JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 58
  1. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,194
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Hili tatizo linawatokea sana sana wanawake.....kuwashwa sehemu za siri....

   ....nini tatizo la kuwashwa sehemu za siri?

   ....nini tiba yake?
   Quote By Pretty View Post
   kuwasha sehemu ya siri kuna sababishwa na vitu vingi, huo sio ugonjwa wa zinaa.

   -Inawezekana hao ni fungus, hivyo inabidi akamuone daktari ampe vidonge vya kuingiza sehemu ya siri au cream ya kupaka.
   -Vile vile inawezekana anapenda kuvaa chupi wakati sehemu ya siri sio kukavu, anapomaliza kuoga ahakikishe ajifute vizuri ndipo avae chupi, unyevu nyevu sehemu za siri unaweza kusababisha kuwashwa.
   -Ahakikishe anajisafisha vizuri sehemu za siri, wanawake wana utoko sehemu zao za siri, hivyo ahakikishe kila siku kujisafisha hadi ndani ili utoko wote utoke. Kama akiwa na utoko nao unaweza kusababisha kuwashwa.
   - Azingatie usafi wa hayo niliyotaja hapo juu, kama muwasho unaendelea akamuone daktari na achukuliwe kipimo cha mkojo.
   Quote By Jethro View Post
   Dada Yangu Pretty,

   Ulicho kisema ni sawa na ninadhani kati ya wakina dada wanao jipiga mausafi wewe ni namba wani.

   Me nadhani kuwasha kwa sehemu za siri nako kwatakiwa kufafanuliwa maeneo ya siri napo kumegawanyika kuna ndani ya eneo la siri na nje ya eneo la siri.

   Me nta base kwa dada zangu na kuwapa hiki kifungu wakisome na kitawasaidia sana pia dada yangu pretty kipitie pia na uwaelimishe wengine

   Yeast Infection Causes

   Sometimes, taking antibiotics can cause yeast infection. One prime factor of the cause of yeast infection in pregnant women is the course of hormone changes as well as women undergoing menopause. Not only the women experience this infection, even men can contract the disease by engaging on sexual intercourse with women who are infected with it.

   At times, overdoing the personal hygiene can be a major cause for this infection to occur.

   Feminine washes and douches can sometimes cause fungal infestation. Too much cleanliness tends to kill the beneficial bacteria that normally protects and shields the body from the disease. Another factor when looking up the causes of yeast infection is clothing. This cause is often overlooked, but it also plays a big part in causing the symptoms to occur. Tight clothes tend to keep away the cold in the body; thus the fungus creates their environment.

   Vaginal Yeast Infection

   Yeast infection is better prevented than cured. That is why it is important to know its causes. Reading and researching can be a big help when it comes to preventing the disease occurrence. The most common yeast infection is the one which occurs at the vagina. This is caused by the organism Candida Albicans. During sexual intercourse, with or without the use of a protective item, the organism can be transferred.

   Irritating soaps can be a candidate for causes of yeast infection. These are bubble baths, douches, and some feminine liquid wash. Although it is meant to clean you from the fungus, they can sometimes trigger and cause the infection themselves. Having proper hygiene can help prevent this kind of infection, but overdoing it can possibly be the cause of infection instead.

   The overuse of antibiotics is also an agent to the cause of vaginal fungal infection, so are dairy products and beef. There are also foods that can cause yeast infection; here are some to name a few: grain, corn, apples, and peanuts. So it is better to know the causes of this disease so we can easily prevent them from happening. Bear in mind that prevention is always better than cure.
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....


  2. Pretty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Location : Chumbani.
   Posts : 2,580
   Rep Power : 57919027
   Likes Received
   437
   Likes Given
   169

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By Bazazi View Post
   Hongera Pretty kwa kunikumbusha huu msamiati; sidhani kama vijana wetu wa leo wanajua maana yake.

   Pretty unajua KISHIDA?
   hiyo KISHIDA msamiati kwangu, hebu niambie ndio nn?
   A mother who is really a mother is never free.

  3. Lilian's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th February 2009
   Posts : 29
   Rep Power : 660
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   hahaa kishida ni gagulo au underskirt, rite?

  4. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,400
   Rep Power : 429508108
   Likes Received
   22889
   Likes Given
   1819

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By kyakya View Post
   We Nyani Ngabu Mganga wa kienyeji nini! Yaani Tunguli lako linaonyesha dawa ni kujikuna! Kali hiyo.
   Umewahi kuwashwa? Unapowashwa reaction yako ya kwanza ni kufanya nini kama sio kujikuna...
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  5. Kwetunikwetu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2007
   Location : Kwetu uswahilini
   Posts : 1,545
   Rep Power : 1024
   Likes Received
   332
   Likes Given
   5

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Kujikuna....
   Mkuu umenikumbusha ule msemo wa kigamboni "MTU HUJIKUNA PANAPOWASHA" sio ule uliopitwa na wakati usemao Mtu hujikuna anapofikia...!tehe tehe te...
   Hardly a shoemaker goes barefoot..!

  6. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,914
   Rep Power : 49787894
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   3323

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   ...Yoyo, kinywa chako kiko salama lakini?!!


  7. MPadmire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2006
   Location : Dar es salaam
   Posts : 1,538
   Rep Power : 1116
   Likes Received
   329
   Likes Given
   241

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Asanteni kwa hii mada, ni muhimu kwa afya ya watu. Asilimia kubwa ya maisha ya watu inategemea mapenzi.

   Mapenzi ni muhimu sana kwa sababu inaongeza value of life, hata hivyo uaminifu na kuwa na mapenzi salama. Ukitaka kuwa na raha epuka usaliti katika mapenzi, kuwa mwaminifu na mkweli.

   Baada ya hapo nina maswali yafuatayo:

   - Nini umuhimu wa Condom? Nitajie faida za kutumia condom katika mapenzi?
   - Kuna hasara au madhara gani katika kutumia condom kwa muda mrefu? mfano kufanya mapenzi kwa condom mfululizo kwa miezi mitatu
   - Je mtu akiambukizwa VVU itapita muda gani hadi Damu yake ikipimwa ionekane kuwa ina VVU
   - Je Msichana mwenye VVU akitoa mimba, afya yake itadhoofika?
   - Mwanamke akioga kawaida bila kupitisha kidole kwenye uchi/**** (samahani jamani) yake atapata madhara baada ya muda gani?
   When your life becomes a battleground, your mind is the best weapon

  8. WomanOfSubstance's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th May 2008
   Posts : 5,480
   Rep Power : 85964256
   Likes Received
   794
   Likes Given
   721

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By Yo Yo View Post
   shem nakula vitu classic bana.....hana STI yoyote maana ningejua si unajua kwa jinsia ya pili haichukui muda kujitokeza.....kawaona madktari kapewa vidonge kuweka huko chini bado nasikilizia kama muwasho utaendelea...aaaah shem kuna sehemu kuuza mechi hakukwepeki....
   1. Kwenye magonjwa na maambukizi yanayohusiana na kujamiiana (Sexually Transmitted Infection or Disease) hakuna cha u classic ndugu!Tena unayewaona ni "classic" pengine ndo hao hao wenye maambukizi zaidi.Uliza madaktari watakuambia.

   2. Huwezi kusema kwa uhakika kuwa mtu anayo au hana STI bila kufanya vipimo. Kuna tofauti ndogo baina ya STI ambayo ni uambukizo unaotokana na kujamiiana na STD ambayo ni magonjwa ya zinaa. Hicho alicho nacho huyo dada kinaweza kutokana na au kisitokane na zinaa/kujamiiana kama walivyokwisha elezea wengine. Wanawake wengi hupatikana na tatizo la mwasho katika nyakati mbalimbali za mzunguko wao wa mwezi na pia kutokana na mabadiliko mbalimbali katika sehemu za siri ( matumizi ya sabuni, matumizi ya dawa za anti biotics vyote huingiliana na PH ya sehemu hizo). Wengine hupata kuvu ( fungus) - candida au hata trichomonas vaginalis - hii hupatikana pia kwa njia ya zinaa/kujamiiana. So dont be too sure kuwa siyo STD/STI.Maambukizi haya ni tofauti na Syphilis, gonorhoea, chlamydia etc ambayo yatakupa dalili za moja kwa moja na kukufanya ujue au kuamnini kuwa huyo bibie anayo STI/STD.

   3. Ni vema basi huyo mwana dada atafute ushauri wa kitabibu hasa kama tatizo linajirudiarudia badala ya kujitibu kwa kununua dawa kama daktarin, nystatin, etc ambazo huweza kupatikana kwa urahisi kwenye maduka ya dawa. Pia epuka kujamiiana kipindi cha kutibu hilo tatizo na muwe na mazoea ya kutumia condom.
   Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle  9. Mwanahawa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 14th April 2009
   Posts : 5
   Rep Power : 648
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Tatizo hilo huwapata sana wanawake, ila linatibika haswa ukizingatia usafi kwa ujumla,

  10. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Masa mm naona tiba yake hapo nikuachana kabisa na mademu wa bei chee wale wa Mwananyamala, buguruni, TMK n.k
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  11. BornTown's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2008
   Location : ???
   Posts : 1,589
   Rep Power : 1016
   Likes Received
   357
   Likes Given
   135

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Kuwashwa kwa mwanamke sehemu za ukeni kunatokana na yafuatayo:

   1. Kuna baadhi ya wanawake wakitumia aina flani za condom huwashwa kutokana nayale
   mafuta mafuta ya condom.
   2. Wengine wanapo kwenda haja ndogo hasa kwenye hivi vyoo vyetu vya jumuia
   utakuta ktk choo cha wanawake kuna ndoo ya maji na kopo, lile kopo halisafishwi
   vizuri na choo pia hakioshi vizuri na madawa ya usafi hivyo basi ule uchafu wa choo
   na kopo la maji ambapo huwa kuna vijidudu vya fungus huzaliana kwa wingi ndipo
   hapo mwanamke huambukizwa.
   3. Kwenda haja ndogo na umalizapo kunawa na maji husababisha unyevyu nyevu ktk
   chupi.
   4. Baadhi ya wanawake hufuwa chupi zao na kuzianika ndani, na kuzivaa bila kupiga
   pasi chupi huwa na unyevunyevu hazikauki ipasavyo.

  12. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,194
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By SteveD View Post
   ...Yoyo, kinywa chako kiko salama lakini?!!
   tehe tehe steve bana.....kiko salama mkuu tehe tehe nimecheka sana
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  13. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,194
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By ZeMarcopolo View Post
   Kuna members wamekuja wakisumbuliwa na medical conditions, ushauri umetelewa juu ya nini wafanye ili kuweka afya yao sawa.Cha kusikitisha ni kwamba hakuna feedback yoyote toka kwa members hao. Iwapo wangekuja kusema njia ipi imewasaidia au haijawasaidia, ingeweza kuwasaidia wengine ambao wana conditions kama hizo au wanaowafahamu wenye conditions kama hizo.
   Lile tatizo lilisha kwa mujibu wa mhusika......alikwenda hosp akapewa dawa fulani akatumia baada ya siku kadhaa liakwa limeisha.....aliambiwa limetokana na maji aliokuwa akitumia.....nafikiri mnajua maji yetu ya dar.....

   ...pia kitu kignine nilimshauri ni kujiswafi kwa saana(pamoja ni msafi sana na anazingatia kanuni zote za afya) na atumie maji kila akienda hata haja ndogo.....toilet paper nazo hazifai zinaongeza fungus kwa wakina mama.....
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  14. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897713
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Quote By T 726 AQB View Post
   wewe ni moja kati ya madktari bora nuilio wahi kukutana nao.....ubarikiwe mkuu.
   Hii kali nayo!

  15. Nameless-'s Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st May 2009
   Posts : 47
   Rep Power : 650
   Likes Received
   1
   Likes Given
   8

   Default re: Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

   Soma maelezo ya Pretty, pia pendelea kuvaa chupi ambazo material yake ni 100% cotton

  16. cutienoe's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th July 2011
   Posts : 38
   Rep Power : 537
   Likes Received
   6
   Likes Given
   0

   Default Kuwashwa ukeni,,,plz nid ur help

   Naomba ushauri wa kisayansi hapa, kama miaka mitatu iliyopita niliumwa UTI ikaambatana na muwasho ukeni lakini nikapewa dawa za kunywa na ya kupaka inaitwa DAKTARIN nikapona...lakini tangu siku hiyo muwasho umekuwa ukijirudia na kuondoka pindi nikiipaka daktarin na wakati mwingine nikijiangalia najikuta kuna kama viupele vidogo saanaaa kwa ndani kidogo manzoni mwa njia ya ukeni nikipima UTI sina na nikajaribu pia kupima STD"s pia sina.. Je nifanyeje mwenzenu????

  17. mwita ke mwita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2010
   Posts : 2,653
   Rep Power : 0
   Likes Received
   453
   Likes Given
   355

   Default Re: Kuwashwa ukeni,,,plz nid ur help

   Pole sana jaribu kutafuta dawa za kienyeji kwa wamasai

  18. Ta Kamugisha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th May 2011
   Posts : 1,977
   Rep Power : 3927
   Likes Received
   551
   Likes Given
   92

   Default Re: Kuwashwa ukeni,,,plz nid ur help

   unatakiwa kukunwa hicho kipele mama! tafuta mkunaji

  19. NdasheneMbandu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd January 2012
   Posts : 941
   Rep Power : 0
   Likes Received
   301
   Likes Given
   8

   Default Re: Kuwashwa ukeni,,,plz nid ur help

   Tumia mhogo tena wa kisukuma. Huwa inasaidia sana.

  20. Maamuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Posts : 838
   Rep Power : 830
   Likes Received
   271
   Likes Given
   100

   Default

   Nenda hospitali umweleze vizuri Daktari (pamoja na dawa ulizokwisha tumia). Utapata suluhisho. Zipo dawa aina mbalimbali kwa tatizo lako. Kila la heri!

  21. stephot's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st March 2012
   Location : Where ur!
   Posts : 1,828
   Rep Power : 14168
   Likes Received
   569
   Likes Given
   1221

   Default Re: Kuwashwa ukeni,,,plz nid ur help

   Quote By cutienoe View Post
   Naomba ushauri wa kisayansi hapa, kama miaka mitatu iliyopita niliumwa UTI ikaambatana na muwasho ukeni lakini nikapewa dawa za kunywa na ya kupaka inaitwa DAKTARIN nikapona...lakini tangu siku hiyo muwasho umekuwa ukijirudia na kuondoka pindi nikiipaka daktarin na wakati mwingine nikijiangalia najikuta kuna kama viupele vidogo saanaaa kwa ndani kidogo manzoni mwa njia ya ukeni nikipima UTI sina na nikajaribu pia kupima STD"s pia sina.. Je nifanyeje mwenzenu????
   Ningeoomba unitafute ili nione hivyo vipele vinafanana vipi ili nijue nitakusaidiaje....pole sana.


  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Siri ya kuwashwa majenereta ya IPTL
   By wimbi la mbele in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 18
   Last Post: 12th August 2011, 20:58
  2. fungus sehemu za siri
   By Speaker in forum JF Doctor
   Replies: 20
   Last Post: 21st January 2011, 15:43
  3. Nywele sehemu za siri na makwapani
   By dropingcoco in forum JF Doctor
   Replies: 28
   Last Post: 12th May 2010, 13:42

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...