JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: msaada wa kuondoa makovu

  Report Post
  Results 1 to 3 of 3
  1. Njunwa Wamavoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2012
   Location : /oscam/oscam.server
   Posts : 5,069
   Rep Power : 42943
   Likes Received
   1228
   Likes Given
   759

   Default msaada wa kuondoa makovu

   kwa anayejua njia ya kuondoa makovu eitha kwa njia ya asili au kwa kutumia dawa au mafuta/lotion atupie hapa makovu ya chunusi pamoja na vipele!


  2. amigooo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th June 2012
   Posts : 118
   Rep Power : 501
   Likes Received
   14
   Likes Given
   2

   Default Re: msaada wa kuondoa makovu

   Hello Njunwa! Tatizo lako siyo kubwa na linakuwepo kwa baadhi ya walio wengi ila ni kwa kukosa tu uelewa ndo maana wanakuwa na hali kama hiyo au pia kutokuona umuhimu sana wa kutunza ngozi. Kunazo products(bidhaa) zisizo na kemikali ambazo zimeandaliwa kwa ufanisi mkubwa na kuweza kuthibitishwa na viwango vyote muhimu kwa ajili ya matumizi ya ngozi. Zipo creams,lotions na sabuni ambazo hutumika kwa ajili ya kuisafisha na kuitunza ngozi na kuiacha ikiwa nyororo na yenye kupendeza. Tuwasiliane kwa email [email protected] pia namba 0713889162

  3. Majimoto's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 87
   Rep Power : 736
   Likes Received
   76
   Likes Given
   84

   Default Re: msaada wa kuondoa makovu

   Epuka kunywa vinywaji baridi. Kunywa maji bilauri moja kubwa ya vuguvugu asubuhi unapoamka, kisha endelea kupata bilauri moja ya maji kila baada ya masaa mawili hadi saa 4 usiku.

   Chukua asali kijiko kimoja kikubwa changanya na tangawizi kijiko kimoja pakaa usoni kwa kusugua wacha ikae usoni kwa muda wa nusu saa kisha osha uso kwa maji safi, itanyonya bakiteria wanaosababisha uso uwe na chunusi.


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...