Habar zenu bana,
hivi kuna njia ya kupunguza maji maji ukeni coz kuna ishu ya wanaume kutoenjoy kufanya mapenz na wapenzi wao sbb ya hali hyo,kisayansi n kwel kuna hali km hyo?na soln yake n nn hasa
Habar zenu bana,
hivi kuna njia ya kupunguza maji maji ukeni coz kuna ishu ya wanaume kutoenjoy kufanya mapenz na wapenzi wao sbb ya hali hyo,kisayansi n kwel kuna hali km hyo?na soln yake n nn hasa
si useme kama ni wewe mbona unazunguka zunguka elezea upate msaada kama ni ww sema upate ushauri
Hahaa makubwa au ndo yeye?Jaman madaktar msaidieni mwenzetu
Si kweli.
maji maji ndio safi! kazi ya mwanaume ni kuyakausha tu,yaani ni burudani kwa sana tu!
Mkuu wakati wa tendo ukiona unazidiwa,unatoka kwanza unapiga deki then mchezo unaendelea.
Ila pole sana ngoja wataalamu wakusaidie.
Inawezekana mwenzetu huwa unazidisha maujanja mpaka unampitiliza mwenzio anakojoakojoa hovyo..jaribu kupunguza ma-touch uone itakuaje..
The Wise Does At Once What The Fool Does At Last:
Punguza kuchezea cliritoris(kinembe)
Duh..Awa wote madokta wa field,orijinal watakuja
Sidhani kama kuna haja ya kutafuta matibabu maana hayo ni maumbile tu. Kama ni wanaume kuenjoy inategemea maana kuna watu wanapenda hiyo habari na hasa ukikuta mtu anayejua mambo ya katere......
kuna watu unywa dawa ili wawe na maji we unahangaika kutafuta dawa ya kukausha, jaribu kukubaliana na maumbile. Wanaume wengine tunaenjoy bana.
piga katerero!
punguza kuvaa suruali au nguo zinazokubana kiuno au tumbo
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
mods tunaomba mchanganye hizi nyuzi...
za mambo ya MAJIMAJI...
kwa urahisi wa watu kuchangia.
Siku hizi jukwaa limevamiwa na wapiga soga! Jamani, kama hauna msaada kwa mada iliyowekwa, hauna haja ya kuchangia chochote!!! Kudhihaki kwa namna yoyote ile ni upuuzi na ushamba! Mtu anatafuta msaada, badala ya kutoa ushauri unadhihaki! Je, ingekuwa ni wewe ungejisikiaje? Hii ni kwa wote wanao lete mzaha humu jamvini!

Kwa kweli kama ni kuenjoi kwenye hayo majimaji wapo wanaoyafurahia,na wengine wanaona ni kero.
Kwa wanaokerwa watumie katererostiyle wataona maajabu yake
Follow Us Here