nimechunguza kwangu na mwanangu wa mdogo miaka mi 4 nikaona korodani(vile vigoroli cha kushoto na kulia naona vinatofautiana size) hii ni kwa sababu gani??
nimechunguza kwangu na mwanangu wa mdogo miaka mi 4 nikaona korodani(vile vigoroli cha kushoto na kulia naona vinatofautiana size) hii ni kwa sababu gani??
JANA SI NIMEKOSEA BOMA NIKAINGIA KWA MAMA MKWE, IMELEWA SANA JANA. CHIBOROIKWE IMECHOOOOKA SANA LEO!!
Kwa nionavyo mie!! Suala la korodani kuwa kubwa au ndogo si muhimu sana, chamsingi mtarimba unawezaaa!!!? na je!? kupizi ni kwa idadi na kiasi cha manii ni cha kutosha!!? kama hayo yooote yako sawa basi twende kazi!
hahahahahahahahahahahahahah too crazy
[QUOTE=Dotworld;4297716]HAZOLE gfsonwin
It's normal, and it's a good design, actually. It allows one to roll over the other easily and painlessly in those instances...
Thanks for details sasa nataka kujua ikiwa ziko suspended kwa minajil ya kuzipoza wakati wa joto, ina maana logically wanaume ndio tulipaswa kuvaa magauni??
Follow Us Here