JF DoctorWe care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kila binadamu ni mgonjwa, suluhu ya tatizo lako yaweza kupatikana kwa kuuanika ugonjwa. Karibu
Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa hakina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.
kabla ya kila mmjoja kuweza kuwa muaminifu dawa itakuwa nini? wazee wa kazi hebu tuwe wakweli kidogo. nani ataniambia kuwa muaminifu ni kitu kiachowezekana kwa asilimia 25 tu ya wakazi (Miaka 14-35) wa Kinondoni B au7 Mazanse?
condom haina maana ikitumika ni uzinzi, lengo lake la awali lilikuwa ni kupanga uzazi
Mkuu umesema lengo la awali lilikuwa kupanga uzazi(Wakati uliopita),je lengo la sasa ni lipi kama si kukaribisha zinaa?Acha kushabikia mambo ya kuvunja amri ya 6 aliyopewa mussa na mwenyezimungu!
Mkuu umesema lengo la awali lilikuwa kupanga uzazi(Wakati uliopita),je lengo la sasa ni lipi kama si kukaribisha zinaa?Acha kushabikia mambo ya kuvunja amri ya 6 aliyopewa mussa na mwenyezimungu!
Lengo la awali kabisa ndio ilikuwa kupanga uzazi, na kwasasa ndio imekuwa haya mambo ya kuzuia magonjwa.