Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mtoto anashtuka mara kwa mara

    Report Post
    Results 1 to 13 of 13
    1. #1
      Nyleptha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th June 2012
      Location : Mji Mpya
      Posts : 70
      Rep Power : 367
      Likes Received
      44
      Likes Given
      74

      Default Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Habari madaktari wa JF? Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kiume ana miezi 7 sasa, tatizo tangu amezaliwa anashtuka sana na mara kwa mara, yaani mshtuko wa mtu anayeogopa kitu ukidondosha hata kijiko tu anashtuka sana hadi anatafuta sehemu ya kujishikilia, kama umembeba anakudaka nguo haraka, akiwa amelala anadaka shuka mradi kutafuta salama yake! Tumemzoesha ktk mazingira ya kutokuwa kimya sana, redio, tv tunawasha kama kawa na analala vizuri, pia tunaangusha vitu vyenye kelele ili azoee lakini wapi. Akiwa macho ndio kasheshe, ikipigwa honi atashtuka karibu adondoke huku macho yamemtoka kwa hofu. Sijui ni tatizo gani na tiba yake ni nini?

    2. #2
      mkandaboy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 172
      Rep Power : 408
      Likes Received
      32
      Likes Given
      24

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Quote By Nyleptha View Post
      Habari madaktari wa JF? Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kiume ana miezi 7 sasa, tatizo tangu amezaliwa anashtuka sana na mara kwa mara, yaani mshtuko wa mtu anayeogopa kitu ukidondosha hata kijiko tu anashtuka sana hadi anatafuta sehemu ya kujishikilia, kama umembeba anakudaka nguo haraka, akiwa amelala anadaka shuka mradi kutafuta salama yake! Tumemzoesha ktk mazingira ya kutokuwa kimya sana, redio, tv tunawasha kama kawa na analala vizuri, pia tunaangusha vitu vyenye kelele ili azoee lakini wapi. Akiwa macho ndio kasheshe, ikipigwa honi atashtuka karibu adondoke huku macho yamemtoka kwa hofu. Sijui ni tatizo gani na tiba yake ni nini?
      Polen sana mzazi. Nashauri mumuone Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto naye atakushauri accordingly...

    3. #3
      Triple G's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2011
      Posts : 327
      Rep Power : 1187
      Likes Received
      70
      Likes Given
      7

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      nasikia watoto wadogo wanaona vitu ambavyo havionekani kwa macho ya kiutu uzima sijui kuna ukweli.?
      MziziMkavu likes this.

    4. #4
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8640
      Likes Given
      28208

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Mkuu ikishindikana Hospitali Dawa ya kutibu mtoto kustuka stuka jaribu Dawa yangu hii ya Tiba Mbadala:>

      Chukua dawa inayoitwa Mvuje, halititi na kibiriti upele zitwange kisha roweka katika maji kwa muda wa saa kisha muogeshe mtoto kwa maji ya dawa hizo asubuhi, mchana, na jioni.Inshaallah ataacha kushtuka. Tumia kisha unipe Feedback. mkuu.@Nyleptha Ph.D.MziziMkavu.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    5. #5
      Davich's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th June 2012
      Posts : 22
      Rep Power : 356
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Poleni sana ni kawaida kuwa mtoto anakuwa na hisia kali ila la kushtuka nawashauri mumpeleke hospitali kwani kuna umuhimu wa ushauri wa daktari,japo wanagoma hawamadaktari mjitahidi kwani magonjwa mengine huanzia udogoni na kukomaa matokeo yake hayana dawa, kama hawa wanao jambishwa na kustuka wangewahiwa wasingekuwa hivyo.
      siralola likes this.

    6. #6
      Nyleptha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th June 2012
      Location : Mji Mpya
      Posts : 70
      Rep Power : 367
      Likes Received
      44
      Likes Given
      74

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Quote By MziziMkavu View Post
      Mkuu ikishindikana Hospitali Dawa ya kutibu mtoto kustuka stuka jaribu Dawa yangu hii ya Tiba Mbadala:>

      Chukua dawa inayoitwa Mvuje, halititi na kibiriti upele zitwange kisha roweka katika maji kwa muda wa saa kisha muogeshe mtoto kwa maji ya dawa hizo asubuhi, mchana, na jioni.Inshaallah ataacha kushtuka. Tumia kisha unipe Feedback. mkuu.@Nyleptha Ph.D.MziziMkavu.
      duh, hizo dawa ulizotaja zinapatikana wapi? manake sijawahi kuzisikia doctor MziziMkavu, naomba unielekeze nizisake haraka. halafu niliwahi kusikia eti kama mama mjamzito aliwahi kuanguka akiwa mjamzito mtoto anazaliwa na woga pia, sijui ni kweli, wenye uzoefu nijulisheni
      MziziMkavu likes this.

    7. #7
      bakuza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2010
      Posts : 410
      Rep Power : 518
      Likes Received
      57
      Likes Given
      99

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Tafuta mhaya kama unamjua yeyote mwambie unataka dawa inaitwa "ekitatela nte"inapatikana sehemu zote za nchi hii ukipata chemsha majani yake kisha ikipoa mpe mtoto 5mil asubuhi Mchana na jioni kwa siku tatu.Na baada ya hapo acha na uwe unampa mara moja kwa mwezi yaani tarehe sawa na ya kuzaliwa kwake.
      Ila usisahau kumuona Daktari kwa uchunguzi zaidi kuona kama kuna tatizo zaidi ya hofu kwa mtoto.

      MITISHAMBA INA VIRUTUBISHO NA NI DAWA YA MARADHI YETU.

    8. #8
      mangulumbwisi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 61
      Rep Power : 373
      Likes Received
      17
      Likes Given
      26

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Pole sana, mpeleke hospitali kwa daktari wa watoto huenda akawa ana malaria au UTI, pili kama una belive in jesus, nakushauri mpeke kanisani akaombewe.wakwangu alikuwa analia sana usingizini mpaka nachanganyikiwa, nilipo mpeleka kuombewa tatizo limeisha, Jaribu akiwa amelala mlaze kwa ubavu. Pole sana mungu atamsaidia

    9. #9
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2309
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Tafuta jirani wa Kihaya mwambie tatizo lako. Wahaya wanachukulia hilo tatizo very seriously. Mama yangu alikuwa anampa mwanangu dawa inaitwa kitatela nte, huku akinambia kushtuka shtuka ni dalili mbaya sana; sikuwa naelewa ila nilikuwa nawapa watoto wangu hizo dawa. Anasema mtoto anayeshtuka anaweza kupata degedege akipata homa kali.

      Na ukitaka kujua kuwa hizi dawa zina work; mama alikuwa ananambia ni very rare kukuta uhayani mtu ameathirika na degedege au mama mjamzito amepata kifafa cha uzazi

      Hii dawa wahaya wengi wameipanda dar kama maua majumbani kwao kwani wanaamini they can't without it.
      MziziMkavu and Nyleptha like this.

    10. #10
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,839
      Rep Power : 19440
      Likes Received
      8640
      Likes Given
      28208

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Quote By Nyleptha View Post
      duh, hizo dawa ulizotaja zinapatikana wapi? manake sijawahi kuzisikia doctor MziziMkavu, naomba unielekeze nizisake haraka. halafu niliwahi kusikia eti kama mama mjamzito aliwahi kuanguka akiwa mjamzito mtoto anazaliwa na woga pia, sijui ni kweli, wenye uzoefu nijulisheni
      Mkuu Nyleptha inaonyesha wewe ni mtu

      wa bara Dawa hizo zinapatikana Sokoni Kariakoo Mtaa wa pemba kwenye Maduka ya Wapemba wanaouza Dawa za

      kiarabu ukifika mtaa wa nyamwezi na Pemba uliza Wenyeji wa hapo Maduka ya Wauza Dawa za kiarabu maduka ya

      wapemba watakuonyesha Kama upo Dar. La kama haupo Dar Waulize waarabu wowote walio karibu na wewe yaani majirani zako watakufahamisha hizo dawa wapi waweza kuzipata.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    11. #11
      Mr. Magena's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Posts : 36
      Rep Power : 402
      Likes Received
      3
      Likes Given
      7

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Kwa msaada wangu maana hayo nilishayapitia ,kwa sasa nina watoto wa3,,tafuta jani la roseflower alafu ulisage liwe kama unga then chukua maji kidogo kama kijiko kimoja mdondoshe puani kidogo kidogo ukae kama dk 3.Ataanza kupiga chafya umuache apige chafya mpaka atakapoacha mwenyewe uhakikishe unampa asubuhi kabla jua halijachomoza na jion mda wa saa 2 na kuhakikishia atapona na umpe kila mwezi mpaka atakapo fikisha umri wa miaka 4

    12. #12
      ThePromise's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Posts : 212
      Rep Power : 407
      Likes Received
      45
      Likes Given
      8

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Chango hilo(huwa kali zaid kwa watoto wa kiume)likikomaa itakua degedege,tafuta wahaya wakusaidie ni hatari sana! ...
      Pia uwe na mazoea ya kumrusharusha mara tu amalizapo kuoga kabla hujamkausha maji itampunguzia uoga!

    13. #13
      Anita Baby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 440
      Rep Power : 1353
      Likes Received
      70
      Likes Given
      1

      Default Re: Mtoto anashtuka mara kwa mara

      Sauti hzo ni kali sn kwa mtoto zinamuumiza masikio kwani ngoma ya ckio bdo laini sana tofaut na m2 mzm. Jitahd kumuepusha mtoto na hzo sauti kwani kumzoesha haisadii zaid ya kumumiza.

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...