| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 583
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Jamaa unajua kujieleza aisee! Hongera.
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ni katika kutaka kueleweka tu ndugu yangu, huwa napenda sana mtu aelewe ninachozungumza mkuu wangu Babuyao!
__________________
Heri kupendwa na mwenye akili mmoja, kuliko kupendwa wapumbavu maelfu! |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
mabadiliko yanayoikabili dunia...
zamani kulikuwa na kuku wetu... siku hizi wanaitwa kuku wa kienyeji baada ya kuja hawa wakisasa, kuku wa kisasa ni wengi kuliko wa kienyeji... muda utafika kuku wa kienyeji watapotea kabisa. ngombe nao ni hivyo hivyo na mbegu za mahindi, mpunga, mapapai, maembe na kadhalika.
__________________
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
mambo ya hormonal imbalance .
__________________
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor" |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Naamini kuna sababu kisayansi au kibailogia zaidi kuliko hii ya breeds. |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Kama ni hiyo hakutakuwa na mabadiliko itakuwa ni kuhama kwa jinsia tu, maana wanaume nao watakuwa kama wanawake!
__________________
Heri kupendwa na mwenye akili mmoja, kuliko kupendwa wapumbavu maelfu! |
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ndiyo maana siku hizi kuna mashoga na wasagaji mazee,, mambo ya kubadilishana majukumu hayo..
Joking LOL!
__________________
Nobody can do everything but everybody can do something. |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
What is this?! Siku hizi hapa JF upupu umezidi sana. Kuna haja ya kuanza ku-screen posts, vinginevyo inakuwa vigumu sana kuchagua posts za kusoma. Invicible? |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Lakini umesha waona wanigeria ?Huwezi kufananisha Mwanamume na mwanamke LoL Mungu tuepushie mbali tusije tukafikia kuwa na kizazi kama cha wale jamaa hapa nchi kwetu.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 11:04 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||