Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ushauri au Matibabu

    Report Post
    Results 1 to 9 of 9
    1. #1
      shin's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Post Ushauri au Matibabu

      Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia pumzi siku ya leo. dr. ninatatizo linanisumbua nimehangaika sana sasa najaribu kulileta kwako. Dk. mimi ni mweupe wa asili ila tatizo langu ni kwamba uso wangu nimepata alama nyeusi juu ya paji la uso kwenye mashavu na alama hizi nilizipata niliposhika ujauzito wa mtoto hadi leo zinisumbua wkati mwingine zinafifia lakin nikiwa katika siku zangu za mwezi zinakolea kama umewahi kuwaona watu wa kabila la warangi wana alama fulani lakini mimisio mrangi. Nimeenda mpaka kwa docta wa ngozi akaniambia hii inatokea sana kwa watu weupe wanaathirika na mionzi ya jua kwa kua ngozi zao ni lain akaniambia nipake sunblock itaisha mara nipake sonaderm itanisaidia. lakin naona napaka vitu ving zinzondoka halaf inafika kipindi zinarud tana. naomba ushauri wako.

    2. Miaka 50

    3. REX
      #2
      REX's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : KCMC-MOSHI
      Posts : 182
      Rep Power : 397
      Likes Received
      24
      Likes Given
      2

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Ok! Pole sana ndugu! Mi nipo kcmc! Nafikiri naweza kukusaidia.nitumie pm vitu vyote ulivyotumia.

    4. #3
      shin's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Nashukuru Mkuu kwa msaada wako, lakin inaniwia ngumu kukumbuka vitu vyote nilivyotumia kwan ni muda mrefu tang nimeathirika na tatizo hili. Nina miaka mitano na unajua reception inapokua mbaya unahangaika kuiweka sawa, mara huyu anakuambia jaribu hiki. so nimepitia ving na sina kumbu kumbu ila baadhi kama. Mara nyingi nanunua farmasi vichub nakutajia ninavyovikumbuka sonaderm cream, safi cream, persol Gel 5.0, Gold tach cream, Malaika kutoka USA, na vingine ving ambavyo hata majina siyakumbuki. Si unajua unaweza kununua halafu unapaka ukiona hakuna mafanikio unaacha, unajaribu tana kingine ukiona hakifai unaacha. Mwisho ndo nimeenda kwa docta nikihisi mybe ni aleji kwa sababu kwa nini nikiingia katika hedhi zinakolea, wakati mwingine zinaisha halafu zinarudi tena.

      nitashukur kwa msaada utakaonipa.

      Natanguliza shukran zang za dhati

    5. #4
      shin's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Nashukuru Mkuu kwa msaada wako, lakin inaniwia ngumu kukumbuka vitu vyote nilivyotumia kwan ni muda mrefu tang nimeathirika na tatizo hili. Nina miaka mitano na unajua reception inapokua mbaya unahangaika kuiweka sawa, mara huyu anakuambia jaribu hiki. so nimepitia ving na sina kumbu kumbu ila baadhi kama. Mara nyingi nanunua farmasi vichub nakutajia ninavyovikumbuka sonaderm cream, safi cream, persol Gel 5.0, Gold tach cream, Malaika kutoka USA, na vingine ving ambavyo hata majina siyakumbuki. Si unajua unaweza kununua halafu unapaka ukiona hakuna mafanikio unaacha, unajaribu tana kingine ukiona hakifai unaacha. Mwisho ndo nimeenda kwa docta nikihisi mybe ni aleji kwa sababu kwa nini nikiingia katika hedhi zinakolea, wakati mwingine zinaisha halafu zinarudi tena.

      nitashukur kwa msaada utakaonipa.

      Natanguliza shukran zang za dhati

    6. REX
      #5
      REX's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : KCMC-MOSHI
      Posts : 182
      Rep Power : 397
      Likes Received
      24
      Likes Given
      2

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Ok! Tatizo lako ni kwa sababu ya mabadiliko ya homon ndan kwenye mwil wako na siyo allergy unakuwa na kiwango kikubwa cha androgens zinazosababisha uwepo vya hivyo vipele.acne inatokea kama ifuatavyo
      unapokuwa na mwil wenye mafuta mengi particularly usoni,kifuan na sehem ya juu ya mgongo hayo mafuta huziba vinyweleo na kuzuia uchaf usitoke kwenye ngoz.huu uchaf (excessively accumulated sebum) inakuwa na mazingira ya bacteria hasa aina ya propionobacteria acne kukua na inasababisa inflammatory reactions then vidonda na vipele vinaaza kutokea! Kipind unapoingia kwenye hedh androgens zikipanda particularly progesterone ndo zinaongeza rate of excretion of sebum and clogging of pores so the situation worsens,unaweza kujiuliza mbona wanawake wote wana hedh kwa nin ikutokee wewe? Jib ni kwamba hili tatizo linajitokeza tu kwa wenye hormonal imbalance, ktk kipind cha rapid growth kama adolescent tatizo hili huwa kubwa sana kwa sababu ya excessive sebum production and soon the body adapts bt to few people they persist na wengine vinajitokeza kipindi cha ujauzito tu,
      ukitaka kuthibitisha kama ni sababu ya hormonal imbalance unaweza kutumia combined oral contraceptives na matibab yake ni kubalance hormones,pia unaweza kutumia antibiotics kuua hawa bacteria kama doxcy,azithromycin na vitamin A analogues kama tretinoin! Usitumie cream maana nying ya hizo cream zina steroid na hazitasaidia,naweza kukusaidia in a more natural way lakin gharama yake ni kubwa kidogo.pole sana dada yangu

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      shin's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Asante Mkuu lakini kumbuka mimi sina kipele hata kimoja ila ni alama nyeusi na si kwamba labda ni chunus halafu zinaacha alama la hasha! ni kama vile mtu aliyeungua na jua au nilikutolea mfano kama unafaham kabila la warangi ndo huwa wanapata alama hizo kwenye mashavu. maelezo yako nimeyapata na yameniingia ila ili niweze kupata msaada zaid kama ambavyo umewahi kusema, na labda ili iwe rahis zaid Nitumie sms katika namba hii 0762973706 halafu mimi nitakupigia kwa maelezo zaid au nibeep samahani kwa usumbuf na pia usichoke kunipa msaada wako.

    9. #7
      shin's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Je nikiacha kutumia hivyo vichub naona alama ninazidi kuiva labda unipe ushauri nitumie nini ambacho kitaendana na ngozi yang kama ambavyo nimewahi kusema awali mimi ni mweupe wa asili mkuu.

    10. #8
      shin's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      lakini mbona hizi antibiotics nazitumia sana Amoxillin, Ampiclin, au ulizoniamia ni tofauti na hizi na nikitimia nitumie kipimo gani dz au nusu doz .

    11. REX
      #9
      REX's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : KCMC-MOSHI
      Posts : 182
      Rep Power : 397
      Likes Received
      24
      Likes Given
      2

      Default Re: Ushauri au Matibabu

      Kwa kuwa umeweka namba yako ya sim tutawasiliana na maswal yako yatajibiwa!

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...