mwenye kujua msaada jamani
mwenye kujua msaada jamani
!!gams "G" baby!!
Dawa ya Vipele (chunusi) Na Ngozi:
Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha siki ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi. Geofrey_1
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Follow Us Here