Madhara ya kula unga wa sembe - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Education, Science & Technology Forums > JF Doctor


JF Doctor We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kila binadamu ni mgonjwa, suluhu ya tatizo lako yaweza kupatikana kwa kuuanika ugonjwa. Karibu


Reply
 
LinkBack Thread Tools Display Modes
Old 25th June 2009, 06:10 PM   #1
Madhara ya kula unga wa sembe
JosM JosM is offline 25th June 2009, 06:10 PM

wanaJF naomba ushauri wenu.Nina rafiki yangu wakike ambae anatatizo la kula unga wa sembe,tabia hii ameianza toka alipo kuwa msichana(kuvunja ungo)toka wakati huo hadi leo hii amejaribu njia mbali mbali ambazo zitamfanya achane na tabia hiyo imeshindikana.Sasa imefikia wakati anachukua unga kwenye mkoba wake anaenda nao officen,jioni akirudi anachukua mwingine tena....pia katika pita pita zangu nimegundua baadhi wanawake wana tabia za kula vitu vya hajabu hajabu,kwa mfano kuna wanao kula udongo/mkaa sijajua ili tatizo lina sababishwa na kitu gani.
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.

 
JosM's Avatar
JosM
JF Senior Expert Member
Points: 152,694, Level: 100 Points: 152,694, Level: 100 Points: 152,694, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
Join Date: Sat Oct 2008
Location: Dar es salaam/Kampala/lam
Posts: 638
Thanks: 8
Thanked 6 Times in 6 Posts
Views: 176
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
kula, madhara, sembe, unga


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Tiba za Asili Maxence Melo JF Doctor 4 11th December 2009 05:36 PM
Kula huku kula gani? Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Siasa 23 28th July 2009 08:58 PM
Madhara ya mafuta mwilini Bikra Habari na Hoja mchanganyiko 0 2nd June 2009 04:44 PM
~&~ Kula Tunda kwa Kuiba! ~&~ Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Lugha 10 17th May 2007 01:21 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 11:12 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com