:a s 465:
:a s 465:
Maji ni Uhai. Tembelea www.maajabuyamaji.net kujifunza namna ya kutumia maji kujikinga na kujitibu na maradhi mbalimbali.
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyuki unywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@daniel don
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Sasa mua mweusi ndo nini? Huu unesi wako niliokabidhiwa na The secretary karibu unanishinda!
Muwa Mweusi Black Sugarcane Mkuu King'asti
Black Sugarcanenaona Unesi utakushinda lol
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Dawa ya Kwikwi unachukua muhogo mbichi unautwanga au unausaga kwa kutumia blender. Baada ya hapo unaweka maji kidogo ili kupata ile juice then unakunywa kijiko cha chakula asubuhi mchana na jioni. Hakikisha juice inakuwa nzito. Na usistengeneze nyingi kwa sababu huwa inaharibika haraka sana.ukitumia ikibaki unaweka katika friji ili isiharibike. Usitumia juice ulokamua kwa zaidi ya siku moja. Well,utanipa matokeo yake.
There is a medicine for hiccups.. you have to seek medical advice first if the problem is persistent so that dr can find the cause...
Maji ni Uhai. Tembelea www.maajabuyamaji.net kujifunza namna ya kutumia maji kujikinga na kujitibu na maradhi mbalimbali.
Kwa nijuavyo maji pia hutibu kwikwi hasa ya mda mfupi na isiyo serious.
We never really grow up, we only learn to act in public.
Pia Ndizi Kisukari zinafaa sana.
Kwikwi kwa jina la kitalaam inaitwa HICCUP kwa nijuavyo mimi hiyo ni dalili ya kuwepo kwa urea kwenye damu kwa maana ya URAEMIA lakini pia inaweza kusababishwa na irritation of the diaphragm sasa mpaka leo inaaminika dawa ni maji na dexamethasone.
Hata kwa kwikwi serious maji ni ndiyo dawa hasa ya kwikwi. we mara zote ukianza tu kujisikia kwikwi tafuta glasi ya maji, sema inaweza isikusaidie haraka kama unaenda kunywa maji ya baridi sana yale mnayaweka kwenye mafriza na mafriji yenu!. Ukinywa ya kawaida katika joto la kawaida (room temperature), kwikwi haitakawia kuisha.
Maji ni Uhai. Tembelea www.maajabuyamaji.net kujifunza namna ya kutumia maji kujikinga na kujitibu na maradhi mbalimbali.
Maji ni Uhai. Tembelea www.maajabuyamaji.net kujifunza namna ya kutumia maji kujikinga na kujitibu na maradhi mbalimbali.
Maji ni Uhai. Tembelea www.maajabuyamaji.net kujifunza namna ya kutumia maji kujikinga na kujitibu na maradhi mbalimbali.
bibi yangu alikuwa akinichanganyia kijiko kimoja cha jivu na maji ya uvuguvugu glass moja kisha ananipa nakunywa safi kabisa
wakati mwingine kifua kikinibana na kwikwi alikuwa akinichanganyia magadi kwenye glass ya maji ya uvuguvugu na kuninywesha
Follow Us Here