JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

  Report Post
  Page 4 of 16 FirstFirst ... 23456 14 ... LastLast
  Results 61 to 80 of 305
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu wazima na tuna akili timamu na tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni Uchaguzi wako

   Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” ktk jamii nyingi Ulimwenguni si​o kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na ina madhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

   Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi.

   Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.

   Inasemekana kuwa wanawake kuwa hawana hisia za utamu au raha ndani ya Tigo bali wanaume wanahisia Fulani na unono huko kunako “O” na baadhi husimamisha zaidi ikiwa watabonyezwa katikati ya mapumbu na sehemu ya kunyea au kuchuliwa/shikwa/kandwa/lambwa kwa vile kuna vijimishipa ambavyo ni “most sensitive”na hupelekea wapate utamu ule wanaopata wanawake wanapotandikwa kwenye “kipele G”. ……

   Lakini kutokana na miiko wanaume wengi huwa hawaruhusu hii kwa vile wanahisi kuwa hakuna tofauti na kuwa shoga au wanadhani watazoea na kuwa “watoto wa watu” (Ushoga ni hali/hisia ya kuvutiwa/kutamani mtu wa jinsia yako sio kushikwa au kufurahia sehemu ya mwili wako).

   Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.

   Ukweli kuhusu Tigo.
   - Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa Tigo kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya wa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “natural” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

   Tigo hauna ute asilia wa kuisaidia mboo kuingia bila “kwere” hivyo unahitaji vilainisho maalumu ili kurahisisha hilo.

   - Hakikisha mnatumia Condom zenye “polyurethane” hizi inasemekana ni imara na zinahimili joto la huko kumavi kuliko zenye “spermicides” kwani husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya kunyea.

   -Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

   -Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).

   -Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).

   -Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)…..fikilia unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani yanaitwa “mabungo”…tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya kutereza bila taarifa…..sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa kimba…utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.

   -Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko hutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.

   Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

   *Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

   Ushauri wa bure-kwa wanawake Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe Tigo lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

   Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo au faida kama zipo.
   Last edited by MziziMkavu; 7th September 2012 at 20:38.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  2. #61
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,970
   Rep Power : 429505983
   Likes Received
   26189
   Likes Given
   28962

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   ...Shule hii ngumu banaa MziziMkavu...wengine (wake kwa waume) wameshaonja asali na unajua tena kila aliyeonja asali shurti.....

   Quote By MziziMkavu View Post
   Kwa Maelezo yako mkuu kang Una halalisha watu watumie Tigo? Kwa Starehe zao?
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  3. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By BAK View Post
   ...Shule hii ngumu banaa MziziMkavu...wengine (wake kwa waume) wameshaonja asali na unajua tena kila aliyeonja asali shurti.....
   Kila aliye onja Asali hawezi kuiacha Mkuu BAK?

   Hatari zilizoko kwenye ngono ya nyuma

   Uchafu: Ushoga unawaweka wahusika katika hali ya hatari ya uambukizi kwa sababu ya IDADI KUBWA YA VIINI VYA MAAMBUKIZI. Hii ni hatari kubwa sana hasa uume inapotumbukizwa kwenye tundu ya kutolea kinyesi kwanza halafu kwenye tundu ya tupu ya mwanamke.

   Magonjwa ya kuambukizwa: Magonjwa yanayoambatana na ngono ya nyuma ni HIV, saratani ya tundu ya mav.i na yale yanayopatikana kwenye mav.i kwa mfano: kuambukizwa kwa njia ya mkojo (UTIs), amoebiasis, shango, kisonono, salmonellosis, kaswende na mengineo.

   • Ushoga ni mojawapo ya ngono hatari SANA kwa uambukizi wa HIV.

   • Kuharibika kwa rectum [bakuli] na tundu ya kutolea mav.i—matokeo yake ni kutoweza kuzuia hata mav.i. Kwa kina mama wanao karibia kujifungua upata sana tabu wanaposukuma mtoto kwa ajili ya kuzaa na matokeo yake kutoka kinyesi badala ya mtoto, na hii inasababisha madhara kwa mama na mtoto.

   • Ukumbuke hata ukitumia kondomu ngono ya nyuma ni hatari sana

   Asilimia 90% ya wanaokula TIGO anapofikia umri wa miaka 50 huwa wanapata ugonjwa wa kuziba mrija wa kutolea mkojo na cancer Kansa ya kibofu cha mkojo. Sababu: Wakati unapokula TIGO na kukaribia kukojoa shahawa, intraurethal pressure huwa inaongezeka na uretha (mrija wa mkojo) huwa unatanuka na kuwa mpana kiasi cha kuweza kuvuta chembechembe za mavi na kuingia kwenye mrija wa mkojo, hizi chembechembe zikirundikana sana huwa zinakuwa nyingi na kusababisha mrija kuziba na zikikaa kwa muda mrefu sana zinasababisha cancer Kansa kuanzia kwenye mrija hadi kwenye kibofu cha mkojo.

   Ukiliwa TIGO, sphinter zinacontrol haja kubwa isitoke na kurundikana kwenye rectum huwa zinalegea, zikisha legea tu unashindwa kuweza kucontrol haja kubwa na inaweza kukutoka bila ya wewe kujijua, kwa mwanamke huwa hina madhara sana, huwa wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida, kila akisukuma mtoto, haja kubwa inamtoka bila taarifa.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  4. #63
   Kang's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2008
   Posts : 4,428
   Rep Power : 2743
   Likes Received
   891
   Likes Given
   34

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By MziziMkavu View Post
   Kwa Maelezo yako mkuu kang Una halalisha watu watumie Tigo? Kwa Starehe zao?
   Ndo maana yake, kama partners wote wanakubali na wanaenjoy tatizo liko wapi?
   “Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”

  5. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By Kang View Post
   Ndo maana yake, kama partners wote wanakubali na wanaenjoy tatizo liko wapi?
   inaonyesha wewe ni mmojawapo wana halalisha Tendo la Tigo ahhh? mimi nilifikiri utachangia kukataza kumbe na wewe unaunga mkono mkuu Kang? kumbe muko wengi mnaopenda huo ugonjwa sugu??????
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  6. #65
   Kang's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2008
   Posts : 4,428
   Rep Power : 2743
   Likes Received
   891
   Likes Given
   34

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By MziziMkavu View Post
   inaonyesha wewe ni mmojawapo wana halalisha Tendo la Tigo ahhh? mimi nilifikiri utachangia kukataza kumbe na wewe unaunga mkono mkuu Kang? kumbe muko wengi mnaopenda huo ugonjwa sugu??????
   Sio tatizo la kupenda au kutopenda kama wapendanao wanataka kufanya NI RUKSA!!
   “Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”

  7. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By Kang View Post
   Sio tatizo la kupenda au kutopenda kama wapendanao wanataka kufanya NI RUKSA!!
   Ahh umekuwa Wewe ni Mzee wa Ruksa? ninakuacha mkuu Kang it's you choose
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  8. webondo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2012
   Location : Chini ya mwembe
   Posts : 1,652
   Rep Power : 818
   Likes Received
   260
   Likes Given
   617

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Bahati mbaya wachangiaji wengi wa hii mada hapa jamvini naona ni wanaume, nilitamani nione experience ya kina dada wengi na mtazamo wao kuhusu "0713......" ingawa kumekuwa na imani ya kipumbavu hasa kwa kina dada/mama kuwa mwanaume ukimpa nyuma basi unakuwa umemkamata (hatoki), sina hakika huo upumbavu wanafundishana wapi. Yes kuna madhara makubwa kwa kufanya ngono ya nyuma. Ingawa pia wapo wanaume wengi ambao wanapenda zaidi ngono ya nyuma, kwa bahati mbaya tamaduni za maeneo mengi ni kuwa mwanaume ndiye mwenye maamuzi katika aina ya ngono ambayo wanahitaji kufanya. Ni kama ilivyo matumizi ya condom, mara nyingi uamuzi wa utumiaji wa condom uko upande wa mwanaume zaidi, mwanaume akisema NO condom... hakika condom haitatumika, pia mwanaume akisema YES for condom... basi condom itatumika. Naamini hata wewe ambaye unasoma hii unaungana nami kwa hilo. Kwahiyo, pia kuna sababu nyingi zinazopelekea watu kufanya ngono ya nyuma, zikiwemo;
   -ignorance (kutotambua madhala/athari zake)
   -addiction (Unakuta mtu alishafanya/kufanyiwa kisha anashindwa kuacha kwani tayari anaona utamu
   -Kukosa maamuzi (kufanya ngono ya nyuma pasipo ridhaa), huchangiwa na umaskini.
   -Biashara -Kuna ambao wanafanya ili walipwe
   -Kuokoa mahusiano yao- hii inatokea mwanamke anafanya ngono ya nyuma kwa kuamini asitoke nje kwa kudhani pengine kama anatoka nje basi huenda anapewa tigo huko nje
   -Kutunza bikra ya mbele... wapo ambao wanafanya hivyo ili wasifanye ngono ya mbele, ili wabaki na bikra zao
   -kuamini (kwa wanaume) kuwa nyuma kuko tight kuliko mbele
   -pamoja na sababu zingine nyingi...

   Kwahiyo, hakika ngono ya nyuma ni mbaya.

  9. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By webondo View Post

   Hongera Mkuu webondo umezungumza maneno yako ni ya Point na pia kuna ambao huangalia picha zaVideo pia zinachangia sana suala hili la ngono ya nyuma Tigo Ningeomba pia Serikali iwaelimishe watu Madhara yake kwa kila hali itakuwa ni jambo zuri sana suala hili kulichukulia umuhimu wake asante sana mkuu webondo ubarikiwe mbinguni amen.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  10. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 3,125
   Rep Power : 86127604
   Likes Received
   1140
   Likes Given
   907

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Mkereketwa_Huyu Usimtukane Mkuu.@Janjaweed Mfahamishe nini Madhara ya kula Tigo sio kumtukana tafadhali jiheshimu usiniharibie Thread yangu mkuu.
   MziziMkavu hujaelewa maana yangu na kama umeelewa nimemtukana Janjaweed niwie radhi tafadhali. Mimi nimemuuliza kama anafirwa kutokana na yeye kutetea uliwaji wa Tigo. Janjaweed sijakutukana, naomba msamaha tafadhali, nimekuuliza tu.

  11. Janjaweed's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2010
   Posts : 8,579
   Rep Power : 399135374
   Likes Received
   4581
   Likes Given
   6019

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post

   Unaona sasa, ukiwa unafirwa basi unadhani kila mtu anafirwa........... mimi nimezungumzia matumizi ya njia mbadala za kufanya ngono, TIGO ikiwa moja wapo

   KWANINI USISEME NATETEA KULA TIGO???

   Aftrall i gave the answer already and dogo you must udnerstand, the purpose of this thread was very good, ila baadhi yenu mnaharibu a very good discussions ili tu kulinda facts zinazotakiwa hapa

   anyway, we differ in understanding things
   Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

  12. Mwanaweja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Posts : 3,575
   Rep Power : 1267
   Likes Received
   498
   Likes Given
   1132

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   MziziMkavu naomba leta hata madhara kwa wanaume maana nje ya hapo wanaume wanafikiria kuna madhara kwa wanawake tu kume pia hata kwa wanaume

  13. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By Mwanaweja View Post
   MziziMkavu naomba leta hata madhara kwa wanaume maana nje ya hapo wanaume wanafikiria kuna madhara kwa wanawake tu kume pia hata kwa wanaume
   Mkuu Mwanaweja
   Ulawiti

   Je bibilia yasema nini kuhusu mapenzi ya namna hii? Imeandikwa, Warumi 1:26-27 "Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tama zao za aidu hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasio ya asili wanaume nao vivyo hivyo, waliyaacha mtumizi ya mke, ya asili wakawakiana tama wanaume wakayatenda yasiyopasa wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao."

   Je! mapenzi ya namna hii ni dhambi? Imeandikwa, Mambo ya walawi 18:22 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo."

   Je anayefanya mapenzi ya namna hii atauridhi uzima? Imeandikwa, 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

   Kama watenda dhambi wengine wanao fanya mapenzi ya namna hii wameitwa kutubu dhambi zao. Imeandikwa, 1Timotheo 1:10-11 "Na wazinzi, na wafiraji, na waibao watu, na waongo nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana mafundisho yenye uzima, kama vile ilivyo nenwa katika habari njema ya utukufu wa Mungu ahidimiwaye, niliyowekewa amana."

   Dhambi ya aina yo yote itupiliwe mbali na tuombe msamaha kwa Mungu. Imeandikwa, 1 Wakorintho 6:11 "Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii, lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu."

   Kuna tumaini kwa wao watendao mapenzi ya namna hii. Imeandikwa, 1Wakorintho 10:13 "Jaribu halikuwapata ninyi isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu ila Mungu ni mwaminifu ambay hatawaachamjaribiwe kupita mwezavyo lakini paoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ilimweze kustahimili."

   Je! kama wanfanya mapenzi ya namna hii ufanye je?. Kwanza kubali dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 51:2-4 "Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhmbi zangu... maana nimeyajua mimi makosa yangu "

   Pili omba msamaha kwa Mungu. Imeandikwa, Zaburi 51:7-12 "Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, unioshe nami nitakuwa mweupe kuliko theluji unifanye kusikia furaha na shangwe mifupa uliyoiponda ifurahi. Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Ee Mungu

   uniumbie moyo safi, uifanye upia roho iliyotulia ndani yangu. Usinitenge na uso wako wala Roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako unitegemeze kwa roho ya usafi."

   Tatu kubali yakuwa Mungu amekusamehe dhambi zako. Imeandikwa Zaburi 32:1-6 "Heri aliyesamehewa dhambi, na kusitiriwa makosa yake. Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,, ambaye rohoni mwake hamna hila. Niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa kwa kuugua kwangu mchana kutwa kwa

   maana mchana na usiku mkono wako ulinilemea. jasho langu likakauka hata nikawa kama nchi kavu wakati wa kaskazi. Nalikujulisha dhambi yangu wala sikuufisha upotovu wangu nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu. Kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana, hakika maji makuu ya furikapo hayatamfikia yeye."
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  14. CHUDU KHAMIS's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th September 2012
   Location : TABORA
   Posts : 33
   Rep Power : 475
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Imani yangu umeleweka mukubwa Akili kwa kichwa atakeona tamu hbaaaaac aendelee." Km ulivyo sema unaheshim maamuzi ya mutu!

  15. CHUDU KHAMIS's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th September 2012
   Location : TABORA
   Posts : 33
   Rep Power : 475
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Kuna Best yangu anasumbuliwa na tatizho la kutokwa na manii pindi anapokwenda aja kubwa hata ndogo." Tatizho nini na kipi chakufanya ili kukomesha ali hiyo?

  16. CHUDU KHAMIS's Avatar

  17. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By CHUDU KHAMIS View Post
   Kuna Best yangu anasumbuliwa na tatizho la kutokwa na manii pindi anapokwenda aja kubwa hata ndogo." Tatizho nini na kipi chakufanya ili kukomesha ali hiyo?
   Huyo Best wako ni wa kike au wa kiume? CHUDU KHAMIS
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  18. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 3,125
   Rep Power : 86127604
   Likes Received
   1140
   Likes Given
   907

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By Janjaweed View Post
   Unaona sasa, ukiwa unafirwa basi unadhani kila mtu anafirwa........... mimi nimezungumzia matumizi ya njia mbadala za kufanya ngono, TIGO ikiwa moja wapo

   KWANINI USISEME NATETEA KULA TIGO???

   Aftrall i gave the answer already and dogo you must udnerstand, the purpose of this thread was very good, ila baadhi yenu mnaharibu a very good discussions ili tu kulinda facts zinazotakiwa hapa

   anyway, we differ in understanding things

   Wa.se.nge bwana kwa kuji-confuse? Kwa nini kila kukicha mnakuwa na hasira na watu? All I did was ask you a very simple question baada ya kusoma thread yako ya kutetea kufirwa ama kusifia kuliwa TIGO. Pale jibu ambalo ulitakiwa kujibu ni ndiyo unaliwa TIGO ama hapana, basi. Kama unaliwa TIGO ungetoa point ama hoja zako ili wenzio (wanaotarajia kuliwa kama wewe) wapate kujua kuna raha gani unapata. Hii ndiyo JF, elimisha wenzako ili nao wapate faida usiwe mchoyo. After all, ni starehe yako mwenyewe na faida yako usiwe na hasira na mimi kwani wanaokushikisha mwembe usiku ni wengine mimi sihusiki. Sasa nakushangaa unakuja na hasira kama mbogo aliyejeruhiwa kwa kuulizwa kitu simple tu, je majirani zako wakikumulika tochi usiku wakati unashikishwa mwembe na wale watoto wa baba mwenye nyumba yako si utawaua kwa hasira zako za kijinga? Siku nyingine, jaribu kujibu swali unaloulizwa na si kutoa tu hasira zako baada ya kubainika starehe yako ni nini. MziziMkavu, huyu kijana wako ametaka mwenyewe kujidhalilisha, nimemuuliza swali tu kwa wema yeye akaja na hasira zake, nakuomba usituite nyumbani kwako kutusuluhisha tutayamaliza hapa hapa kwa vijembe.

  19. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,502
   Rep Power : 429504385
   Likes Received
   22048
   Likes Given
   68192

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Wa.se.nge bwana kwa kuji-confuse? Kwa nini kila kukicha mnakuwa na hasira na watu? All I did was ask you a very simple question baada ya kusoma thread yako ya kutetea kufirwa ama kusifia kuliwa TIGO. Pale jibu ambalo ulitakiwa kujibu ni ndiyo unaliwa TIGO ama hapana, basi. Kama unaliwa TIGO ungetoa point ama hoja zako ili wenzio (wanaotarajia kuliwa kama wewe) wapate kujua kuna raha gani unapata. Hii ndiyo JF, elimisha wenzako ili nao wapate faida usiwe mchoyo. After all, ni starehe yako mwenyewe na faida yako usiwe na hasira na mimi kwani wanaokushikisha mwembe usiku ni wengine mimi sihusiki. Sasa nakushangaa unakuja na hasira kama mbogo aliyejeruhiwa kwa kuulizwa kitu simple tu, je majirani zako wakikumulika tochi usiku wakati unashikishwa mwembe na wale watoto wa baba mwenye nyumba yako si utawaua kwa hasira zako za kijinga? Siku nyingine, jaribu kujibu swali unaloulizwa na si kutoa tu hasira zako baada ya kubainika starehe yako ni nini. MziziMkavu, huyu kijana wako ametaka mwenyewe kujidhalilisha, nimemuuliza swali tu kwa wema yeye akaja na hasira zake, nakuomba usituite nyumbani kwako kutusuluhisha tutayamaliza hapa hapa kwa vijembe.
   Haya ninawachieni Mr Mkereketwa_Huyu Musije mukapigwa BAN tu ninahofia.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  20. Janjaweed's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2010
   Posts : 8,579
   Rep Power : 399135374
   Likes Received
   4581
   Likes Given
   6019

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Quote By MziziMkavu View Post
   Haya ninawachieni Mr Mkereketwa_Huyu Musije mukapigwa BAN tu ninahofia.
   Hakuna BAN hapo

   mahangaiko tu ya walio na limited ability to kuelewa dhamira ya mada

   and i didnt know kuna kumalizana, tena kwa vijembe.... nadhani maneno kama vijembe, kumalizana, majirani, au starehe yako mwenyewe clearly yanaonyesha upeo wa mleta hoja kwenye dhamira hiyo, na pia ni maneno ambayo rijali hawezi kuyatoa... unless tuna new versions za marijali

   SORRY, I CANT LOWER MY STANDARDS JUST TO ARGUE.... it must be with a purpose!!!
   Last edited by Janjaweed; 13th September 2012 at 03:34.
   Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

  21. Andrew Nyerere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2008
   Posts : 2,183
   Rep Power : 2458
   Likes Received
   1081
   Likes Given
   1

   Default Re: Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

   Ukifanya ngono na mwanamke,hata kama ukila tigo,siyo kinyume na maumbile. If anything,ni antridote kwa ngono ambazo ni kinyume na maumbile.

  Page 4 of 16 FirstFirst ... 23456 14 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...