Habari za kazi bandugu.naomba msaada wa kidaktari au ambae atakuwa na uelewa wa ili jambo.kama mwanaume alifunga kizazi zaid ya miaka 10 hiliyopita akikutana na mwanamke nje ya ndoa anaweza kumpa mimba kwa sasa hivi.asanteni
Habari za kazi bandugu.naomba msaada wa kidaktari au ambae atakuwa na uelewa wa ili jambo.kama mwanaume alifunga kizazi zaid ya miaka 10 hiliyopita akikutana na mwanamke nje ya ndoa anaweza kumpa mimba kwa sasa hivi.asanteni
Kaka nadhani ungejitahidi ufike darasa la saba ili ujijibu hili swali lako mwenyewe, manake sijui hata unachouliza ni nini? Asante na wewe
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
kuuliza si ujinga kuna mwanamke anasema anayo mimba ya jamaa ,jamaa anasema yeye alifunga kizazi kwa makubaliano pamoja na mkewa wake.kwa wanawake ninaelewa wanafanyiwa opereshen mirija inafugwa au kuchomolewa kbisa kizazi.sasa kwa wanaume ndo niltaka kuelewa isije kuwa jamaa alimzuga mkewe
Alitumia njia gani ya kufunga kizazi?
Use what you get to get what you want
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
anaweza kumpa nje ya ndoa ila akikutana na mkewe hawezi.....AFICAN SCIENCE
Ndugu kwa hospitali zetu hizi unaweza kabisa kumpa mimba mwanamke hata kama ulifunga kizazi. nina mfano hai wa binamu yangu (mwanamke) baada ya kupata shida mimba ya mwisho na kuona ana watoto wa kumtosha aliamua kufunga kizazi wakamfanyia operation ili kumfunga. Hiyo akawa na uhakika hawezi kupata uja uzito. lakini cha kushangaza baada ya miezi sita akapata mimba. sasa hapo tukasema angekuwa mwanaume ndio amefunga angeikataa hiyo mimba lakini yeye hawezi maana ipo ndani ya tumbo lake. Hivyo kuna possibilities kubwa za kuendelea kuzaa na hii ni kutokana na utaalamu wa hospitali zetu.
Hii biashara ya mtu kuleta shida zako hapa alafu mnatumia migongo ya jamaa zenu utasikia sijui jamaa yangu,rafiki,shemeji yangu si mfunguke tu kwani anawajua nani humu
jamania ifike mahali tuwe serious, mtu anauliza swali na hajui kweli ila majibu anayopata kutoka kwa baadhi ya wanajamvi ni msumari kabisa wa moto kwake. Nafikir tunapaswa kuvumiliana hata kama kilichoulizwa ni kibaya kwako kaa kimya kuliko kudhihaki na kukejeli.
mtoa mada iyo ishu ni pana sana kwa ufupi huwez ukapata jibu la moja kwa moja
Siami na wala sikutegemea kama ningeweza kukutana na swali kama hili kutoka jf member.
Nime amni msemo jf founder kuwa jf now niya watu wote na kila tabaka.
Mtu kafunga kizazi alaf azae.
Siami na wala sikutegemea kama ningeweza kukutana na swali kama hili kutoka jf member.
Nime amni msemo jf founder kuwa jf now niya watu wote na kila tabaka.
kwanini iwe nje ya ndoa
Follow Us Here