| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 981
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kunywa maji nayo imekuwa issue, umekosa cha kuchangia au ubunifu katika hoja za kuanzisha thread basi nyamaza. This is too low. Kama ni maji hata wewe unatakiwa kunywa, tena sana tu, lita tano kwa siku.
__________________
Stimulus package....... |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Katika hiyo post ni sehemu gani inayoonyesha nimemnyanyapaa? Au hujaona thread ya Liyumba hapa JF Mkuu? Mimi nataka kujua juu ya chupa ya maji. Kama unaweza kujibu poa, maana kuna wengi wanaenda mahakamani na siwaoni na chupa hizo. It is simple and clear! Sasa mtu mzima kelele za nini? Ukisikia kunyanyapaa sasa ndo huko unakoelekea sasa. Jaribu kufocus katika issue badala ya kuleta tafsiri zako. Mimi ni mwanaharakati wa Mapambano ya Ukimwi na kuna somo nataka tupeana hapa kwa kuelimishana. Angalia thread zangu za ukimwi. Umeona thread hii iko jukwaa gani? |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kama unajua kuna thread mahsusi ya Liyumba, kwa nini usingeuliza huko hadi uanzishe thread nyingine, eti ' ana kale kaugonjwa'. Hujafa hujaumbika.
__________________
Stimulus package....... |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
JF bwana kweli ni jamvi! QED. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
No Wonder!
katika thread 8 ulizoanzisha, 4 ni za Malalamiko! |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Liyumba kuwa na chupa ya maji kuna tatizo gani hadi umuulize JF Doctor. Superman umemnyanyapaa Liyumba kwa vile umesikia 'ana kale ka ugonjwa'.
__________________
Stimulus package....... |
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nadhani wanapewaga maji huko lockup, watuhumiwa wengi sana nimewaona wanashuka na chupa za maji.
__________________
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.” |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Bahati mbaya mkuu huwa hao wengine siwaoni nazo. Unajua chochote juu ya Water Therapy na inasaidiaje?
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:12 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||