JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

  Report Post
  Page 12 of 39 FirstFirst ... 21011121314 22 ... LastLast
  Results 221 to 240 of 772
  1. Opportunist's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Posts : 17
   Rep Power : 744322
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Red face Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

   Nina uzito/unene uliokithiri na ningependa kuupunguza bila kudhurika kiafya.

   Nimejaribu kusoma websites/vitabu kadhaa, wengi wanatoa ushauri/diet plans kutumia bidhaa au vyakula ambavyo naona kama ni vya kizungu, kwa Tanzania sijui kama vipo na kama vipo basi sivijui.

   Je naweza kupata ushauri namna ya kupunguza huu mwili kwa kutumia vitu/bidhaa/vyakula vinavyopatikana Tanzania?

   Help, help, help please.
   Quote By Pretty View Post
   -kwanza kabisa penda kufanya mazoezi ya kutembea, uwe unatembea (jogging) kama dk 30 hivi kwa siku.
   -Kunywa lita ya maji ya uvugu vugu kila siku asubuhi baada ya kuamka, maji hayo changanya na kipande cha limao. Kunywa maji kabla ya kula breakfast.
   -Kama mnywaji wa beer jitahidi kupunguza angalau uwe unakunywa mara chache kwa week, kama ulikuwa unakunywa beer 6 kwa siku, sasa anza kunywa 1 tu.
   -Penda kula matunda na mboga za majani,punguza ulaji wa red meat (nyama kama za cow au mbuzi) penda kula lean meat. Kama mlaji wa kuku usile ngozi yake.
   -Vinywaji vya sukari nyingi navyo ni vizuri kuepuka kama soda, kama huwezi unaweza kupunguza ktk unywaji wake.

   Kama utafuata vizuri maelekezo hayo, I hope utapunguza uzito wako.
   Quote By MziziMkavu View Post
   Ukitaka kupunguza unene na maradhi mengi yaondoke ufuate yafuatayo muda wa mwezi au zaidi:

   1. Kabla ya kula kwa nusu saa unywe maji gilasi moja au mbili au tatu au zaidi na baada ya nusu saa au robo saa:
   2. Ule salata sahani kubwa sana sana na inaruhusiwa kula matunda na baada ya kula salata
   3. Ule chakula chako kisiwe na mafuta mafuta.
   4. Huruhsiwi kabisa wakati wa chakula kunywa maji na pia baada ya chakula ila baada ya masaa mawili.
   5. Chakula cha usiku kiwe mapema na kidogo sana.
   6. Ukiwa na tumbo kikubwa na huna mimba basi ili tumbo kiondoke haraka uchukue magamba ya kabichi uipashe moto kidogo sana yaani upate mvuke khalafu magamba uitie nje ya tumbo lako uifunge vizuri mpaka asubuhi katika siku mbili utaona kua umepungua zaidi ya kilo mbili.
   Quote By Oxlade-Chamberlain View Post
   Mazoezi muhimu kama walivyosema wadau. Unaweza kuanza kutembea kwa dakika 30 kama huwezi kukimbia. Kula kiwango kidogo cha chakula atleast baada ya kila masaa matatu hii inasaidia sana mwili wako kuunguza calories zaidi.

   Unapokaa muda mrefu bila kula kitu chochote mwili unakuwa unapunguza process ya kuunguza calories. Halafu jaribu kula mlo wa jioni mapema mno kama kumi na mbili jioni hivi na usiwe mwingi.na katika kila mlo hakikisha unapata proteins.

   Green tea pia inasaidia sana weka sukari kidogo sana kama unahitaji. Kunywa green tea mara tatu kwa siku yaani kila baada mlo. Kama unapenda mayai usile ini. Kula samaki, matunda, mboga mboga hizi zote kwa kiwango kidogo sio kingi.

   Mlo wako usizidi saizi ya ngumi yako unaweza kutumia kauli hio. Na kama ni kidogo sana ni vizuri kama nilivyosema hapo juu kula kila baada ya masaa mawili au matatu.

   I hope nimesaidia kidogo kama kuna ufafanuzi zaidi unahitaji niambie.
   Quote By Darling View Post
   Cinnamon and Honey formula for weight loss

   This should be prepared at night before going to bed.

   1. Use 1 part cinnamon to 2 parts raw honey. 1/2 tsp cinnamon to 1 tsp honey is recommended but can use more or less as long as in the ratio of 1 to 2. --- so 1 tsp cinnamon to 2 tsp raw honey is ok too as an example.

   2. Boil 1 cup...that is 8 oz of water.

   3. Pour water over cinnamon and cover and let it steep for 1/2 hour..(30 minutes)

   4. Add honey now that it has cooled. Never add honey when it is hot as the heat will destroy the enzymes and other nutrients in the raw honey.

   5. Drink 1/2 of this directly before going to bed. The other 1/2 should be covered and refrigerated.

   6. In the morning drink the other half that you refirgerated...but do not re-heat it...drink it cold or at room temp only.

   Do not add anything else to this recipe. No lemon, no lime, no vinegar. It is not necessary to drink it more time in a day...it is only effective on an empty stomach and primarily at night.
   Quote By Superman View Post
   Asali, Limao, Maji ya Moto/Uvuguvugu au Chai na nidhamu ya kufunga siku chache inaweza kukupa afya na shape uitakayo huku ukipunguza uzito na kuondoa nyama uzembe aka mafuta.

   • Je wewe ni Obesity?
   • Au ni mnene na hupendi uwe hivyo?
   • Je, una kitambi, mafuta ya ziada, cellulite nk ambavyo unataka viondoke?
   • Je unapenda kupunguza kilo 1 kwa siku?
   • Je, unayodhamira ya kufuata masharti rahisi kwa ajili ya kupunguza uzito?


   Je, unajua kwa kufuata simple program ya kutumia Asali na Limao/Lemon unaweza:


   • kupunguza kilo moja kwa siku
   • Kuondoa sumu mwilini
   • Kuifanya ngozi yako ya kuvuatia
   • Kuondoa mafuta yasiyo na kazi mwilini
   • Kuondoa kitambi uzembe
   • kuwa na shape uitakayo
   • nk?


   Je, ni kwa namna gani?

   Wakati naendelea kumalizia article ambayo imesaidia wajanja wengi:

   • bila sijui kufuata ratiba kali ya diet,
   • au kutumia sijui slimming belt,
   • au cream ya kupaka kuondoa mafuta,
   • au mazoezi ya nini na nini sijui


   Peruzi kidogo ili ujiridhishe na ukiweza anza kujibu maswali yafuatayo:

   • Asali ni nini na
   • inafanya kazi gani mwilini na pia
   • Lemon ni nini na
   • inafanya kazi gani mwilini, na pia
   • maji ya moto au uvuguvugu ukinywa yana faida gani
   • na yanafanya kazi gani mwili
   Quote By jamadari View Post
   There's nothing like a weight loss strategy that takes almost no time or effort--but still works like a charm! Here are 10 successful strategies to cut calories and burn fat that literally take 60 seconds or less.

   1. Mix a juice spritzer
   Combine your favorite juice (half of your usual amount) with plain or sparkling water. You can cut up to 85 calories per glass--and lose 5 pounds or more a year.

   2. Walk while you talk
   Burn calories while you talk on the phone: Do the laundry (68 calories), set the table (85), or water plants (102).

   3. Study the wrapper
   At a quick glance, that candy bar appears to contain 220 calories. But a closer look may reveal that it (or a bottle of juice, bag of crackers, or bag of nuts) provides two or more servings--which more than doubles those calories.

   4. Sip green tea before a walk
   The caffeine frees fatty acids so that you burn fat more easily. And the polyphenols (antioxidant compounds) in green tea appear to work with caffeine to increase calorie burn. (If you have high blood pressure, skip this tip.)

   5. Pack a lunch
   Dining out more than 5 times a week may make you eat more--nearly 300 calories a day--than if you dine out less frequently.

   6. Dip your bread
   Use olive oil in place of butter. It's healthier and may also help you eat less. In a recent study, dippers ate a total of 52 fewer calories, on average, than those who used butter.

   7. Sprinkle flax on cereal
   High-fiber ground flaxseed can help curb your appetite and eliminate calories. Add it to yogurt or muffin and bread mixes--it's available in health food stores.

   8. Schedule a blood test
   About 1 in every 12 women (most of whom don't know it) has an underactive thyroid, which can slow down her metabolism.

   9. Supersize your H2O
   Buy the big bottle when it comes to good-for-you stuff such as water: You'll drink more.

   10. Eat a chunky salad
   Chop carrots, celery, sweet potatoes, zucchini, or other veggies instead of shredding or slicing. It takes more effort to munch bigger pieces; you'll do more chewing and eat less during the main course.

   http://health.yahoo.com/featured/83/...inute-or-less/


  2. Kilahunja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2011
   Posts : 1,468
   Rep Power : 3469035
   Likes Received
   258
   Likes Given
   18

   Default

   Quote By Dotowangu View Post
   Mkuu usikimbilie kutatua tatizo tafuta kwanza nini chanzo cha kitambi? Kilitokana na nini? Anagalia vyakula unavyokula, na staili ya maisha.... kutoa kitambi sio kazi rahisi unatakiwa uwe na nidhamu katikta ukaji na kufanya mazoezi hakuna shortcut...kwa kuanzia acha tabia ya kunywa maji ya baridi kila ukimaliza kula baadala yake kunywa ya moto au uvuguvugu. Maji baridi yanagumisha/ solidfy chakula ulichokula sasa kama umekula vyakula vya mafuta ndo balaa. Pendelea kunya maji ya uvuguvugu yaliyotiwa asali kidogo kila asubui kabla hujala bleakfast na usiku.. Puguza kiwango cha sukari unachokula mfano soda na bia,na kwenye chai, pendelea kula mapema usiku na ulale baada ya masaa mawili au matatu baada ya kula..mengine google usome mwenyewe we sio mtu wa kwanza kuwa na kitambi duniani...
   hapo kwenye maji mi nimeambiwa maj ya barid yanasaidia kupunguza mafuta google importance of ice water au cool water i.e unavokunywa yakifika tumbon then 2mbo linapata kaz ya kuyatransform ili yaendane na joto la tumbon so iyo proces ina cut some calories.

  3. Fadhili Paulo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2011
   Location : fadhilipaulo.com
   Posts : 3,250
   Rep Power : 14593
   Likes Received
   858
   Likes Given
   2222

   Default Re: Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   Maji ya kawaida tu katika joto lakawaida tu (room temperature) yanatosha. cha msingi usisubiri kiu. www.maajabuyamaji.net

  4. Yusuph mbilinyi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 30
   Rep Power : 492
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default

   Kwanza nashukuru kwa kutambua kuwa kitambi ni janga la kitaifa.Tiba kwanza acha kutumia sana vyakula vya mafuta,pia jitahidi kufanya mazoezi.Wacha niingie library yangu nitakuja with more.

  5. manuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2009
   Posts : 1,263
   Rep Power : 85901301
   Likes Received
   838
   Likes Given
   708

   Default Re: Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   1.Ruka kamba sana.
   2.Fanya jogging hata ukiwa chumbani kwako waweza fanya (static jog).
   3.Punguza kula kula na ukila kula kiasi.
   4.Punguza kulala muda mrefu usiku(kama huna cha kufanya chezacheza na shemeji atleast mara moja kila siku.)Nadhani umenielewa.
   TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

  6. BINARY NO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2011
   Posts : 1,350
   Rep Power : 775
   Likes Received
   452
   Likes Given
   73

   Default Re: Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   The simplest way coz mazoezi wengi ni wavivu....(1) Make sure unapokula usishibe yani ile hali ya unjaa iwepo cha msingi kula ili usipate vidonda vya tumbo.. (2) kula mboga za majani sana na matunda kuliko vyakula vyenye direct protin eg nyama, samaki nk..(3) Pombe ukiweza acha km sio kupunguza kwa atleast 60%.....mimi mwenyewe nilikua na hayo matatizo but nilipewa hii kitu na ndani ya wiki moja nilikata 3Kg na sasa nimepungua kwakweli...kula kidogo ndugu tena ata na bajeti yako haitayumba then uta overcome ili tatizo


  7. daniel don's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 43
   Rep Power : 487
   Likes Received
   3
   Likes Given
   45

   Default Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa..


  8. Emma.'s Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2012
   Location : Popote
   Posts : 15,933
   Rep Power : 343607823
   Likes Received
   2289
   Likes Given
   2345

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Jaribu kutumia sana vyakula vya kuchemsha na matunda pia mazoea mara kwa mara hapo utapunguza mafuta mwilini kwa kias kikubwa kwa mtazamo wangu

  9. The Listener's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2012
   Posts : 969
   Rep Power : 693
   Likes Received
   200
   Likes Given
   24

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   ndiyo zipo. gnld products

  10. nyumba kubwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2010
   Posts : 8,526
   Rep Power : 429498703
   Likes Received
   6434
   Likes Given
   8193

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Haijalishi unakula kiasi gani; kama unanenepa jua unakula kupita kiasi; maana yake unachokula kinazidi mahitaji ya mwili wako.

   Nikupe mfano wa mimi mwenyewe. Muda mwingi niko kwenye computer; hivyo mwili hauko active. Nakula silesi mbili za brown bread asubuhi na mlo wowote kamili mchana, usiku nakula tena silesi mbili za brown bread na kwa siku nakunywa maji glasi 8 na aple moja. Nafanya sit ups na leg crunch kila siku kabla sijatoka kitandani, kukata tumbo na kumantain shepu.

   Lakini sijapungua hata kidogo, nilichoweza ku achieve ni kutoongezeka. Sasa nambie ningekuwa nakula milo miwili kamili si lazima ningechana.

   Najua nikitaka kupungua inabidi nifanye mazoezi, ila sina muda kwa sasa ila at least najua siwezi kuongezeka

  11. Jestina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2011
   Posts : 4,730
   Rep Power : 88977867
   Likes Received
   1449
   Likes Given
   1435

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   ukipata dawa nipasie na mie,diet zinadunda na mazoezi nishasema NO NO NO kama wimbo wa marehemu amy winehouse....they are trying to get me into GYM but I said NO NO NO......

  12. bung'a's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th May 2012
   Posts : 152
   Rep Power : 516
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   shida ndo dawa ya kupungua

  13. Jaslaws's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2011
   Location : dar es salaam
   Posts : 3,557
   Rep Power : 1246
   Likes Received
   1176
   Likes Given
   102

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Konyagi.

  14. Obe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st December 2007
   Posts : 1,671
   Rep Power : 1097
   Likes Received
   522
   Likes Given
   230

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Mmmh! Kuna jamaa alinambia nikitaka kupunguza kitambi, nimwekee dhamana mtu asiyeaminika ili mahakama iniamuru kumtafuta vinginevyo .............." Sikuupenda sana huu ushauri lakini unaweza kusaidia

  15. Arvin sloane's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Posts : 907
   Rep Power : 709
   Likes Received
   136
   Likes Given
   46

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Wine inatoa kabisa kitambi.

  16. manuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2009
   Posts : 1,263
   Rep Power : 85901301
   Likes Received
   838
   Likes Given
   708

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Andika barua ya notice kazini kwako then rudi mtaani uanze mchakato wa kutafuta kazi nakupa mwezi tu lazima uwe kama Snoop.
   TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

  17. Luushu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th April 2012
   Posts : 331
   Rep Power : 557
   Likes Received
   39
   Likes Given
   0

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Niandikie PM weka namba yako ya simu takupigia takupa ushauri na nini utumie kupunguza unene

  18. Luushu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th April 2012
   Posts : 331
   Rep Power : 557
   Likes Received
   39
   Likes Given
   0

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Niandikie PM weka namba yako ya simu takupigia takupa ushauri na nini utumie kupunguza unene

  19. daniel don's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 43
   Rep Power : 487
   Likes Received
   3
   Likes Given
   45

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Wine gani hiyo inayotoa kitambi red au white, bahati mbaya si mnywaji..ok nitajaribu.

  20. daniel don's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 43
   Rep Power : 487
   Likes Received
   3
   Likes Given
   45

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Safi kabisa mkuu ushauri huu unaweza kusaidia sana!

  21. daniel don's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 43
   Rep Power : 487
   Likes Received
   3
   Likes Given
   45

   Default Re: Je kuna dawa yoyote ya kupunguza kitambi au mafuta mwilini? Nina kula kawaida sana lakini nanepa

   Sasa ukikwepa Gym itakuwaje, jitahidi japo kwa mbali naamini ina saidia sana japo nami si shabiki sana wa Gym.


  Page 12 of 39 FirstFirst ... 21011121314 22 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Soda vs uzito, utipwtipwa na unene kupita kiasi
   By Fadhili Paulo in forum JF Doctor
   Replies: 6
   Last Post: 20th September 2011, 20:01

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...