| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 795
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu,you're right.
lakini inategemea na mtu pia na process nzima ya delivery ilikuwaje,kama ilikuwa ni normal na haikuacha damage kubwa inaweza hata kuwa after 3 weeks tu.lakini inafaa kusubiri zaidi ikiwezekana hata miezi miwili kwani inawezekana mzazi asiwe comfortable na tendo na kwa wengine kutokana na kunyonyesha na stress za kumtunza mtoto husababisha awe 'mkavu' sana na pengine anaweza akasikia maumivu which may lead to uterine infection. lakini kama mzazi yuko katika hali nzuri,kama mkuu alivyotangulia kusema after 40 days ur ready to go. |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hi, Nguli!
Mara nyingi Madaktari wanapendekeza ni baada ya 3months, ili kutosababisha some infection kwa mama, kwani unajua sehemu nyingi huko ndani kuna kuwa bado hakujarudi katika ile hali ya Unormal. kwa hiyo after 3months ndio kipindi kizuri tu cha kuenjoy! Alinda |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
90 days ....as minimum, kwa afya zaidi 120days.
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Thanks Alinda,Vipi kama mtu kajifungua kwa operesheni???
__________________
Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them. Dick Van Dyke
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hi, M!
Kwa hilo sina uhakika kwani mimi nilipojifungua dk alisema tusubiri miezi 3, kwa Operation nafikiri 6wks! (sina uhakika) |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
MM mke wangu huwa anazaa kwa kisu,na anavopenda kutiwa ,wiki tu tunaendeleza!na yuko comfortable,inategemea mtu na mtu!
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Hapa ni vema madaktari ndio watupe ushauri. Wewe uliyeanza mapema kwa sababu tu mke wako anaendekeza, angalia sana!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:43 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||