Kwanini baadhi wanawake wanakuwa na maumble ya kiume, na baadhi wanaume ya kike?
JF DoctorWe care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kila binadamu ni mgonjwa, suluhu ya tatizo lako yaweza kupatikana kwa kuuanika ugonjwa. Karibu
Hivi inakuwaje jamani, unakuta Mwanamke anamandevu, mishipa iliyisimama kweli!, nywele ndefu miguuni na mikononi, goti kavu na limejaa nywele kama kichwa!
Au hata hizi suruali zao wanazo vaa sana siku hizi utaona wengine hawana makalio kabisa! au hata kama yapo basi yapoyapo tu, utadhani "Skonzi" mbili zimepachikwa tu mahali! wakati mwingine utakuta hizo "Skonzi" moja iko juu kidogo nyingine iko chini!
Lakini the other sade;
Utakuta Jibaba lina maziwa ya kike kabisa kifuani, lina shepu safi kabisa umbo namba nane! Halina kandevu hata kamoja! huku limesheheni sauti nyororo kama ya RayC!
Jamani kitaalamu hali hii ninini? na inatokana na nini?
__________________
Heri kupendwa na mwenye akili mmoja, kuliko kupendwa wapumbavu maelfu!
What is this?! Siku hizi hapa JF upupu umezidi sana. Kuna haja ya kuanza ku-screen posts, vinginevyo inakuwa vigumu sana kuchagua posts za kusoma. Invicible?
what is this?! Siku hizi hapa jf upupu umezidi sana. Kuna haja ya kuanza ku-screen posts, vinginevyo inakuwa vigumu sana kuchagua posts za kusoma. Invicible?
what is wrong with this post? Au kulalamika jadi yako??
__________________
Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them. Dick Van Dyke
What is this?! Siku hizi hapa JF upupu umezidi sana. Kuna haja ya kuanza ku-screen posts, vinginevyo inakuwa vigumu sana kuchagua posts za kusoma. Invicible?
Mkuu wangu, kwa jinsi ulivyosema hapa ninaweza hata kukutajia umri wako! Inaonekana ni wale wazee tunao waita "wanoko" walioachwa na wakati! amabao hata wake zao nyumbani wanawaamkia 'shikamoo baba', huku watoto hawaruhusiwi kabisa kumsogelea baba yao achilia mbali kuongea nae!
Huyo Invicible kaona ila hana mtizamo kama wako wa kutazama kitu huku umesimamia mikono miguu iko juu! lazima utkuwa unaona taswira tofauti na kitu halisi.
Dunia hii nipana, usijifungie chumbani baba, jifinze na na mambo mapya au usiyoyajua! .....lasivyo utakuwa kituko!
__________________
Heri kupendwa na mwenye akili mmoja, kuliko kupendwa wapumbavu maelfu!
Hivi inakuwaje jamani, unakuta Mwanamke anamandevu, mishipa iliyisimama kweli!, nywele ndefu miguuni na mikononi, goti kavu na limejaa nywele kama kichwa!
Au hata hizi suruali zao wanazo vaa sana siku hizi utaona wengine hawana makalio kabisa! au hata kama yapo basi yapoyapo tu, utadhani "Skonzi" mbili zimepachikwa tu mahali! wakati mwingine utakuta hizo "Skonzi" moja iko juu kidogo nyingine iko chini!
Lakini the other sade;
Utakuta Jibaba lina maziwa ya kike kabisa kifuani, lina shepu safi kabisa umbo namba nane! Halina kandevu hata kamoja! huku limesheheni sauti nyororo kama ya RayC!
Jamani kitaalamu hali hii ninini? na inatokana na nini?
Mkuu, you really made up my morning :-) Yaani unajua ku-articulate points zako kwenye suali kiasi kwamba hata mbumbumbu ataelewa unauliza nini :-)
Suali zuri sana. Nimebanwa kidogo. Nitatafuta muda nijaribu kuchangia.
Heshima!
__________________
"Don't cross your bridges before you come to them."
Re: Kwanini baadhi wanawake wanakuwa na maumble ya kiume, na baadhi wanaume ya kike?
Kila binadamu anapotungwa tumboni kwa mamaye anakuwa anazo hormone zote..za kike na za kiume.Baada ya kuzaliwa na kuanza kukua na kubadilika kutoka utoto kwenda utu uzima - puberty - zile za jinsi yake huwa nyingi zaidi na kumpa features stahili.Inapotokea hormone za jinsi ile nyingine zimezidi basi hata maumbile nayo yanapata athari ulizozitaja.Vilevile kuna uwezekano wa kuathirika na madawa ya kula na kupaka ( wanawake wengi sasa wana ndevu kama wanaume!)
Pia huenda hata zamani maumbile ya kike kwa mwanaume na ya kiume kwa mwanamke yalikuwapo ila labda kwa sababu ya aina ya mavazi watu wavaayo siku hizi ndiyo yanajionyesha zaidi..sijui lakini.
Wanawake wanaotumia mikorogo ya kumeza na kujipaka wajihadhari sana.... mengine yana hormone za kiume testisterone kwa viwango vya juu.
__________________ Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. -- Buddha
Re: Kwanini baadhi wanawake wanakuwa na maumble ya kiume, na baadhi wanaume ya kike?
Zamani ma babu zetu walikuwa nanasema kuwa mwanamke mwenye ndevu, wana nyota ya mali! je, hilo kuna aliewahi kusikia au ni mimi? na tunalionaje hili linaweza kuwa kweli?