Re: Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua
anne maria,
Pole na kwa ushauri ulikwesha pewa natumaini tayari unaendeela kwa huru toka kwenye tatizo.
Naongeza kitu kimoja tu! Mtu akiwa kwenye uasili wake kamili hawezi kufikiria hivyo unavyofikiria. Kwa hiyo tambua kuwa ni hakika Hayo sio mawazo yako, wala hayo siyo matakwa yako.... Hii ni hakika kabisa. That Is not You!
Kwahiyo kwa kuwa tayari umeweza kujitenga nayo hadi kuja kuyashitaki hapa na kutaka ushauri ni kuwa Tayari umeshapona na unachohitaji ni Kutiwa moyo tu! Mgonjwa ambaye hawezi kujitofautisha nayo utamsaadiaje???? Kwa hiyo wewe ni mtu bora sana. Usidanaganyike na kujichanganya na hicho kisicho wewe!!!
Fanya jambo mmoja.
Katu usiyaite hayo mawazo na hizo fikra kuwa ni wewe. Ukweli kabisi huyo sio wewe na hayo sio mawazo yako.
Kama mwilini unavyoweza kushambuliwa na Paarsite wa malaria, kwenye fikra unaweza kuwa na Parasite ... "Emotional Parasite"
Ni Parasite waliowanyonge sana kama muhusika akishawatambua, kukiri kuwa mawazo yao sio yake ... na chakuwamaliza kabisa..
Tulia tuli yatizame hayo mawazo kimomoyo moyo, usjibishane nayo, usizungumze nayo, usiyatathmini ... Yatizame kimoyoni ...kwa utulivu usio pimika ... hadi yaataangamia milele!! Yatarudi tena na staili nyingine mbalimbali za kukera na kukuchokoza, kukurubuni ili uyape ushirikiano ...wewe moyoni sema NOP!! Yatizmae ukiwa umetulia tuli ...!! Yataangamia!!
Hayo mawazo yanataka uweweseke ujione ndio wewe, ili uingiwe na woga, wasiwasi, shaka na hisia hasi zote ... hakikisha huyapi hiyo starehe ... Usiyazalishie hisia hasi hizo hasa woga, shaka, nk kwani huo ndio MLO wake ...!! Tulia tuli na usiyape ushirikiano wowote .... !
Mwishoni utahitaji kujifunza kwa nini ... Kutulia tuli na kutizama kimoyo moyo inaweza kuwa silaha!!
Hasa kuwa fundisha watoto wasitekwe na mawazo ya ulesbian na u homosexual !!! Maana inaanz akama hivyo tu mawazo yanaaanza kuongea nadani yao na wanayapa ushirikiano kupitia hisia hasi ...Ghafala inakuwa kweli na hatimaye wanaaza kuyatetea ... Its emotional parasite conquering our planet earth with greater speed!!
Tusikubaliane nayo katu!!!
PONA. Malizana na hizo parasitic thoughts alafu.... tuanzedarasa PM!!
Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
"Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.
Follow Us Here