JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kurudia sex ni shughuli

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 75
  1. Ndumbayeye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st January 2009
   Posts : 2,795
   Rep Power : 1216
   Likes Received
   454
   Likes Given
   2597

   Thumbs down Kurudia sex ni shughuli

   Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?


  2. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,842
   Rep Power : 923039
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Penny View Post
   Mimi nadhani kuna kaugonjwa kamewaingia hivi viumbe si bure. Naunaitwa 1ejaculatio swine.
   Mh, majority ya wenye matatizo ni wale wa maofisini sababu ya stress na kukosa mazoezi na pombe [and poor diet]

   Emotions play major role katika gemu!!! Ngoma mpya unpiga hata nne lakini ya kila siku inakuwa ngumu, maana unaweza anza halafu mtu analeta shida za familia
   ....Time is the wisest counselor !!!

  3. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,194
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Mtindiowaubongo View Post
   Maoni mengi ni veeeeri ansayantifik lol.. waTz tuwe na kawaida ya kuperuperuzi vilindi vya elimu. Hizi ninazoziona hapa ni hearsay tu..hamna jipya..
   Dr tupe vitu vipya basi.......
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  4. TanzActive's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th November 2007
   Location : DSM
   Posts : 351
   Rep Power : 790
   Likes Received
   60
   Likes Given
   3

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Penny View Post
   Mimi nadhani kuna kaugonjwa kamewaingia hivi viumbe si bure. Naunaitwa 1ejaculatio swine.
   Kwani wewe Penny unachotaka nini kujazwa mish***wa au kucheza gemu muda mrefu ,maanake mnaweza chapa gemu kwa saa 1 bila jamaa kushusha ,na ninaamini baada ya hapo utakuwa chokaa mbaya huitaji tena au sio ?Basi hoja sio bao moja bali mtu anaweza akahold kwa muda gani ?after all not all women experiency org through penil thrust,so things like oral sex,foreplay are of great importance to majority and penil thrust is just needed to wind things up and probably only to satisfy the man

  5. Pretty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Location : Chumbani.
   Posts : 2,580
   Rep Power : 57919027
   Likes Received
   437
   Likes Given
   169

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   vyakula navyo vya siku hizi zinachangia kuwafanya wanaume kupiga kibao kimoja tu awe hoi. Solution viagra labda inaweza kusaidia.
   A mother who is really a mother is never free.

  6. WomanOfSubstance's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th May 2008
   Posts : 5,480
   Rep Power : 85964256
   Likes Received
   794
   Likes Given
   721

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By ndumbayeye View Post
   Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?
   Quote By Hondo View Post
   nasapoti hiyo kwani mashine inapokuwa tofauti hamu inapotea lakini mashine kama ni bomba unaweza kwenda hata mara nane
   Quote By Yo Yo View Post
   Pia na wanaume nao hawajui kudeal na ishu za namna hii.....wengi wa wanaume wanafikria mapenzi ni kuchoma choma nje ndani kibaoo....

   ..mapenzi sio kihivyo....wajifunze kuzamia 30-45 mins wafanye window sex shori akiwa kesha score 2 yeye ndio aingie amalizie na kabao kake ka1.....
   Quote By Wande View Post
   Hiyo comment yako nimeipenda, imetulia.. ila inategemea na demu mwenyewe kama analipa kuanzia figure, sura na mashine yenyewe, pia inategemea na psychological state ya mwanaume, mfano kama ulikuwa unamtamani msichana kwa muda mrefu sana, siku utakayompata unaweza ukapiga hata bao 4 mfululizo, ukisha mzoea hata hamu ya hako kamoja inikuwa taabu...
   Quote By Swahilian View Post
   Mie nakumbuka siku za mwanzo naanza kuitumikisha tupu yangu ilikuwa ni hatari kubwa kwani niliweza kwenda kimiani mapema sana lakini zile majalo za kutingisha cha pili au tatu ilikuwa ni lazma nicheze ka kiungo straika ili niweze kufunga rather than stickin striker, lakini miaka hii ingawa sipati mechi nyingi lakini nachelewa sana kufunga na pia sifungi nyingi pia nakuwa tired sana! Bt nkajua nawaza sana mambo ya nje ya uwanja kuliko kuwaza gemu,
   Quote By Bubu Ataka Kusema View Post

   Naam, hili la utazunguka butcher zote nyama ni ile ile halina ukweli wowote. Wale mliowahi kula nyama ya kongwa mnajua tofauti ya nyama ya kongwa na nyama ya vingunguti. Kuna mwenzetu hapa alitwambia siku chache kwamba alipokuwa Mbeya kikazi alijichukulia changu doa ambaye alikuwa ana ngozi laini kama ya mtoto na alidai aliweza kwenda round tano bila mtatizo yoyote kitu ambacho alikuwa hajawahi kabisa maishani mwake. Kwa hiyo machoni nyama inaweza kuonekana ni ile ile, lakini kwenye ladha kuna tofauti kubwa sana.


   .
   Quote By Mtindiowaubongo View Post
   Maoni mengi ni veeeeri ansayantifik lol.. waTz tuwe na kawaida ya kuperuperuzi vilindi vya elimu. Hizi ninazoziona hapa ni hearsay tu..hamna jipya..
   Kutokana na michango hiyo hapo juu, HITIMISHO LANGU:
   MATATIZO mengi yanatokana na kujichanganya saaaaana - kukutana na ladha/vionjo tofauti vya kila aina hadi mwili unachanganyikiwa unashindwa ( confusion tupu.Performance inadorora).
   Way forward:Jibu kamili la hii ishu ni vigumu kulipata kwa maana binadamu kila mara ana harakati nyingi sana za kujitafutia liwazo na raha na kamwe haipati.Cha msingi,kama una mwandani wako concentrate on her/him, endelea kuvumbua nae.Kama vipi basi utaendelea kuwa disappointed na utazunguka sana kutafuta ideal partner/mwenye optimum performance na hutampata.
   Haya ni mawazo yangu binafsi.
   Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle
  7. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903773
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Yo Yo View Post
   Dr tupe vitu vipya basi.......
   Sasa kama hukufundwa jandoni inabidi nikupe billing account yangu kabisa kwa ajili ya kukupa experiences zangu na ilmu ..hamna free lunch..vp upo tayari?
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  8. Kandambilimbili's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 11th November 2008
   Location : MGONGONI KWAKO
   Posts : 784
   Rep Power : 824
   Likes Received
   16
   Likes Given
   0

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Mtindiowaubongo View Post
   Maoni mengi ni veeeeri ansayantifik lol.. waTz tuwe na kawaida ya kuperuperuzi vilindi vya elimu. Hizi ninazoziona hapa ni hearsay tu..hamna jipya..
   Toa mpya wewe uliyebingwa wa KUPERUZI. aaah mimesahahu kumbe na wewe ni MTANZANIA

  9. N-handsome's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2008
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,177
   Rep Power : 1145
   Likes Received
   243
   Likes Given
   1361

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Naona wote tunazungumzia lile tendo la ndoa (ngono) to have sex. We need to look at it from a different angle or point "Making Love" hii its more than having sex, kuna factor nyingi zinazoshababisha speed ya tendo kupungua lakini sababu kubwa ni wahusika wenyewe na mahusiano yao. I have experience that all the time kama mmoja wenu anamuachia mwenzake ndie awe kinara wa tendo lenyewe linakua limepooza, both of you have to participate na mood ya mapenzi lazima iwepo, not only foreplay hata maongezi lazima yawepo ya kimapenzi, attitude, body language etc. Make it a special event na sio as a method of reconciliation or way of asking for something, prepare youself both physically, mentally, and make sure you willing to enjoy it.

  10. kimatire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2008
   Location : Sydine- St. Roix's
   Posts : 364
   Rep Power : 742
   Likes Received
   71
   Likes Given
   20

   Thumbs up Re: Kurudia sex ni shughuli

   Hii ni shida inayowasumbua wanaume wengi husasani Dar,inatokana na mabo mengi yakiwemo ya kiafya ,kijamii, kiuchumi na ubinafsi.Dawa ya tatizo hili inapatikana ,Kwa yeyote mwenye hitaji hilo anitumie PM na namba yake ya simu nitampa habari kamili na jinsi ya kunusuru hali hiyo.
   I smile because I don't know what the hell is going on.

  11. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903773
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Kandambilimbili View Post
   Toa mpya wewe uliyebingwa wa KUPERUZI. aaah mimesahahu kumbe na wewe ni MTANZANIA
   Sorry mzee siwezi kuzama kwenye majunol wakati sikabiliwi na hili tatizo..Mimi mzee wa Ze KOP a.k.a Liverpool...4 X 4 lol..
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  12. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,955
   Rep Power : 201427449
   Likes Received
   3114
   Likes Given
   1323

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Siku wanawake na wanaume wataacha cheating katika maisha yao yote, ndipo matatizo ya sex yatamalizika!!!!! Kwa nini tusiwafanye wapenzi wetu kuwa ni wao wao tu bila cha kutafuta mabucha tofauti tofauti, yawe ya kike au ya kiume!??? Tungeamua wote kuwa na wake au waume zetu kwa life time tangu muoane bila kutembeza nje nakuambia sex ingenoga tu. Hebu fikiria mkeo anafahamu kuwa una kimada nje na ameshashuhudia mara nyingi ukimsaliti au pia mwanaume anajua mke ana njemba nje, hata kama wataombana msamaha hakuna game itakaa ikubali kama awali.

   Kama kweli game awali ilikuwa moto halafu ghafla ikazimika ni mpaka uchochee kuni za mpingo basi ujue kuna tatizo!!! hasa pale ambapo unafahamu mwenzake hana stress wala matatizo mengineyo halafu inapokuja kwenye game ndo tatizo linaonekana then is an issue. Kwa wale tangu awali mmekutana na ukaona mwenzako si kijogoo kwa sex na ukaamua kumpenda na kumchukulia it is ok na mnaweza ku work out ku solve problem!!! Any way, issue ya incompetent sex ni kubwa sana siku hizi katika ndoa nyingi!!!!!

  13. TechMaro's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th February 2008
   Posts : 106
   Rep Power : 729
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By WomenofSubstanc View Post
   Kutokana na michango hiyo hapo juu, HITIMISHO LANGU:
   MATATIZO mengi yanatokana na kujichanganya saaaaana - kukutana na ladha/vionjo tofauti vya kila aina hadi mwili unachanganyikiwa unashindwa ( confusion tupu.Performance inadorora).
   Way forward:Jibu kamili la hii ishu ni vigumu kulipata kwa maana binadamu kila mara ana harakati nyingi sana za kujitafutia liwazo na raha na kamwe haipati.Cha msingi,kama una mwandani wako concentrate on her/him, endelea kuvumbua nae.Kama vipi basi utaendelea kuwa disappointed na utazunguka sana kutafuta ideal partner/mwenye optimum performance na hutampata.
   Haya ni mawazo yangu binafsi.
   Hapo umesema ukweli.......
   Hii vumbua vumbua ndo inaleta shida sana, kiasi kwamba ile ngoma yako unaizoea unaona haina ladha tena coz mtu ushazoea tofauti tofauti. Kama hujui kitu kingine basi cha kwako utakiona mwisho, ila ukizoea za nje utahitaji mpya kila siku......
   Kikubwa hapa ni kuamua kumfurahisha mwenzako, na ukishazoea basi haitakuwa shida. Kuna watu wanaongea kutoa mawazo wakati wa gemu, wajue ni tatizo coz wakati mwingine wakitaka kumaliza wataanza kuleta ngoma nyingine mawazoni ili wafanikiwe.
   I think we can learn to use what we already have to perfection, naturally. Hakuna haja ya bangi wala konyagi, just practicing.
   Fundamental change is an endeavor, it’s a real enterprise, it’s not something that just happens. - Twyla Tharp

  14. Audax's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th March 2009
   Posts : 443
   Rep Power : 740
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   hiui kali wadau,kila mtu ana tatizo,ina wezekana hata mzee ana tatizo c mama tu.Wengne wanakuwa walishamaliza mambo yao nyumba ndogo huko,jiangalieni saana wenye ndoa

  15. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By WomenofSubstanc View Post
   MATATIZO mengi yanatokana na kujichanganya saaaaana - kukutana na ladha/vionjo tofauti vya kila aina hadi mwili unachanganyikiwa unashindwa ( confusion tupu.Performance inadorora).
   Hapa ndo maana mi iwa nakuwa namiliki mizigo tofauti tofauti nina kiportable,bonge, namba 8 mwenye mfadhaiko, mrefu alafu nakuwa na short chesesi kisha nakuwa na white mwembamba kama wa pale Singida alafu na kuwa na kitu black cha tukuyu mwakareli. Kwa hiyo najinafasi mwenyewe unafanya cycle tu raha jipe mwenyewe.
   WOS sitaki kipapatio mie nataka paja mie mambo ya mwambao hayo.
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  16. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Fidel80 View Post
   kisha nakuwa na white mwembamba kama wa pale Singida.
   We Fidel ni mchokozi... Mbona unamchokoza Mrs Bond wakati unajua ni

   mgeni kwenye JF, hata wiki hana huyo..!!! Figa yake inakuchanganya ee?

   Ni mke wa mtu huyo..na watu wa Singida ni wakorofi

   mbaya... wanakatakata na viwembe!!!..Shauri yako..

  17. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By mwalyambi30 View Post
   We Fidel ni mchokozi... Mbona unamchokoza Mrs Bond wakati unajua ni

   mgeni kwenye JF, hata wiki hana huyo..!!! Figa yake inakuchanganya ee?

   Ni mke wa mtu huyo..na watu wa Singida ni wakorofi

   mbaya... wanakatakata na viwembe!!!..Shauri yako..
   hehehe mkuu mke wa mtu mtamu ila ukikamatwa majuto mjukuu.
   Ila si unajua penzi la kificho lilivyo taamu yaani la kuibia dah balaa.
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  18. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By Fidel80 View Post
   hehehe mkuu mke wa mtu mtamu ila ukikamatwa majuto mjukuu.
   Ila si unajua penzi la kificho lilivyo taamu yaani la kuibia dah balaa.
   Hamna kitu....Mtamu, kwani mashine yake ina mpya gani wewee? Ni

   ileile kama ya yule Chausiku wako!!! te he te heee !! Hv hujawahi

   kutolewa meno ya barazni?

  19. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Quote By mwalyambi30 View Post
   Hamna kitu....Mtamu, kwani mashine yake ina mpya gani wewee? Ni

   ileile kama ya yule Chausiku wako!!! te he te heee !! Hv hujawahi

   kutolewa meno ya barazni?

   Yeah mkuu mke wa mtu sumu hafai mwogope kama UKIMWI hata akikuhonga vp mkimbie ingawa watamu lakini ukija fumwa utatembezwa uchi mtaani.
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  20. mpuuzi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th May 2010
   Posts : 99
   Rep Power : 607
   Likes Received
   16
   Likes Given
   8

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Labda wewe au bf wako, wengine tunapiga mzigo kama kawa mkuu

  21. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,035
   Rep Power : 2227
   Likes Received
   752
   Likes Given
   5126

   Default Re: Kurudia sex ni shughuli

   Nitarudi; mmh lakini kwa chche kutorudia sio pamoja na fikra unazojiwekea ubongoni mwako?
   Hardships often prepare ordinary people for an extraordinary destiny.


  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Kajima kurudia upya ujenzi wa barabara ya Kilwa
   By KIGENE in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 31st August 2011, 21:59
  2. Suluhu mgogoro wa Arusha ni kurudia uchaguzi
   By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 4
   Last Post: 11th January 2011, 19:12
  3. Kumbe JK alikuwa na mpango wa kurudia aliyoyafanya 2005?
   By MwanaHaki in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 0
   Last Post: 3rd November 2010, 19:58
  4. Sababu za mwanaume kushindwa kurudia tendo!
   By MziziMkavu in forum JF Doctor
   Replies: 7
   Last Post: 20th May 2010, 13:47

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...