JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

  Report Post
  Page 1 of 9 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 161
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Thumbs up Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Haya tena kwa wale wanaotaka kupunguza uzito wa mwili na unene Dawa imepatikana. Dawa za kupunguza

   unene na uzito mwilini kwa mwenye kutaka kupunguza uzito, unatumia Dawa moja wapo kati ya hizo

   nilizoweka picha hapo chini ni vidonge vya Mitishamba vilivyotengenezwa kwa utalaam wa kisasa na hizo

   dawa hazina madhara kwa Binadamu. Matumizi yake unakula Asubuhi kidonge kimoja na usiku kidonge kimoja

   kwa muda wa mwezi utakuwa umepungukiwa uzito wa kilo 4 na unatumia kwa muda wa miezi 6 utakuwa umepungukiwa

   uzito wa kilo 24 na hakuna Miiko wala masharti ya kula unakula chakula unachotaka Dawa inafanya kazi yake mwilini. Haya tena kwa mwenye kutaka hizo dawa itabidi upate chupa 6 zenye Vidonge 360 kwa kila chupa moja kuna vidonge 60 kila moja

   chupa 6 Bei yake ni Dola330 pamoja na gharama za utumaji Dawa . Ukizihitaji hizo dawa jaribu kunitumia mail kwa njia ya

   barua ya Pepe Email yangu ni hii hapa [email protected] Dawa ni nzuri zimepimwa kwa Mkemia Mkuu

   wa Serikali na hazina madhara kwa binadamu angalia picha zake hapo chini   Ingredients

   Contents of capsules Chestnut, Chestnut, Antioch Pepper, Berry, Pomegranate, Green Tea, Mandarin, Turunc,

   African Mango, Caffeine, Fennel, Anise, Chamomile and Coriandrum sativum were obtained in May. All the mixtures were prepared by expert hands the key to healthy weight loss.

   Allows the use of nutrients by the body after eating food that we eat liver. In doing so, the digestive system by

   breaking down complex molecules in the blood may be used or stored in the molecules makes. Then send

   useful ones again through the blood to other cells. Harmful ones, and from there a couple of ways of filtration

   of urea in the kidneys will process allows the body to be thrown. Foods we eat, our body gets the necessary

   energy for itself. If you need more nutrients, the liver is stored as fat for the use of these foods when hungry. In this way, the weight gain phase starts happening.

   You know that your body is not composed of fat permanently is possible with prolonged exercise and a strict

   diet. Alka Chestnut capsules in the form of herbal extracts, supports the digestive system and intestines

   function properly. After eating the capsules, penetrating oils will help you to turn into energy. In this way, the

   body store fat from the body through stools or urine supports disposed of.

   Experts in parallel with chestnut filling characteristics that contribute to feeding a lot of people have the

   nutrients has pointed out. Mango , pepper, green tea is well known that a lot of people

   that play an important role in weight loss only three plants and fruit.

   Speeding up the digestive system of a capsule after meals, will help remove the oil they become.

   How to Use?
   Chestnut capsule after meals is recommended to take one capsule at noon and in the evening

   Chanzo:MziziMkavu Kwa Mwenye Kutaka Hizi Dawa wasiliana na mimi kwa njia ya Email Barua ya Pepe nitumie Email yangu ni hii hapa [email protected]
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	FITOFORM PLUS.jpg 
Views:	0 
Size:	114.6 KB 
ID:	129510  
   Last edited by MziziMkavu; 31st December 2013 at 01:08.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  2. WLF 2

  3. #2
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 36,360
   Rep Power : 429504404
   Likes Received
   17688
   Likes Given
   19277

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Mkuu MziziMkavu...mie hata siku moja siwezi kumshauri mtu anayetaka kupunguza unene shortcut solution ambayo inaweza kuwa na side effects mbaya sana. Kwa kifupi mtu kama kweli anataka kupunguza unene basi hakuna jinsi ila ni kujifua tu na pia kuangalia vyakula vyake anavyokula labda vinachangia katika hiyo hali ya kuwa mnene.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  4. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By BAK View Post

   Mkuu BAK pamoja na kujifua wengine hawawezi kujifuwa ndio maana zikatengenezwa Dawa, ingelikuwa kila mtu anafanya Mazoezi basi hata wagonjwa hospitalini wasingelikuwepo Mkuu. Na wala kusengelikuwepo na Hao Ma Daktari ndio maana siku hizi kuna hospitali nyingi za watu binafsi kwa sababu Wagonjwa ni wengi kuliko mahitaji ya hospitali za serikali mkuu.
   BAK likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  5. #4
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 36,360
   Rep Power : 429504404
   Likes Received
   17688
   Likes Given
   19277

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Haya bana...lakini haya madawa mengine ni muhimu sana kwa mtumiaji mtarajiwa kufanya uchunguzi wa kina ili kujua athari zake kabla ya kuamua kuanza kuyamung'unya.

   Quote By MziziMkavu View Post

   MziziMkavu and Sumba-Wanga like this.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  6. #5
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 36,360
   Rep Power : 429504404
   Likes Received
   17688
   Likes Given
   19277

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  7. WLF 2

  8. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By BAK View Post
   Haya bana...lakini haya madawa mengine ni muhimu sana kwa mtumiaji mtarajiwa kufanya uchunguzi wa kina ili kujua athari zake kabla ya kuamua kuanza kuyamung'unya.
   Mkuu BAK Dawa ninazozitowa mimi ni Dawa za Mitishamba zilizotengenezwa kwa Utalaam wa kisasa yaani Vidonge au kwa jina la kizungu ni (Capsule Herb) hazina madhara kwa binadamu No Side effect, zimepimwa na Mkemia mkuu wa Seikali na kuthibitishwa kuwa hazina madhara kwa binadamu unatumia bila ya wasiwasi wowote mkuu. mimi huwa nikitangaza Dawa kwanza huwa ninaifanyia Uchunguzi na utafiti kabla ya kuitangaza ninaichunguza kwa watumiaji kisha ndio ninaitangaza sitangazi Dawa pasipo kupata uhakika wa hiyo dawa mkuu niamini hivyo.
   BAK likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  9. salosalo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2012
   Location : Arusha
   Posts : 546
   Rep Power : 617
   Likes Received
   143
   Likes Given
   38

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Hapa inabidi nipite bila kusalimia maana mwili wangu umenyooka kama mwanzi

  10. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By salosalo View Post
   Hapa inabidi nipite bila kusalimia maana mwili wangu umenyooka kama mwanzi
   Mkuu salosalo Pita njia kama gari la mashindano hapa tunawahitaji watu wanene wapewe Dawa za kupunguza unene wewe kama sio mnene hapa hapakufai umeruhusiwa kupita njia pita njia mkuu.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  11. salosalo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2012
   Location : Arusha
   Posts : 546
   Rep Power : 617
   Likes Received
   143
   Likes Given
   38

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu salosalo Pita njia kama gari la mashindano hapa tunawahitaji watu wanene wapewe Dawa za kupunguza unene wewe kama sio mnene hapa hapakufai umeruhusiwa kupita njia pita njia mkuu.
   Much respect mkuu
   MziziMkavu and Maundumula like this.

  12. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Mkuu BAK Dawa ninazotumia mimi Dawa za mitishamba au kwa jina la kizungu waweza kusema zinaitwa (Herb Capsule) zinatumika sana Bara la Asia haswa india na china zenye idadi ya watu wengi duniani kuliko nchi Zingine duniani India ina zaidi ya Watu 1.2 billion na China ina zaidi ya Watu 1.3 billion. Sasa itakuwa hapo kwetu Tanzania hatuwezi kufika zaidi ya watu Millioni 45? Ushahidi dawa za Mitishamba zinavyotumika kwa Wingi nchini india bonyeza hapa Herbal Capsules
   BAK likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  13. Bishop Hiluka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th August 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,247
   Rep Power : 86173397
   Likes Received
   820
   Likes Given
   196

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu salosalo Pita njia kama gari la mashindano hapa tunawahitaji watu wanene wapewe Dawa za kupunguza unene wewe kama sio mnene hapa hapakufai umeruhusiwa kupita njia pita njia mkuu.
   Kauli hii imetugusa wengi, nami wacha nipite tu kimya kimya...
   MziziMkavu likes this.
   It's better to be hated for who you are,
   than to be loved for someone you are not...

  14. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By Bishop Hiluka View Post
   Kauli hii imetugusa wengi, nami wacha nipite tu kimya kimya...
   Mkuu Bishop Hiluka Usijali kama wewe sio mnene sio mbaya ukasoma kisha ukapita njia kwani

   wanaotakiwa hapa kuchangia na kuuliza maswali ni Watu Wanene wengine watakuja kujaza Thread tu bila ya

   mpango wowote ule .Si unajuwa ukianzisha Thread ya kutaka kuwasaidia watu kuna member humu ndani watakuvamia na maneno ya mauzi

   na kuleta maneno ya Pumba, mpaka ukasirike wewe uliya anzisha Thread ya kutaka kuwasaidia watu basi kuna

   wanachama wengine kazi yao tu ni kuharibu Thread yako ndio maana nikasema hivyo mkuu samahani kama nimekukwaza.
   Bishop Hiluka and cutetoto like this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  15. PakaJimmy's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,212
   Rep Power : 16106704
   Likes Received
   8106
   Likes Given
   3624

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Mkuu Mzizi,
   Tutawasiliana maana nishafanya mazoezi sn, na nishapiga zile diet za mpangilio, wapi!
   Nishaacha kula carbohydrates kwa miezi, wapi.
   Huenda hii ikafanyd kazi.
   MziziMkavu and snowhite like this.

  16. zubedayo_mchuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2011
   Location : ELitrea-kismayu-DRC
   Posts : 4,417
   Rep Power : 71314
   Likes Received
   953
   Likes Given
   58

   Default

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu BAK Dawa ninazozitowa mimi ni Dawa za Mitishamba zilizotengenezwa kwa Utalaam wa kisasa yaani Vidonge au kwa jina la kizungu ni (Capsule Herb) hazina madhara kwa binadamu No Side effect, zimepimwa na Mkemia mkuu wa Seikali na kuthibitishwa kuwa hazina madhara kwa binadamu unatumia bila ya wasiwasi wowote mkuu. mimi huwa nikitangaza Dawa kwanza huwa ninaifanyia Uchunguzi na utafiti kabla ya kuitangaza ninaichunguza kwa watumiaji kisha ndio ninaitangaza sitangazi Dawa pasipo kupata uhakika wa hiyo dawa mkuu niamini hivyo.
   Mkemia wa serikali hii ya Chama cha Mapinduzi,tokea ameanza kazi sijawah sikia ameripoti tofauti,kila kipitacho kwake kipo sawa.

  17. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By zubedayo_mchuzi View Post
   Mkemia wa serikali hii ya Chama cha Mapinduzi,tokea ameanza kazi sijawah sikia ameripoti tofauti,kila kipitacho kwake kipo sawa.
   Mkuu zubedayo_mchuzi Mkemia wa Serikali ya huku nilipo nje ya nchi mkuu mimi sipo Tanzania nipo Ughaibuni huku nilipo ndipo Dawa inapo patikana ukitaka dawa wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa [email protected]
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  18. zubedayo_mchuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2011
   Location : ELitrea-kismayu-DRC
   Posts : 4,417
   Rep Power : 71314
   Likes Received
   953
   Likes Given
   58

  19. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By PakaJimmy View Post
   Mkuu Mzizi,
   Tutawasiliana maana nishafanya mazoezi sn, na nishapiga zile diet za mpangilio, wapi!
   Nishaacha kula carbohydrates kwa miezi, wapi.
   Huenda hii ikafanyd kazi.
   Mkuu PakaJimmy hizi Dawa ninakuhakikishia ukitumia na unaweza kula chakula kama kawaida na utapunguwamwili wako kwa kila mwezi utapunguwa kilo 4 Dawa ni za mitishamba hakuna Chemical na hazina madhara kwa binadamu ninakuhakikishia ukitumia hizo dawa huhitaji kutumia dawa yoyote ile zaidi ya hizo na ukimaliza utakuwa umepunguwa hata kama una tumbo kitambi,mafuta mwilini pia inaondowa unarudi mwili wako mzuri kama kawaida ukiwa teyari nitumie Email nitakupa contact zangu zote. Email yangu ni hii hapa [email protected]
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  20. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 32,436
   Rep Power : 429503516
   Likes Received
   19280
   Likes Given
   58695

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Quote By zubedayo_mchuzi View Post
   Nimekusoma,nilifikiri mkemia wa TZ.
   mkuu zubedayo_mchuzi Sipo mimi Tanzania nipo nje ya nchi Ughaibuni Asante mkuu
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  21. omben's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th May 2012
   Posts : 573
   Rep Power : 541
   Likes Received
   154
   Likes Given
   1037

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Naomba kuuliza. Hizi dawa zinapunguza unene au uzito?
   MziziMkavu and Maundumula like this.
   Lichungeni kundi la MUNGU lililo kwenu,na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu,bali kwa moyo.

  22. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 24,624
   Rep Power : 429501911
   Likes Received
   19232
   Likes Given
   9069

   Default Re: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini

   Best, mwenyewe nimekuwa tempeted hapa. Kuna miili mibishi jamani, mie naenda gym 5 days a week na workout ya 2 hours. Najaribu kuangalia diet lakini i just feel light ila sipungui uzito.
   Labda kutumia pills na huku mazoezi yanaendelea inaweza kuwa safi zaidi?
   Quote By BAK View Post
   Mkuu MziziMkavu...mie hata siku moja siwezi kumshauri mtu anayetaka kupunguza unene shortcut solution ambayo inaweza kuwa na side effects mbaya sana. Kwa kifupi mtu kama kweli anataka kupunguza unene basi hakuna jinsi ila ni kujifua tu na pia kuangalia vyakula vyake anavyokula labda vinachangia katika hiyo hali ya kuwa mnene.
   Maundumula likes this.
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou  Page 1 of 9 123 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...