,530
   Rep Power : 114742940
   Likes Received
   2555
   Likes Given
   1182

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By 124 Ali View Post
   Na vp sie wa uswahilini tunaokula ile pulp(white) sio mbegu za ubuyu tunapata faida gani?
   Baobab fruit powder is a powerful new superfood and Africa's best-kept secret until now. It's known as the "Tree of Life" and has been cherished by locals across the African continent for centuries. It has a unique nutritional profile, with more Vitamin C than oranges, more iron than red meat and a rich content of alkalising minerals: calcium, potassium and magnesium.
   Baobab Benefits

   • Revitalises and invigorates. Baobab powder is very high in Vitamin C and malic acid, which have strong energy-yielding properties. It helps improve your body's utilization of food for efficient conversion into energy.
   • Boosts the immune system. Vitamin C and prebiotic fibres in Baobab help boost your immune system.
   • Promotes a healthy digestive system. Baobab powder is high in digestive enzymes and prebiotics that enhance the growth of probiotic bacteria in your gastrointestinal tract.
   • Healthy nervous system. Baobab powder is high in potassium, essential for the nervous system, especially if you drink coffee, cola or alcohol and eat foods high in sodium.
   • Optimises iron uptake. The presence of Vitamin C in conjunction with iron in baobab powder is particularly effective for increasing iron in your body
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  14. Zogwale's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 9,530
   Rep Power : 114742940
   Likes Received
   2555
   Likes Given
   1182

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By 124 Ali View Post
   Na vp sie wa uswahilini tunaokula ile pulp(white) sio mbegu za ubuyu tunapata faida gani?
   Health Benefits of Baobab Fruit

   Update Time:2012-8-20 14:57:21 From: Hits:178
   Baobab trees (Adansonia digitata) are the oldest trees which native to Madagascar ,they are special and distinctive features of the African savanna. The trees can live for up to 1,000 years and are some of the largest in the world. Large baobab trees with hollow stems have been used by people for centuries for various purposes including houses, prisons, pubs, storage barns, and even as bus stops .The tree survives prolonged droughts by storing up to 30,000 gallons of water in its massive, fibrous, sponge-like trunk, which can be up to 30 to 60 feet in diameter. To store this water, the Kalahari bushmen use hollow pieces of grass (much like a straw) to suck the water out. Hollowed out baobab trunks in the vicinity of villages are used for water storage. Thus, the Baobab tree is also known as known as the “Tree of Life”. New reports have shown that ,the ingredients in African baobab tree and its fruit,covering vitamins and nutrients including riboflavin, niacin and vitamins C, A, D and E.This makes baobab enjoy a high reputation for its benefits.
   Beauty

   Baobab is an exotic natural that tightens and tones the skin, moisturizes and encourages skin cell regeneration. The edible oil can also be applied to the skin for beauty purposes.The residue that remains after processing oil is mixed with coconut oil and used for making soap. According to Christine, the soap helps fight skin diseases, such as acne, sunburn, eczema and rashes.
   Nutrition Facts :High Vitamin and Mineral Content

   Baobab has very high vitamin C, calcium and other vitamins and minerals, plus fiber. Baobab Fruit is naturally dried (i.e., it is not required to freeze dry it). The dry baobab fruit powder contains about 6 times of the vitamin C as an orange, and it is high in calcium. So it is used a rehydration agent in Africa (with water) and to fight diarhea. It is about 50% dietary fiber (soluble and non-soluble). What’s more ,the baobab contains three times the iron found in spinach, three times the antioxidants found in blueberries, three times the calcium found in milk, and six times the potassium of bananas. Baobab fruit also contains all 8 essential amino acids and is rich in pectins, triterpenoids beta-sitosterol, beta-amyrin palmitate, alpha-amyrin palmitate, sterols, saponins, triterpenes & ursolic acids.
   Potent Source of Antioxidants

   • Vitamin C
   • Bioflavenoids
   • Provitamin A
   • Prebiotic

   The soluble fibers found in baobab fruit have been found to exert prebiotic effects (promoting the growth of healthy bacteria in the gut) in vitro. The fruits of baobab are vital to encourage probiotic organisms to survive and thrive in the human gut. The soluble fiber, being a non-digestible food ingredient, stimulates the growth and/or activity of bacteria in the digestive system which are beneficial to the health of the body.
   Gastrointestinal Aid

   Traditionally used by African populations to support relief of diarrhea, dysentery, and constipation
   MziziMkavu likes this.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  15. 124 Ali's Avatar

   Grazzie mille!yaani mpaka raha maana family yangu kwa ubuyu hawanaga mfano though wana add much sugar to taste.

  16. kabanga's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 13,697
   Rep Power : 377471174
   Likes Received
   4458
   Likes Given
   580

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   wacha nami nianze kupaka, maana ninayo hapa miezi miwili ndani sijui nini chi kuyafanyia....

  17. Mrembo by Nature's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2011
   Location : Ubiri
   Posts : 4,662
   Rep Power : 26937295
   Likes Received
   2757
   Likes Given
   1705

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   mafuta ya ubuyu yana faida wala si utani,anaebisha ana lake......

  18. Lis's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd June 2012
   Posts : 182
   Rep Power : 449
   Likes Received
   32
   Likes Given
   11

   Default

   Quote By hammidah View Post
   Naomba ufafanuzi zaidi,mimi binafsi nilitumia kama wiki moja mafuta kwa ajili weight loss,chakushangaza nilichubuka mdomo lea nyepesi ilitoka na kupata vidonda ndani ya koo hata kumeza mate ilikuwa kazi jamani nisaidieni
   uliuziwa
   yalochakachuliwa.

  19. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 14,569
   Rep Power : 270779274
   Likes Received
   9082
   Likes Given
   10488

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Utayatambuaje mafuta ya ubuyu halisi na fake??? MziziMkavu
   MziziMkavu likes this.

  20. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 31,025
   Rep Power : 429503221
   Likes Received
   18100
   Likes Given
   55538

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By charminglady View Post
   Utayatambuaje mafuta ya ubuyu halisi na fake??? MziziMkavu
   Bibie charminglady

   ili kubaini mafuta ya ubuyu ama mlonge yaliyo safi ni vema kuangalia wepesi wa mafuta wakati wa kuinamisha chupa

   iliyokuwa na mafuta chini juu ambapo kwa unga wa ubuyu utajulikana kuwa ni halisi kwa kupata radha halisia ya

   ubuyu ambapo kwa majani ya mlonge hayana ukali na unga wake unanukia harufu nzuri ya kipekee inayomshawishi

   mtumiaji kunywa ama kulamba.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  21. Gaijin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2007
   Posts : 11,898
   Rep Power : 24944
   Likes Received
   5070
   Likes Given
   2566

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Quote By King'asti View Post
   Dr unadhani mafuta ya ubuyu unayaongelea wewe pekee? Ndo habari ya mujini. Kuna mwingine aliniambia ati ni ina relax muscles ukiitumia kwa massage. Nikamuambia sidhani kama itakuwa effective kuliko korie. Kinachorelax ni ile massage yenyewe.

   Riwa, umesikia na mafuta ya ukwaju?
   Mafuta yanatofautiana make up yake ndio maana kukawa na mafuta mazuri na mafuta mabaya kwa afya

   Mafuta ya samaki, na mafuta ya zaituni (olive) yanapendekezwa kutumiwa kwa afya kuliko mafuta yanayotokana na wanyama, ikiwemo siagi

   Binafsi nawajua watu wawili walioandikiwa hospitali (Uingereza na Marekani) wanywe mafuta ya Zaituni kijiko kimoja kidogo baada ya chakula. Mmoja anasumbuliwa na pressure na mmoja liver

  22. Mkoroshokigoli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 6,466
   Rep Power : 6059984
   Likes Received
   1516
   Likes Given
   584

   Default Re: Faida na athari za mafuta ya "ubuyu"

   Wadau haya mafuta mi nayauza kwa muda mrefu sana,na humu JF nimeshawauzia watu wengi sana,kuna wakati niliweka bandiko na wadau wakawa wananipigia sim nawapelekea mzigo,sijawah kupokea simu ya malalamiko,aidha kwa madhara au uchakachuz,maana what i know watu wengi hapa wapo makini,sasa basi kama kuna mtu anahitaj kwa hapa dar mafuta bado yapo,bei yake lita 1 ni shilingi za kitanzania 35,000/=
   tuwasiliane 0713890628/0756251187

  23. Clean9

  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...