jaman nisaidien nifanye nn ili nipate unene maana afya yangu ni dhoofu
jaman nisaidien nifanye nn ili nipate unene maana afya yangu ni dhoofu
we kapime afya kwanza inawezekana unakaugonjwa kanakutafuna
tumia ARVs
Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.
Duuh pole ndugu, sisi tunataka kukonda wewe wataka kunenepa. Kwanza check afya yako, kunenepa haimaanishi kuwa una afya bora unless you're reffering to anoxeria
Blessed are hearts that bend but shall never broken
kula machips na makuku,lala kwa sana usifanye physical activities,,,,,unene lazima uje![]()
Unene sio mzuri ndugu yangu.
Follow Us Here