JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

  Report Post
  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
  Results 81 to 100 of 111
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 31,012
   Rep Power : 429503218
   Likes Received
   18080
   Likes Given
   55509

   Thumbs up Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   magonjwa yanatibiwa na maji ya moto

   - pumu= asthma

   - shinikizo la damu= hbp

   - migraine / kichwa= migraine/ headache

   - ugonjwa wa sukari= diabetes

   - upungufu wa damu= anemia

   - maumivu nyuma= back pain

   - mawe katika figo= urinary calculus

   - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection

   - cholesterol= cholesterol

   - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis

   - kiharusi =stroke

   - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness

   - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue

   - tonsili =tonsillitis

   - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)

   - mafua/homa =colds, flu & fever

   - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)

   - kichome kwenye roho= heartburn   - kidonda tumboni =stomach ulcer

   - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation

   - kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism

   - kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)

   - magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)

   - kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)

   - maradhi ya moyo =heart disease

   - saratani= cancer

   - usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period

   HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA MOTO KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.   Last edited by MziziMkavu; 9th March 2014 at 04:34.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  2. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 2,846
   Rep Power : 86127478
   Likes Received
   1058
   Likes Given
   837

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Mkereketwa_Huyu Maji ni Dawa tu chai na kitu kingine mojawapo ya chakula unaweza kula baada ya saa 1 kupita upendavyo.

   Sawa nimekupata. Ahsante sana.
   MziziMkavu likes this.

  3. Mkuu wa chuo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Location : Kibada
   Posts : 3,786
   Rep Power : 2357062
   Likes Received
   1495
   Likes Given
   1535

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   ubarikiwe sana MziziMkavu
   MziziMkavu likes this.

  4. Lorisy's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st August 2012
   Posts : 46
   Rep Power : 411
   Likes Received
   25
   Likes Given
   119

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Nashukuru sana mzizimkavu kwa somo zuri, naomba huu ujumbe uwafikie penelope na Elli79, mimi nilishawahi kujaribu hii tiba ya kunywa maji ya moto ila ilinishinda maana nilikuwa nikimaliza kunywa lazima nipate kichefuchefu na hata kutapika,ilinibidi niache kwakweli..pia nini swali kwako mkuu,nina rafiki yangu anapenda sana kunywa maji ya baridi,yaani ya baridi kweli(yaliyoganda kabisaaaaaaaaaaa),haya hayawezi kumletea madhara hapo badae?

   Quote By MziziMkavu View Post
   magonjwa yanatibiwa na maji ya moto

   - pumu= asthma

   - shinikizo la damu= hbp

   - migraine / kichwa= migraine/ headache

   - ugonjwa wa sukari= diabetes

   - upungufu wa damu= anemia

   - maumivu nyuma= back pain

   - mawe katika figo= urinary calculus

   - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection

   - cholesterol= cholesterol

   - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis

   - kiharusi =stroke

   - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness

   - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue

   - tonsili =tonsillitis

   - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)

   - mafua/homa =colds, flu & fever

   - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)

   - kichome kwenye roho= heartburn   - kidonda tumboni =stomach ulcer

   - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation

   - kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism

   - kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)

   - magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)

   - kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)

   - maradhi ya moyo =heart disease

   - saratani= cancer

   - usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period

   HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA MOTO KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.
   MziziMkavu likes this.

  5. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 31,012
   Rep Power : 429503218
   Likes Received
   18080
   Likes Given
   55509

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   MNAOPENDA KUNYWA MAJI BARIDI SOMENI HAPA

   UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku.

   Pamoja na ukweli kwamba maji baridi ni ‘matamu’, lakini siyo mazuri kwa afya yako na katika makala ya leo tutaangalia ukweli kwa nini maji haya siyo mazuri.

   Kwa mujibu wa utafiti uliokwisha fanywa na wataalamu wetu wa masuala ya lishe, mtu anapokunywa maji baridi mara baada ya kula chakula, maji yale yanapopita kwenye utumbo huchangia kugandisha mafuta yaliyomo kwenye chakula.

   Kitendo hicho, husababisha usagaji wa chakula kuwa wa taratibu sana na hivyo kuchangia ukosefu wa choo.

   Mbali na ukosefu wa choo, ambao ni madhara yanayojionesha kwa muda mfupi, lakini pia kuna madhara ya muda mrefu yanayoweza kujitokeza baadaye sana.

   Inaelezwa zaidi kuwa, wakati chakula kinapochelewa kusagwa kwa sababu ya kuganda kulikosababishwa na maji baridi, chakula hicho hukutana na ‘acid’ iliyoko tumboni ambayo huanza kuyayusha mafuta hayo haraka na kufyonzwa na utumbo kabla ya chakula chenyewe.

   Hali hii inapoendelea kwa muda mrefu, tabaka la mafuta (fats) hujijenga kwenye utumbo na baadaye huweza kusababisha saratani ya utumbo. Halikadhalika, huweza kuwa chanzo kingine cha ugonjwa wa moyo ambao
   madhara yake ni pamoja na kupatwa na Kiharusi na hatimaye kifo.

   Ili kuepuka hatari hii, unachotakiwa kufanya ni kuacha tabia ya kunywa maji baridi na badala yake pendelea kunywa maji ya uvugu-vugu mara baada ya kula chakula. Vile vile zingatia ushauri wa kukaa kwa muda usiopungua nusu saa ndiyo unywe maji.

   MAJI MOTO NA ASALI KAMA DAWA

   Kujiweka katika mazingira mazuri ya kuhakikisha unasafisha tumbo lako kila siku kabla ya kulala, weka utatartibu wa kunywa maji moto kiasi, yaliyochanganywa na asali. Chemsha maji moto au chukua maji moto

   yaliyopo kwenye chupa ya chai, acha yapoe kidogo na kuwa ya uvuguvugu, kisha weka kijiko kimoja cha asali mbichi kunywa kisha lala. Kunywa maji hayo nusu saa au zaidi baada ya kula chakula cha mwisho.

   Kitendo hicho kitakuwezesha kuyeyusha mafuta, kusadia usagaji wa chakula tumboni na hivyo kukuwezesha kutoa uchafu na sumu mwilini kwa njia ya haja kubwa. Kwa utaratibu huu, hutakaa na uchafu tumboni wala mrundikano wa mafuta mabaya mwilini.

   Ni jambo lisilo shaka kuwa iwapo kila mmoja wetu atazingatia kanuni za ulaji na unywaji sahihi, bila shaka matatizo ya moyo na shinikizo la damu yanaweza kupungua kwa kiwango kikubwa, kama siyo kutoweka kabisa.@Lorisy

   cmoney and hassan yassin like this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  6. SHAKIULA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th June 2013
   Posts : 26
   Rep Power : 363
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Somo zuri sana mungu akuongoze uendelee kutoa elimu zaidi!
   MziziMkavu likes this.

  7. Kansime

  8. hekimatele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 5,466
   Rep Power : 269111
   Likes Received
   1247
   Likes Given
   202

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By MziziMkavu View Post
   magonjwa yanatibiwa na maji ya moto

   - pumu= asthma

   - shinikizo la damu= hbp

   - migraine / kichwa= migraine/ headache

   - ugonjwa wa sukari= diabetes

   - upungufu wa damu= anemia

   - maumivu nyuma= back pain

   - mawe katika figo= urinary calculus

   - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection

   - cholesterol= cholesterol

   - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis

   - kiharusi =stroke

   - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness

   - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue

   - tonsili =tonsillitis

   - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)

   - mafua/homa =colds, flu & fever

   - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)

   - kichome kwenye roho= heartburn   - kidonda tumboni =stomach ulcer

   - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation

   - kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism

   - kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)

   - magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)

   - kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)

   - maradhi ya moyo =heart disease

   - saratani= cancer

   - usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period

   HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA MOTO KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.

   Hapa ndo nnapokukubaligi MziziMkavu.
   Thanks   “Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa,” Mateo Qaresi (July 2013).
   MziziMkavu likes this.
   “Politics is the art of postponing decisions until they are no longer relevant.” Henri Queuille

  9. hekimatele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 5,466
   Rep Power : 269111
   Likes Received
   1247
   Likes Given
   202

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By MziziMkavu View Post
   Health Benefits of What are the Health Benefits of Drinking Hot Water ?

   Hot Water purifies the toxin, helps melting the fat deposits and destroys harmful bacteria in our body. Health is wealth, so we have to keep a healthy body to have a wealthy lifestyle.

   Following are some of the benefits of drinking hot water -

   1. Sweating – When we take hot water, our body temperature rises and hot water causes to cool down the body which is done by sweating.
   2. Blood Purification – Sweating purifies our bloodstreams.
   3. Removes Toxins - A lot of toxins are thrown out from our body when we sweat.
   4. Removes Built up in Nervous System – Drinking hot water also removes built up deposits in our nervoussystem.
   5. These deposits create negative emotions and thoughts.
   6. Drinking hot water can remove these built ups in the nervous system and provide us with a better emotional state.
   7. It can actually remove toxins from the body.
   8. Improves Blood Circluation – Drinking hot water improves blood circulation.
   9. Boost up the Immunity – When lemon and honey are added to drinking hot water, it will become tasty and boost up the immunity.
   10. Kills Pathogens - When taken in morning, it will kill the harmful bacteria in throat and intestine and restore the lost moisture during night.
   11. Body Cleansing - Drinking a hot water glass with lemon before breakfast can be a perfect solution forcleansing your body system.
   12. Constipation Cure – It is a very good remedy for constipation as it stimulates the bowel
   Tips and Benefits of Drinking Hot Water

   Recommended methods for drinking hot water

   1. *** One or two glasses of hot water, early in the morning, once you wake up and before brushing your teeth – at standing position.
   2. One or two glasses of hot water, after brushing your teeth, before having your breakfast.
   3. At least three glasses of hot water throughout the morning.
   4. *** One glass of hot water at least 15-30 minutes before meal.
   5. At least two glasses of hot water throughout the evening (Best if four glasses).
   6. One glass of hot water, before going to sleep.   Notes:

   1. *** (Should be given high consideration, due to its huge effects. For more details, please refer to the book.
   2. The glass of hot water shall be approximate of 240-300 ml in volume.
   3. The Water shall be hot at a temperature of around (50°C) that means hot enough to feel it while drinking, but affordable, without causing burn.

    Benefits of Drinking Hot water

    • Prevent various diseases, symptoms and allergies..
    • Heal people in pain, with sickness, allergies and diseases even if how critical it is.
    • Get rid of fat, reduce obesity, heals bronchial asthma, diabetes, hypertension, high cholesterol … etc.
    • Improve brain memory.
    • Possess a good looking body.
    • Acquire an exceptional personality or character.
    • Have interest in peace, respect human rights and reject quarrels.
    • Helping acquiring brainstorming.
    • Love of natures and creatures..
    • Possessing strong faith in God.
    • Enjoying a tender sleep.   Source:MziziMkavu
   Safi sana mzee.
   Shukrani
   MziziMkavu likes this.
   “Politics is the art of postponing decisions until they are no longer relevant.” Henri Queuille

  10. hekimatele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 5,466
   Rep Power : 269111
   Likes Received
   1247
   Likes Given
   202

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Baba V, Bujibuji, gfsonwin, Globu, Mkereketwa_Huyu, mwaJ, saudari, TUKUTUKU naona wanaperuzi wapate udambwe dambwe
   MziziMkavu likes this.
   “Politics is the art of postponing decisions until they are no longer relevant.” Henri Queuille

  11. Tabrett's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th June 2013
   Posts : 243
   Rep Power : 408
   Likes Received
   76
   Likes Given
   39

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Mie hua nakunywa asubuhi kabla ya kuswaki then breakfast inafuata after half an hour inanisaidia sana tumboni
   MziziMkavu likes this.

  12. kandikiula's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Posts : 6
   Rep Power : 489
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Kwa utaratibu upi

  13. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 31,012
   Rep Power : 429503218
   Likes Received
   18080
   Likes Given
   55509

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  14. Iron Lady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th March 2008
   Location : Dar-es-salaam
   Posts : 3,554
   Rep Power : 5844
   Likes Received
   984
   Likes Given
   814

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By MziziMkavu View Post
   magonjwa yanatibiwa na maji ya moto

   - pumu= asthma

   - shinikizo la damu= hbp

   - migraine / kichwa= migraine/ headache

   - ugonjwa wa sukari= diabetes

   - upungufu wa damu= anemia

   - maumivu nyuma= back pain

   - mawe katika figo= urinary calculus

   - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection

   - cholesterol= cholesterol

   - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis

   - kiharusi =stroke

   - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness

   - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue

   - tonsili =tonsillitis

   - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)

   - mafua/homa =colds, flu & fever

   - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)

   -
   kichome kwenye roho= heartburn

   - kidonda tumboni =stomach ulcer

   - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation

   - kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism

   - kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)

   - magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)

   - kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)

   - maradhi ya moyo =heart disease

   - saratani= cancer

   - usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period

   HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA MOTO KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.
   mkuu mzizi mkavu hii ya kwenye roho sijaielewa, roho inaweza kupatwa na kichomi? nielimishe mkuu
   somo la maji ni zuri sana
   MziziMkavu likes this.

  15. Keller's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 58
   Rep Power : 378
   Likes Received
   10
   Likes Given
   26

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Asante sana ndugu kwa kujali afya zetu.
   MziziMkavu likes this.

  16. mamayeyoo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th December 2013
   Posts : 48
   Rep Power : 340
   Likes Received
   13
   Likes Given
   9

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Athanteeeee
   MziziMkavu likes this.

  17. utafiti's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 18th July 2013
   Posts : 7,665
   Rep Power : 225591932
   Likes Received
   4439
   Likes Given
   6355

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By mamayeyoo View Post
   Athanteeeee
   Kwa mila na desturi zetu tunaomba ubadilishe avatar kabla ban ya maisha haijakuangukia...sio fb hapa mkuu
   MziziMkavu and mamayeyoo like this.

  18. mamayeyoo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th December 2013
   Posts : 48
   Rep Power : 340
   Likes Received
   13
   Likes Given
   9

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Pouwaaa
   MziziMkavu likes this.

  19. mamayeyoo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th December 2013
   Posts : 48
   Rep Power : 340
   Likes Received
   13
   Likes Given
   9

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By utafiti View Post
   Kwa mila na desturi zetu tunaomba ubadilishe avatar kabla ban ya maisha haijakuangukia...sio fb hapa mkuu
   Fresh mkuuu
   MziziMkavu and utafiti like this.

  20. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 31,012
   Rep Power : 429503218
   Likes Received
   18080
   Likes Given
   55509

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By Iron Lady View Post
   mkuu mzizi mkavu hii ya kwenye roho sijaielewa, roho inaweza kupatwa na kichomi? nielimishe mkuu
   somo la maji ni zuri sana
   Bibie nimekosea kiswahili hiyo (Heartburn) ni kichomi au Kiungulia kinacho tokana katika njia ya mfuko wa chakula ( Stomach) kikapanda mpaka kwenye koromelo lako . Sio kichomi kwenye roho samahani.

   Despite its name, heartburn has nothing to do with the heart (although some of the symptoms are similar to a heart attack). Heartburn is an irritation of the esophagus caused by acid that refluxes (comes up) from the stomach. Heartburn is also a symptom of more serious gastroesophageal reflux disease, or GERD.
   When swallowing, food passes down the throat and through the esophagus to the stomach. Normally, a muscular valve called the lower esophageal sphincter (LES) opens to allow food into the stomach (or to permit belching); then it closes again. Then the stomach releases strong acids to help break down the food. But if the lower esophageal sphincter opens too often or does not close tight enough, stomach acid can reflux or seep back into the esophagus, damaging it and causing the burning sensation we know as heartburn.
   Heartburn and Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)   Not only can stomach acid in the esophagus cause heartburn, but it can also causeulcers, strictures (narrowing) of the esophagus, and cancer of the esophagus.
   Most people have felt heartburn at one time or another. In fact, the American Gastroenterological Association reports that more than 60 million Americans experience heartburn/GERD symptoms at least once each month. Though uncomfortable, heartburn does not usually pose a serious health problem for most people.

   However, if heartburn symptoms occur frequently and persistently, it may be a sign of a more serious problem, such as GERD. GERD is a chronic reflux of acid into the esophagus. Left untreated, GERD can cause a host of complications, includingesophagitis, esophageal ulcers, hoarseness, chronic pulmonary disease, and Barrett's esophagus (a change in the lining of the esophagus that increases the risk of developing cancer of the esophagus).

   Heartburn Symptoms

   Symptoms of heartburn include:

   • A burning feeling in the chest just behind the breastbone that occurs after eating and lasts a few minutes to several hours
   • Chest pain, especially after bending over, lying down, or eating
   • Burning in the throat -- or hot, sour, acidic, or salty-tasting fluid at the back of the throat
   • Difficulty swallowing
   • Feeling of food "sticking" in the middle of the chest or throat

   Reporting these symptoms to your doctor is usually all that is needed for a diagnosis of heartburn. However, your doctor may perform special tests such asendoscopy or pH monitoring to determine the severity of your problem or to monitor your treatment.

   Heartburn Causes

   Various lifestyle and dietary factors can contribute to heartburn by relaxing the lower esophageal sphincter and allowing it to open, increasing the amount of acid in the stomach, increasing stomach pressure, or by making the esophagus more sensitive to harsh acids. These factors include:

   • Eating large portions
   • Eating certain foods, including onions, chocolate, peppermint, high-fat or spicy foods, citrus fruits, garlic, and tomatoes or tomato-based products
   • Drinking certain beverages, including citrus juices, alcohol, caffeinated drinks, and carbonated drinks
   • Eating before bedtime
   • Being overweight
   • Smoking
   • Wearing tight-fitting clothing or belts
   • Lying down or bending over, especially after eating
   • Stress
   Iron Lady likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  21. KANCHI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2011
   Posts : 1,408
   Rep Power : 733
   Likes Received
   154
   Likes Given
   26

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Kwa muda gani jaman au ni tiba endelevu.
   MziziMkavu likes this.

  22. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 31,012
   Rep Power : 429503218
   Likes Received
   18080
   Likes Given
   55509

   Default Re: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

   Quote By KANCHI View Post
   Kwa muda gani jaman au ni tiba endelevu.
   Wewe unaweza kuishi katika dunia hii siku moja pasipo na kunywa maji? kama unaweza bora usinywe maji unasemaje?
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  23. Clean9

  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...