Hallo JF Doctor,
Naombeni msaada wa kufanya, nimemeza kamfupa kadogo ka samaki, kamekaa karibu na koo, japo maumivu hakuna ila kananikera sana. Je nifanye kukatoa au kukameza kabisa?
Hallo JF Doctor,
Naombeni msaada wa kufanya, nimemeza kamfupa kadogo ka samaki, kamekaa karibu na koo, japo maumivu hakuna ila kananikera sana. Je nifanye kukatoa au kukameza kabisa?
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
Uwiii duniani kuna mambo ! Yaani badala ya kwenda hospitali muda wote huo unakimbilia JF kutibiwa online ??
Imewahi kunikuta hata mm ila mm niliuacha mpk ukaoza ukatoka mwenyewe ila kama unataka utoke fasta kula mikate na v2 vigumu vya ngano kwa kushindilia mdomo mbna wenyewe unaachia tuu
Follow Us Here