Nina girlfrnd wangu ana umri wa miaka 25 lakin ana tatizo la kunuka mdomo mpaka kufanya romanc inakua shida..yaan nashndwa kuelewa, kwa sbb ni msafi sana anasafisha kinywa kila mara inavyotakikana lkn wapi,akilala na kuamka ndiyo kabisa..kiukwel cjawah kumwambia coz naona vibaya..nifanyeje?naomba ushaul wenu na kama kuna doctor nasubil ushaul wake..samahan kama cjaweka sawa maneno yangu,ila naamin ntakua nimeeleweka.

Reply With Quote




Follow Us Here