Wana JF tukumbushane dalili za magonjwa mbalimbali naamini kuwa watanzania wengi hatuna tabia ya kwenda hospitali kwahiyo sio mbaya tukakumbushana dalili za magonjwa kama vile

UKIMWI
MALARIA
KASWENDE
GONO
TYPHOID
na mengineyo mengi hapa nimetaja kwa uchache tu. Nafikiri mtu akiona dalili hizo atakimbilia hospitali au pharmacy kupata japo dawa