Easy saaaaana. Fika kwa daktari, private hospital nzuri iliyo karibtj. Halafu mweleze tatizo na historia yake. Dawa zipo lukuki kutegemea chanzo.
ONYO: Ukichelewa zaidi kitu KINAKATWA! Alafu uone dunia itakavokwenda.
Last edited by kichwat; 1st July 2012 at 21:14.
kama unatatizo na ungependa private consultation dont hestate to send a private message, najua unaweza ukawa na tatizo zaidi ya hilo na huwezi kuelezea hapa, basi usisite kutaka ushauri.
We haujala wachungwa muda mref,tafuta machungwa na kula kwa wiki moja utapona na hiyo hal itapotea.ni kwa sababu ya kukosa vitamin c.
Mkuu vipi? Unatumia 'ndogo'?
Muacche kula tiGO chafu chafu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Follow Us Here