JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

  Report Post
  Page 11 of 39 FirstFirst ... 910111213 21 ... LastLast
  Results 201 to 220 of 772
  1. Opportunist's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Posts : 17
   Rep Power : 744322
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Red face Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

   Nina uzito/unene uliokithiri na ningependa kuupunguza bila kudhurika kiafya.

   Nimejaribu kusoma websites/vitabu kadhaa, wengi wanatoa ushauri/diet plans kutumia bidhaa au vyakula ambavyo naona kama ni vya kizungu, kwa Tanzania sijui kama vipo na kama vipo basi sivijui.

   Je naweza kupata ushauri namna ya kupunguza huu mwili kwa kutumia vitu/bidhaa/vyakula vinavyopatikana Tanzania?

   Help, help, help please.
   Quote By Pretty View Post
   -kwanza kabisa penda kufanya mazoezi ya kutembea, uwe unatembea (jogging) kama dk 30 hivi kwa siku.
   -Kunywa lita ya maji ya uvugu vugu kila siku asubuhi baada ya kuamka, maji hayo changanya na kipande cha limao. Kunywa maji kabla ya kula breakfast.
   -Kama mnywaji wa beer jitahidi kupunguza angalau uwe unakunywa mara chache kwa week, kama ulikuwa unakunywa beer 6 kwa siku, sasa anza kunywa 1 tu.
   -Penda kula matunda na mboga za majani,punguza ulaji wa red meat (nyama kama za cow au mbuzi) penda kula lean meat. Kama mlaji wa kuku usile ngozi yake.
   -Vinywaji vya sukari nyingi navyo ni vizuri kuepuka kama soda, kama huwezi unaweza kupunguza ktk unywaji wake.

   Kama utafuata vizuri maelekezo hayo, I hope utapunguza uzito wako.
   Quote By MziziMkavu View Post
   Ukitaka kupunguza unene na maradhi mengi yaondoke ufuate yafuatayo muda wa mwezi au zaidi:

   1. Kabla ya kula kwa nusu saa unywe maji gilasi moja au mbili au tatu au zaidi na baada ya nusu saa au robo saa:
   2. Ule salata sahani kubwa sana sana na inaruhusiwa kula matunda na baada ya kula salata
   3. Ule chakula chako kisiwe na mafuta mafuta.
   4. Huruhsiwi kabisa wakati wa chakula kunywa maji na pia baada ya chakula ila baada ya masaa mawili.
   5. Chakula cha usiku kiwe mapema na kidogo sana.
   6. Ukiwa na tumbo kikubwa na huna mimba basi ili tumbo kiondoke haraka uchukue magamba ya kabichi uipashe moto kidogo sana yaani upate mvuke khalafu magamba uitie nje ya tumbo lako uifunge vizuri mpaka asubuhi katika siku mbili utaona kua umepungua zaidi ya kilo mbili.
   Quote By Oxlade-Chamberlain View Post
   Mazoezi muhimu kama walivyosema wadau. Unaweza kuanza kutembea kwa dakika 30 kama huwezi kukimbia. Kula kiwango kidogo cha chakula atleast baada ya kila masaa matatu hii inasaidia sana mwili wako kuunguza calories zaidi.

   Unapokaa muda mrefu bila kula kitu chochote mwili unakuwa unapunguza process ya kuunguza calories. Halafu jaribu kula mlo wa jioni mapema mno kama kumi na mbili jioni hivi na usiwe mwingi.na katika kila mlo hakikisha unapata proteins.

   Green tea pia inasaidia sana weka sukari kidogo sana kama unahitaji. Kunywa green tea mara tatu kwa siku yaani kila baada mlo. Kama unapenda mayai usile ini. Kula samaki, matunda, mboga mboga hizi zote kwa kiwango kidogo sio kingi.

   Mlo wako usizidi saizi ya ngumi yako unaweza kutumia kauli hio. Na kama ni kidogo sana ni vizuri kama nilivyosema hapo juu kula kila baada ya masaa mawili au matatu.

   I hope nimesaidia kidogo kama kuna ufafanuzi zaidi unahitaji niambie.
   Quote By Darling View Post
   Cinnamon and Honey formula for weight loss

   This should be prepared at night before going to bed.

   1. Use 1 part cinnamon to 2 parts raw honey. 1/2 tsp cinnamon to 1 tsp honey is recommended but can use more or less as long as in the ratio of 1 to 2. --- so 1 tsp cinnamon to 2 tsp raw honey is ok too as an example.

   2. Boil 1 cup...that is 8 oz of water.

   3. Pour water over cinnamon and cover and let it steep for 1/2 hour..(30 minutes)

   4. Add honey now that it has cooled. Never add honey when it is hot as the heat will destroy the enzymes and other nutrients in the raw honey.

   5. Drink 1/2 of this directly before going to bed. The other 1/2 should be covered and refrigerated.

   6. In the morning drink the other half that you refirgerated...but do not re-heat it...drink it cold or at room temp only.

   Do not add anything else to this recipe. No lemon, no lime, no vinegar. It is not necessary to drink it more time in a day...it is only effective on an empty stomach and primarily at night.
   Quote By Superman View Post
   Asali, Limao, Maji ya Moto/Uvuguvugu au Chai na nidhamu ya kufunga siku chache inaweza kukupa afya na shape uitakayo huku ukipunguza uzito na kuondoa nyama uzembe aka mafuta.

   • Je wewe ni Obesity?
   • Au ni mnene na hupendi uwe hivyo?
   • Je, una kitambi, mafuta ya ziada, cellulite nk ambavyo unataka viondoke?
   • Je unapenda kupunguza kilo 1 kwa siku?
   • Je, unayodhamira ya kufuata masharti rahisi kwa ajili ya kupunguza uzito?


   Je, unajua kwa kufuata simple program ya kutumia Asali na Limao/Lemon unaweza:


   • kupunguza kilo moja kwa siku
   • Kuondoa sumu mwilini
   • Kuifanya ngozi yako ya kuvuatia
   • Kuondoa mafuta yasiyo na kazi mwilini
   • Kuondoa kitambi uzembe
   • kuwa na shape uitakayo
   • nk?


   Je, ni kwa namna gani?

   Wakati naendelea kumalizia article ambayo imesaidia wajanja wengi:

   • bila sijui kufuata ratiba kali ya diet,
   • au kutumia sijui slimming belt,
   • au cream ya kupaka kuondoa mafuta,
   • au mazoezi ya nini na nini sijui


   Peruzi kidogo ili ujiridhishe na ukiweza anza kujibu maswali yafuatayo:

   • Asali ni nini na
   • inafanya kazi gani mwilini na pia
   • Lemon ni nini na
   • inafanya kazi gani mwilini, na pia
   • maji ya moto au uvuguvugu ukinywa yana faida gani
   • na yanafanya kazi gani mwili
   Quote By jamadari View Post
   There's nothing like a weight loss strategy that takes almost no time or effort--but still works like a charm! Here are 10 successful strategies to cut calories and burn fat that literally take 60 seconds or less.

   1. Mix a juice spritzer
   Combine your favorite juice (half of your usual amount) with plain or sparkling water. You can cut up to 85 calories per glass--and lose 5 pounds or more a year.

   2. Walk while you talk
   Burn calories while you talk on the phone: Do the laundry (68 calories), set the table (85), or water plants (102).

   3. Study the wrapper
   At a quick glance, that candy bar appears to contain 220 calories. But a closer look may reveal that it (or a bottle of juice, bag of crackers, or bag of nuts) provides two or more servings--which more than doubles those calories.

   4. Sip green tea before a walk
   The caffeine frees fatty acids so that you burn fat more easily. And the polyphenols (antioxidant compounds) in green tea appear to work with caffeine to increase calorie burn. (If you have high blood pressure, skip this tip.)

   5. Pack a lunch
   Dining out more than 5 times a week may make you eat more--nearly 300 calories a day--than if you dine out less frequently.

   6. Dip your bread
   Use olive oil in place of butter. It's healthier and may also help you eat less. In a recent study, dippers ate a total of 52 fewer calories, on average, than those who used butter.

   7. Sprinkle flax on cereal
   High-fiber ground flaxseed can help curb your appetite and eliminate calories. Add it to yogurt or muffin and bread mixes--it's available in health food stores.

   8. Schedule a blood test
   About 1 in every 12 women (most of whom don't know it) has an underactive thyroid, which can slow down her metabolism.

   9. Supersize your H2O
   Buy the big bottle when it comes to good-for-you stuff such as water: You'll drink more.

   10. Eat a chunky salad
   Chop carrots, celery, sweet potatoes, zucchini, or other veggies instead of shredding or slicing. It takes more effort to munch bigger pieces; you'll do more chewing and eat less during the main course.

   http://health.yahoo.com/featured/83/...inute-or-less/


  2. beibe nasty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2012
   Posts : 1,650
   Rep Power : 3425780
   Likes Received
   516
   Likes Given
   92

   Default

   Quote By King Kong III View Post
   Vp lishapungua? Kama bado resign tu litaisha ndani ya mwezi tu.
   King kong acha masihara afanye mazoez tuu na controlling of vyakula vya mafutaa

  3. Mpita Njia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 7,031
   Rep Power : 3452
   Likes Received
   1102
   Likes Given
   911

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Quote By Ndahani View Post
   Apart from exercise and proper diet, I know nothing else. Mazoezi, na kupunguza vyakula vyenye mafuta na wanga kwa wingi unene unaweza kupungua.
   Mkuu, pamoja na tatizo la tumbo (kitambi)m mimi nina tatizo la kuongezeka uzito. Nimetumia hizi njia ulizozitaja lakini sijafanikiwa. kwenye diety niliacha kabisa kula red meat. chakula yangu ikawa ni matunda, mbogamboga, brown bread na vitu kama hivyo, tena vya kucvhemsha na maji. lakini naona uzito bado unongezeka na kitambi nacho... du
   I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

  4. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,255
   Rep Power : 4469
   Likes Received
   3567
   Likes Given
   6900

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Quote By Mpita Njia View Post
   Mkuu, pamoja na tatizo la tumbo (kitambi)m mimi nina tatizo la kuongezeka uzito. Nimetumia hizi njia ulizozitaja lakini sijafanikiwa. kwenye diety niliacha kabisa kula red meat. chakula yangu ikawa ni matunda, mbogamboga, brown bread na vitu kama hivyo, tena vya kucvhemsha na maji. lakini naona uzito bado unongezeka na kitambi nacho... du
   Umri nao mtihani mkuu. digestive system ikiwa ina slow down ndo hayo mambo ya uzito na weight kuongezeka yanatokea. Ronadhino naye alikuwa na matatizo hayo hayo. Hapo mkuu pata ushauri wa daktari.
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  5. Rejao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Location : Long Street
   Posts : 9,171
   Rep Power : 25865
   Likes Received
   3685
   Likes Given
   3122

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Swimming ni kila kitu. Hamna kitu kinakata kitambi kwa haraka kama kuogelea.

  6. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Quote By Gang Chomba View Post
   Uliyeokota nae kuni ndie utakaeota nae moto...
   ulivyokuwa unafakamia mavyakula huko mbona hukutuomba msaada?
   Watu kama nyie hamfai katika jamii kwa sababu ya kuhukumu kila kitu na mitazamo hasi..Una uhakika gani kuwa alikuwa anafakamia mavyakula?ulikuwepo?
   Mtu kaomba ushauri namnaanza kashfa.Kwani kama huna mapweinti ukikaa kimya unapungukiwa na nini?
   Blessed and highly favored


  7. saitama_kein's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2009
   Location : KASULU
   Posts : 987
   Rep Power : 815
   Likes Received
   90
   Likes Given
   71

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Achana na ufisadi...kataaa rushwa, tumbo litakwisha!
   Tukosoane lakini Tusibezane

  8. Mpita Njia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 7,031
   Rep Power : 3452
   Likes Received
   1102
   Likes Given
   911

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Quote By Ndahani View Post
   Umri nao mtihani mkuu. digestive system ikiwa ina slow down ndo hayo mambo ya uzito na weight kuongezeka yanatokea. Ronadhino naye alikuwa na matatizo hayo hayo. Hapo mkuu pata ushauri wa daktari.
   Kweli Mkuu, umri. Lakini unajua any factor (besides age) inayoweza kusababisha dugestive system ika slow down?
   I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

  9. papason's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th September 2010
   Location : Choma Cha Nkola
   Posts : 1,587
   Rep Power : 889
   Likes Received
   386
   Likes Given
   224

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   jaribu kutumia 'slim tea'

  10. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,919
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default

   Mkuu wapi dar hii ntapata shm wanayofanya hii mambo..sihitaji za ufukweni. Msaada tafadhali maana tangu Kilimanjaro Fitness wafunge nimekosa mbadala kbs.
   Quote By Rejao View Post
   Swimming ni kila kitu. Hamna kitu kinakata kitambi kwa haraka kama kuogelea.

  11. nxon's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2011
   Posts : 1,020
   Rep Power : 733
   Likes Received
   271
   Likes Given
   15

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   punguza msosi afu tizi xana

  12. ng'wanankamba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th December 2010
   Posts : 295
   Rep Power : 618
   Likes Received
   75
   Likes Given
   184

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Rafiki yangu mmoja ana usemi wake kuwa 'Kutunza afya wakati una pesa ni kazi' Endelea na aina hizo hizo za chakula ulizotaja ila punguza kiasi unachokula. Kunywa maji mengi ya uvuguvugu kila asubuhi unapoamka kabla hujapiga mswaki, fanya mazoezi ya kukimbia na ya kukaza misuli ya tumbo. Kama uko Dar, pita pale Leaders club jioni kuna watu wengi tu wanafanya mazoezi ya kukimbia na ya tumbo na wamenunua mikeka kwa ajili ya mazoezi. Punguza kabisa pombe na soda na mwisho kula vijiko viwili vya asali mbichi kabla ya kulala. Lakini utafanikiwa tu iwapo utakuwa discpilined, kwani huwezi kupungua overnight. NB: Jaribu kuogelea japo mara moja kwa wiki, ni zoezi zuri sana. Kama hujui kuogelea I can recommend a good teacher ambaye atakufundisha na ndani ya wiki mbili utakuwa unajua.

  13. Husninyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 23,292
   Rep Power : 344358670
   Likes Received
   8325
   Likes Given
   5194

   Default

   Quote By nguvumali View Post
   duh! Mtambi kama huo unapunguza mvuto. Wazee jitahidini jamani.

  14. Mtalingolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th August 2011
   Location : Mbeya
   Posts : 2,169
   Rep Power : 1152
   Likes Received
   383
   Likes Given
   130

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Mazoezi tuu mkuu, yanaitwa kata tumbo, ila unapoanza huwa na maumivu sana...

  15. Mtego's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th December 2011
   Posts : 37
   Rep Power : 570
   Likes Received
   3
   Likes Given
   8

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Quote By Mtalingolo View Post
   Mazoezi tuu mkuu, yanaitwa kata tumbo, ila unapoanza huwa na maumivu sana...
   Kata tumbo peke yake haikubali. Anatakiwa apunguze kwanza uzito
   DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO

  16. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,255
   Rep Power : 4469
   Likes Received
   3567
   Likes Given
   6900

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Quote By Ndahani View Post
   Umri nao mtihani mkuu. digestive system ikiwa ina slow down ndo hayo mambo ya uzito na weight kuongezeka yanatokea. Ronadhino naye alikuwa na matatizo hayo hayo. Hapo mkuu pata ushauri wa daktari.
   Ngoja nifanyie kazi kujua zaidi. I find it difficult to fight overweighting...mwenyewe tumbo linasogea kwa kasi mbele na hapo sijakanyaga 48...mbaya sana maana ntakuwa mzee pekee Dar Es Salaam wakati Dar hakuna uzee. Uzee mwisho wake Chalinze ukisogea sogea mbele unazidi kuwa kijana
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  17. manasa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Location : DUNIANI
   Posts : 88
   Rep Power : 508
   Likes Received
   6
   Likes Given
   31

   Default Re: Dawa ya kupunguza tumbo

   Waoh!!!!!!!!!!!! Noted

  18. baraka boki's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th September 2010
   Posts : 181
   Rep Power : 607
   Likes Received
   19
   Likes Given
   3

   Default Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   doctor naomba ushauri ili niweze kupunguza kitambi

  19. REX's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th March 2012
   Location : DODOMA
   Posts : 330
   Rep Power : 559
   Likes Received
   38
   Likes Given
   5

   Default Re: Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   We can offer you a diet program that wil enable you loose you abdominal obesity.
   Nakupa pongez kwa kutambua umuhim wa kupunguza kitambi na ningeomba usibatilishe uamuz wako.
   Mfumo wetu wa chakula utaaza kukusaidia baada ya siku tisa lakin utatakiwa kutumia kwa siku 30
   in case unahitaji huduma yetu just cal 0715720276

  20. Dotowangu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th November 2011
   Posts : 242
   Rep Power : 559
   Likes Received
   67
   Likes Given
   27

   Default Re: Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   Mkuu usikimbilie kutatua tatizo tafuta kwanza nini chanzo cha kitambi? Kilitokana na nini? Anagalia vyakula unavyokula, na staili ya maisha.... kutoa kitambi sio kazi rahisi unatakiwa uwe na nidhamu katikta ukaji na kufanya mazoezi hakuna shortcut...kwa kuanzia acha tabia ya kunywa maji ya baridi kila ukimaliza kula baadala yake kunywa ya moto au uvuguvugu. Maji baridi yanagumisha/ solidfy chakula ulichokula sasa kama umekula vyakula vya mafuta ndo balaa. Pendelea kunya maji ya uvuguvugu yaliyotiwa asali kidogo kila asubui kabla hujala bleakfast na usiku.. Puguza kiwango cha sukari unachokula mfano soda na bia,na kwenye chai, pendelea kula mapema usiku na ulale baada ya masaa mawili au matatu baada ya kula..mengine google usome mwenyewe we sio mtu wa kwanza kuwa na kitambi duniani...

  21. Fadhili Paulo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2011
   Location : fadhilipaulo.com
   Posts : 3,250
   Rep Power : 14593
   Likes Received
   858
   Likes Given
   2222

   Default Re: Doctor naomba msaada wa kupunguza kitambi

   Kama alivyokuambia Dotowangu hapo juu, yupo sahihi sana, kwa hakika hakuna shortcut. Sasa bonyeza link ifuatayo ukajifunze uzito,unene na vitambi husababishwa na nini mwilini, bonyeza: http://maajabuyamaji.net/maajabu/uzito-kupita-kiasi/. Usisite kuuliza tena.


  Page 11 of 39 FirstFirst ... 910111213 21 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Soda vs uzito, utipwtipwa na unene kupita kiasi
   By Fadhili Paulo in forum JF Doctor
   Replies: 6
   Last Post: 20th September 2011, 20:01

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...