JF DoctorWe care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kila binadamu ni mgonjwa, suluhu ya tatizo lako yaweza kupatikana kwa kuuanika ugonjwa. Karibu
Jamani napenda kutoa shukrani kwa wana JF wote wa umoja wenu katika maswa mbalimbali. Leo ningependa kupewa all the proceedures(vyakula, uvaaji n.k) za mama mjamzito kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa mwisho. Mwenye huo ujauzito ni mimi mwenyewe baada ya kupata mafunzo mazuri kupitia hapa JF. Asanteni sana matunda yenu yameonekana. Karibuni sana wandugu katika hili, asanteni.
Tafadhali usiache kufanya mapenzi mnaweza kuendelea hata siku moja kabla ya kujifungua, hii huweka strong bond kati ya mtoto na babayake tangia akiwa tumboni! Pia hii husaidia kujifungua salama!!! Mengine wajuzi wameisha yaweka hadharani!
__________________
To be able to do everything by knowing nothing is dangerous
KWANZA-Penny hongera sana dada Mungu akupiganie vya kutosha ktk kipindi chote cha ujauzito wako Siha njema akujaalie na Shari akuepushie. PILI-Mganga wa Jadi vyakula vya kuongeza damu nivip namboa na mifano plz.
Kuna kitu naona kimesahaulika:
Penny unatakiwa as much as possible uwe na mawazo mazuri kila mara, acha kukasirika ovyo na kisirani pale inapowezekana kama mimba haikusumbui. Kuna vijitabia vya watoto tunakuwa tumewapatia sis wenyewe katika process ya kubeba mimba.Uwe na raha na pia kumsemesha mwano aliye tumboni - hasa mweleze mnavyompenda n akumtarajia!
Sijui mwenzio mliyoshirikiana katika uumbaji naye anashiriki vipi katika safari yako kubeba tumbo miezi tisa.Na yeye mpe nafasi - ashike tumbo lako, asikilize mateke pale mtoto atakavyoanza kucheza tumboni, akusindikize clinic, mpe card yako ya clinic asome na mweleweshe kinachoendelea.
Kuzaa kwa mwanaume siyo kupanda mbegu tu, afuatilie hadi mazao yanapotokea.
Good luck and enjoy the process of motherhood.
__________________ Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. -- Buddha
KWANZA-Penny hongera sana dada Mungu akupiganie vya kutosha ktk kipindi chote cha ujauzito wako Siha njema akujaalie na Shari akuepushie. PILI-Mganga wa Jadi vyakula vya kuongeza damu nivip namboa na mifano plz[/I][/I][/I].
Vyakula vinavyoongeza damu ni pamoja na mboga za majani zilizopikwa vizuri, matunda, nyama (red meat), Mayai na samaki pia unywaji wa maji na juice fresh ni muhimu.
Hongera mdada Penny! Kama alivyosema WOS kuhusu kujiepusha na hasira, hiyo ni moja ya sehemu ya usafi (moyoni), na kuwa na mawazo mazuri muda wote. Utaifurahia mimba na mtoto wako. Kwa kuongezea, kumbuka kuwa msafi na mtanashati mwilini pia. Kama ni mvaaji suruali, zipo zinazomfaa mama mjamzito, na vitop vinavyofaa kabisa. Kila la heri!
Kuna kitu naona kimesahaulika:
Penny unatakiwa as much as possible uwe na mawazo mazuri kila mara, acha kukasirika ovyo na kisirani pale inapowezekana kama mimba haikusumbui. Kuna vijitabia vya watoto tunakuwa tumewapatia sis wenyewe katika process ya kubeba mimba.Uwe na raha na pia kumsemesha mwano aliye tumboni - hasa mweleze mnavyompenda n akumtarajia!
Sijui mwenzio mliyoshirikiana katika uumbaji naye anashiriki vipi katika safari yako kubeba tumbo miezi tisa.Na yeye mpe nafasi - ashike tumbo lako, asikilize mateke pale mtoto atakavyoanza kucheza tumboni, akusindikize clinic, mpe card yako ya clinic asome na mweleweshe kinachoendelea.
Kuzaa kwa mwanaume siyo kupanda mbegu tu, afuatilie hadi mazao yanapotokea.
Good luck and enjoy the process of motherhood.
WoS, ndugu yangu, umpate huyo wa kukusindikiza..manake akina baba...whyuuuuu...kazi ipo.