Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 28
    1. #1
      ellyrehema's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th January 2012
      Location : Dar es salaam
      Posts : 68
      Rep Power : 388
      Likes Received
      20
      Likes Given
      0

      Post Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Jamani habari zenu. kama kuna daktari ataweza kunisaidia tatizo langu hili nitafurahi sana. mimi nina miaka 34 na tangu nikiwa na umri wa miaka 24 nilianza kusikia kama maralia muda wote mara iningine ukipima inakuwepo ukinywa dawa hujisikii nafuu ila ukipima tena unakuta hakuna maralia, baadae nikaiona ni hali ya kawaida baada ya kuzoea. nahisi maumivu ya mifupa, masikio yanavuma ziiiiii!!!!, pia kichwa kinauma ila si sana. hali hii ni muda wote tangu nikiwa na umri huo. nimetumia dawa nyingi tu bila mafanikio. nilienda kwa watu wa tiba mbadala nikaambiwa eti mifupa yangu imezeeka kuliko umri wangu, pia nina sumu nyingi mwilini nahitaji kufanyiwa Detoxin, nilishindwa bei ya matibabu yao kwani niliambiwa laki tano. maisha yangu si mabaya na pia si mazuri saaana ni mtu wa kawaida kwani nina kipato cha wastani.na ninaishi kwa kufuata kanuni zote za afya.
      kinachonishangaza naugua sana kila mwezi lazima niugue maralia nilishapima ukimwi sina,
      SWALI je kuna hduma ya kuondoa sumu kitaalam(hospitalini?) na hii huduma inapatikana hospitali gani na kwa bei gani?. sasa naona nitakufa mapema na muda mwingine huwa naacha kunywa dawa tu na sizidiwi ila mwili wangu unaugua tu muda wote. naomba tuwasiliane kwa email yangu [email protected]
      Fadhili Paulo likes this.

    2. #2
      Lilian Masilago's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 228
      Rep Power : 395
      Likes Received
      105
      Likes Given
      102

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By ellyrehema View Post

      Inwezekana kuna watakao kuja na majibu tofauti na yangu..well i agree to disaagree..
      USHAURI wangu...regardless imani yako...Nenda kaombewe kwa jina la Yesu na Uokoke(be carefull na manabii wa uongo)
      sunshine1 likes this.
      Mhubiri 10:2....Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume;Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto.

    3. #3
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8642
      Likes Given
      28208

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By Lilian Masilago View Post
      Inwezekana kuna watakao kuja na majibu tofauti na yangu..well i agree to disaagree..
      USHAURI wangu...regardless imani yako...Nenda kaombewe kwa jina la Yesu na Uokoke(be carefull na manabii wa uongo)
      Badala ya wewe kumpa Ushauri wa kuombewa na wachungaji wewe unamuambia akaokoke? asipo okoka hawezi kupona? Pole sana kwa kuumwa ningelikushauri uende Hospitali kuu ya rufaa Muhimbili ukapime vipimo vyote mwilini mwako kisha uje utupe feedback wamesema nini huko Hospitalini? Kisha tutaweza namna ya kukusaidia pia waweza kuwasiliana na mimi email yangu Address ni hii hapa ([email protected]) pole sana bibie.@ellyrehema
      Lilian Masilago likes this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    4. #4
      Lilian Masilago's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 228
      Rep Power : 395
      Likes Received
      105
      Likes Given
      102

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By MziziMkavu View Post

      MziziMkavu,kuokoka ni zaidi ya kuombewa na wachungaji or anyone else.Kuokoka ni UPONYAJI wa mwili ,roho na nafsi....
      Mhubiri 10:2....Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume;Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto.

    5. #5
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8642
      Likes Given
      28208

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By Lilian Masilago View Post
      MziziMkavu,kuokoka ni zaidi ya kuombewa na wachungaji or anyone else.Kuokoka ni UPONYAJI wa mwili ,roho na nafsi....
      Mimi mbona nimeokoka miaka mingi lakini bado ninaumwa roho na mwili? Unaweza kuokoka na bado ukaumwa mwili kuokoka kunatokana na roho sio mwili. mwili mbali na Roho ni mbali ni vitu 2 tofauti unawezakuokoka na bado ukawa unaumwa mwili upo pamoja na mimi mkuu Lilian Masilago?
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    6. #6
      mhalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 613
      Rep Power : 613
      Likes Received
      151
      Likes Given
      137

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      pole sana Ellyrehema.

    7. #7
      Lilian Masilago's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 228
      Rep Power : 395
      Likes Received
      105
      Likes Given
      102

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By MziziMkavu View Post
      Mimi mbona nimeokoka miaka mingi lakini bado ninaumwa roho na mwili? Unaweza kuokoka na bado ukaumwa mwili kuokoka kunatokana na roho sio mwili. mwili mbali na Roho ni mbali ni vitu 2 tofauti unawezakuokoka na bado ukawa unaumwa mwili upo pamoja na mimi mkuu Lilian Masilago?
      Unaweza kuwa unaumwa mwili(yes sometimes it happens) lakn sio roho (kama umeokoka kiukweli na sio kichina china)...otherwise tunaongea vitu tofauti kati yako na mimi. Nasema hivo kwa sababu roho yako ni ya muhimu zaidi na huu mwili utaishia kuwa mavumbi...
      Naomba nikupe ANGALIZO kuwa mwenye haki huwa anaishi kwa IMANI akisitasita Mungu hana furaha nae.
      Mhubiri 10:2....Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume;Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto.

    8. #8
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8642
      Likes Given
      28208

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By Lilian Masilago View Post
      Unaweza kuwa unaumwa mwili(yes sometimes it happens) lakn sio roho (kama umeokoka kiukweli na sio kichina china)...otherwise tunaongea vitu tofauti kati yako na mimi. Nasema hivo kwa sababu roho yako ni ya muhimu zaidi na huu mwili utaishia kuwa mavumbi...
      Naomba nikupe ANGALIZO kuwa mwenye haki huwa anaishi kwa IMANI akisitasita Mungu hana furaha nae.
      Usitie mambo ya Dini na Maradhi unaweza kuokoka unavyotaka wewe na maradhi ukawa nayo. Basi kusingekuwepo hospitali Duniani Watu wangelikuwa wanaokoka na kupona hata hao waliokufundisheni mambo ya kuokoka wanakwenda Ma Hospitalini acha imani yako ya kuokoka mpe Dawa huyu mgonjwa apone kisha ndio umwambie aokoke mkuu Samahani kama nitakukwaza na kuokoka kwako huko Lilian Masilago
      Lilian Masilago likes this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    9. #9
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,672
      Rep Power : 1460
      Likes Received
      861
      Likes Given
      382

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      duh,pole sana....

    10. #10
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8642
      Likes Given
      28208

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By Neema View Post
      duh,pole sana....
      hatutaki pole tunataka mpe dawa au muombeekwa Mungu apone bi Neema hujambo lakini? Neema utafunga Ramadhani? neema?
      Neema likes this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    11. #11
      Incredible's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 71
      Rep Power : 378
      Likes Received
      37
      Likes Given
      17

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Nakushauri ukaombewe kwa jina la Yesu. Yesu anaponya watu wa dini zote tatizo ni sisi binadamu tunapenda kumfanya Yesu kama mali yetu binafsi.

      Ukiweza soma Biblia upade wa agano jipya na umwombe Yesu akuponye. Fanya hivyo mara kadhaa.
      Lilian Masilago likes this.

    12. #12
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,672
      Rep Power : 1460
      Likes Received
      861
      Likes Given
      382

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By MziziMkavu View Post
      hatutaki pole tunataka mpe dawa au muombeekwa Mungu apone bi Neema hujambo lakini? Neema utafunga Ramadhani? neema?
      yuko kny maumivu tumpe pole MziziMkavu,....kufunga mmmmmmmmh nitakuwa nakudanganya lol
      MziziMkavu likes this.

    13. #13
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,672
      Rep Power : 1460
      Likes Received
      861
      Likes Given
      382

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      nahisi una tatizo la immunity...au lile la body kuattack immunity yako automatically.....i hope MziziMkavu hatakuambia utafute kwato la ng'ombe.....,lol

    14. #14
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8642
      Likes Given
      28208

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By Neema View Post
      nahisi una tatizo la immunity...au lile la body kuattack immunity yako automatically.....i hope MziziMkavu hatakuambia utafute kwato la ng'ombe.....,lol
      Kwani kila kitu ni kwato la Ng'ombe bibie .. Neema? Kwato la Ng'ombe ni kwa ajili ya mtoto anaye kojoa kitandani sio kwato la Ng'ombe kwa kila maradhi upo pamoja bibie mpendwa?
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    15. #15
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,672
      Rep Power : 1460
      Likes Received
      861
      Likes Given
      382

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By MziziMkavu View Post
      Kwani kila kitu ni kwato la Ng'ombe bibie .. Neema? Kwato la Ng'ombe ni kwa ajili ya mtoto anaye kojoa kitandani sio kwato la Ng'ombe kwa kila maradhi upo pamoja bibie mpendwa?
      nakutania bwana,tupo pamoja,ila hio tiba ya kwato mmmmmmmmmmmmmnh mie siiamini,,,,,
      MziziMkavu likes this.

    16. #16
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8642
      Likes Given
      28208

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By Neema View Post
      nakutania bwana,tupo pamoja,ila hio tiba ya kwato mmmmmmmmmmmmmnh mie siiamini,,,,,
      Jaribu kwa mtoto anaye kojoa kitandani utapata majibu yake kisha unipe feedback Neema
      Neema likes this.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    17. #17
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,630
      Rep Power : 6254
      Likes Received
      526
      Likes Given
      421

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By MziziMkavu View Post
      Badala ya wewe kumpa Ushauri wa kuombewa na wachungaji wewe unamuambia akaokoke? asipo okoka hawezi kupona? Pole sana kwa kuumwa ningelikushauri uende Hospitali kuu ya rufaa Muhimbili ukapime vipimo vyote mwilini mwako kisha uje utupe feedback wamesema nini huko Hospitalini? Kisha tutaweza namna ya kukusaidia pia waweza kuwasiliana na mimi email yangu Address ni hii hapa ([email protected]) pole sana bibie.@ellyrehema
      Mkuu maneno yako wakati fulani yakupasa upime hilo jina kwa uzoefu wangu ni la kiume na sio sawa kumuita bibie...
      Kumshauri aende Muhimbili mmh! kwani mgomo mkubwa wa Madaktari ni vitendea kazi haswa mashine za kupimia n.k sidhani kama anaweza pata hivyo vipimo na akaja pona sawia kwa uzoefu mkubwa watu waendao muhimbili huambiwa wakafanye vipimo kwenye hospital binafsi na majibu wawaletee pale muhimbili na hii Madaktari wetu wliona ni kadhia iliyosababishga migomo

    18. #18
      BUBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Location : KIMANZICHANA
      Posts : 642
      Rep Power : 565
      Likes Received
      174
      Likes Given
      175

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Siku za karibuni kuna huduma ya tiba mbadala maeneo mengi. Kwa wale wanaosikiliza vipindi hivyo kwenye radio hasa mtafahamu Praise power na WAPO radio zinatangaza kuhusu maeneo ambayo tiba hizo zinapatikana kule Kurasini, Mbezi Samaki na Kimara Stop Over. Huko hupimwa kwa computer na kubainisha kiwango cha sumu mwilini. Kisha huendesha zoezi la kuondoa sumu....bei yake ilikuwa Tz 20,000 (sijui siku hizi) na lazima kuingizwa kwenye mashine hiyo mara 3 ili kuhakikisha sumu imeondolowa mwilini. Kingine (hata kama mimi si daktari) maradhi kama hayo unayosema yanaweza kusababishwa na mionzi (rays) -ambazo sources zake zinafahamika au hazifahamiki. But try that one bibie

    19. #19
      Mgalatia's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th November 2007
      Posts : 138
      Rep Power : 617
      Likes Received
      13
      Likes Given
      31

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      Quote By ellyrehema View Post
      Jamani habari zenu. kama kuna daktari ataweza kunisaidia tatizo langu hili nitafurahi sana. mimi nina miaka 34 na tangu nikiwa na umri wa miaka 24 nilianza kusikia kama maralia muda wote mara iningine ukipima inakuwepo ukinywa dawa hujisikii nafuu ila ukipima tena unakuta hakuna maralia, baadae nikaiona ni hali ya kawaida baada ya kuzoea. nahisi maumivu ya mifupa, masikio yanavuma ziiiiii!!!!, pia kichwa kinauma ila si sana. hali hii ni muda wote tangu nikiwa na umri huo. nimetumia dawa nyingi tu bila mafanikio. nilienda kwa watu wa tiba mbadala nikaambiwa eti mifupa yangu imezeeka kuliko umri wangu, pia nina sumu nyingi mwilini nahitaji kufanyiwa Detoxin, nilishindwa bei ya matibabu yao kwani niliambiwa laki tano. maisha yangu si mabaya na pia si mazuri saaana ni mtu wa kawaida kwani nina kipato cha wastani.na ninaishi kwa kufuata kanuni zote za afya.
      kinachonishangaza naugua sana kila mwezi lazima niugue maralia nilishapima ukimwi sina,
      SWALI je kuna hduma ya kuondoa sumu kitaalam(hospitalini?) na hii huduma inapatikana hospitali gani na kwa bei gani?. sasa naona nitakufa mapema na muda mwingine huwa naacha kunywa dawa tu na sizidiwi ila mwili wangu unaugua tu muda wote. naomba tuwasiliane kwa email yangu [email protected]
      Nakushauri jitahidi kula matunda fresh kwa kuanzia tafuta beetroot moja na carrot moja utengeneze juice kila siku kwa siku tatu mfululizo unywe kila asubuhi kabla ya kula kitu na usile kitu mpaka baada ya nusu saa halafu uone. ushauri wa pili, nenda kwenye hospitali ya natural therapies opposite Hindu mandal hospital DSM waone uwaeleze ili wakufanyie kipimo cha mwili ( nadhani itakuwa bado shs 20,000) wanaweza kukusaidia sana. nazungumza kwa experience yangu ndogo.
      Fadhili Paulo likes this.

    20. #20
      vicent tibaijuka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2012
      Location : Iceland
      Posts : 264
      Rep Power : 417
      Likes Received
      30
      Likes Given
      38

      Default Re: Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

      nenda hospital, kamwelezee dk, atakupatia ushauri. yaweza kuwa myalgia, but lazima kutafuta sababu.!

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...