Jamani naomba mniambie jinsi ya kuondoa acne na pimples(CHUNUSI) usoni,nitashukuru pia mkinisaidia na njia ya kuondoa madoa usoni yaliyosababishwa na pimples
thanks.
Jamani naomba mniambie jinsi ya kuondoa acne na pimples(CHUNUSI) usoni,nitashukuru pia mkinisaidia na njia ya kuondoa madoa usoni yaliyosababishwa na pimples
thanks.
Pole sana.Chunusi huwa zinasumbua sana.Humfanya mtu akose kujiamini japokuwa ni hali ya kawaida hasa kwa vijana.Unachotakiwa ni kuhakikisha unasafisha uso wako mara kwa mara kuondoa uchafu ila usitumie sabuni kali.Epuka vyakula vya kukaanga au vyenye mafuta mengi .Epuka pia kula karanga, korosho n.k.Kula matunda na mboga kwa wingi.Fanya mazoezi na unywe maji mengi.Unaweza kutumia maji ya ndimu/limao kuoshea uso wako.Hali ikiwa mbaya sana onana na daktari ili akusaidie endapo utahitaji matibabu kwa maana kuna chunusi nyingine siyo za kawaida.
Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle
very simple mdau nenda kanunue vidonge vya VITAMIN A 8,000 IU,usp na wakati unatumia make sure hutumii haina nyingine ya vitamin ambayo inakupa vitamin a mwilini kwani hio hapo inatosha na ukiongeza zaidi sio vizuri.kuhusu kutoa madoa wana vitu vingi sana kwahio huwe muangalifu.jaribu kutumia products za aveeno kwa ajili ya acne na huwa ni natural mara nyingi na angalia iliokuwa oil free.na pia angalia mambo ya chakula kama women of substanc alivyo sema hapo juu.sema hizo vitamin a hapo ukianza kutumia njoo utupe jibu hapa ndani ya mwezi mmoja na isipo fanya kazi basi ujue unahitaji kumuona daktari.meza kidonge kimoja tu kwa siku wakati wa kula.
Last edited by Oxlade-Chamberlain; 10th August 2009 at 15:44.
"Nobody has enough talent to live on talent alone. Even when you have talent, a life without work goes nowhere". A. Wenger
nawashukuru sana,nitanunua Vitamin A ,nitakupa taarifa
Mi nilifikiri ni kwa sababu UNAKUA kumbe ni ugonjwa! Loh
"WHEN YOU REFUSE TO GIVE UP COMPETELY, THATS WHEN GOOD THINGS TEND TO HAPPEN! Never give up!" Shapu
Follow Us Here