mdogo wangu anawashwa sana ukeni nini itakuwa tatizo??
mdogo wangu anawashwa sana ukeni nini itakuwa tatizo??
Kila kitu Gynae jamani? Hizi ni fungus tu, tena hazikawii Kuisha kwa kubadili mtindo aw maisha tu.
awe ananawa na maji ya uvuguvugu na dettol soap, ajikaushe vizuri. Avae vyupi ambavyo ni pure cotton na vifuliwe na kuanikwa Juani. Usiku awe anapunga upepo.
Ikiendelea kwa wiki mbili, akaonwe na dr aw kawaida kwanza. Kama Hana discharge, inaweza isiwe tatizo kubwa
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
asanteni kwa mchango wenu... peace
afadhali kingst umewaambia!! Hizi ni case za hospitali za kawaida. Siyo kila ugonjwa unataka specialist! Tatizo mnaanzia kwa wauza maduka ya madawa weeeeee! Mpaka mnakuwa sugu ndo muende hospitali.
basi JF wakitoe hiki kipengele cha JF DOCTOR maana naona kila anaye uliza swali unamponda na kumwambia aende hosp, basi hakina sababu ya kuwekwa hapa, na kama sababu ipo basi acha ushamba na we uonekana umejibu, wanawake wengine bwana, sijui hupewi dushelele la kutosha na jamaa yako, basi hasira kila mara. acha ubwege
Follow Us Here