| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 736
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
kama kuna watu wanafanya hivyo kukaa nyuma computer hilo ndio litakuwa chanzo cha hayo madhara ,itawabidi wabadilishe tabia hiyo na badala yake waikalie usoni (mbele yake)Binafsi sijapatapo kusikia au kuona matumizi ya aina hiyo ya kuikalia nyuma computer.
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Namaanisha ' to sit behind the PC' nikiwa na maana ya 'kutumia kompyuta' sio vinginevyo!
__________________
Avatar's Msg: Hiyo ni trailer ya wapenda kula vya watu. Ha ha ha.. |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
tehe! tehe! tehe! Ama kweli kiswahili ina tungo tata! Nadhani hujakosea big up!
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
lazima kutakuwa na madhara kiafya, kama si ya muda mfupi basi hata long-term.
cha muhimu 1) kujaribu kutokuikaribia sana PC 2) kuna kioo maalum waweza kuweka juu ya screen ya PC ili kupunguza madhara 3) mara kwa mara uwe either unaangalia kwingine ama kutembeatembea hata humo ofisini |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ni muhimu kwa watu kuwa siriazi inapobidi na kuacha kujifanya vingwendu na kujichekeshachekesha tu bila sababu. Back to the point, do you have any concrete info kuhusu hili suala, mkuu?
__________________
Avatar's Msg: Hiyo ni trailer ya wapenda kula vya watu. Ha ha ha.. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
MwU,
Japo mimi sijui kwa uhakika, binafsi huwa najisikia kuchoka na kuumwa shingo, mabega na mgongo ninapokaa muda mrefu kwenye computer.Pia katika miaka takriban sita ya intensive use of computer ninaona macho nayo yanaathirika kwa speed ya ajabu.... na nikiacha kufanya kazi kwenye computer, najikuta macho yanakuwa machovu sana...sasa sijui haya ndo madhara au vipi.Tusubiri madokta na wataalamu wengine watujuze zaidi.
__________________
Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. -- Buddha |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
I am experiencing exactly what 'women of substance' has said because a computer is just like a smallholder farmer and his hoe to me. Could experts chip in, pls
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Wakuu mliobobea kwenye fani ya utabibu naomba mnisaidie..mimi ni MO na hivyo sijawa daktari kamili MD..sasa ndugu yangu mmoja alinifuata akiwa na tatizo la muda mrefu la kutokwa na vijipele na akikuna kinakuwa kijidonda kwenye uume wake wote kuanzia kichwa mpaka shina..akaenda kupima vipimo vyote kuanzia kaswende, gono na pia AIDS kukawa hakuna kitu..wakamwambia ni fungus..hata mi ningefikiria hivyo..akapewa dawa ya kupaka ya fungus akapata nafuu..after one month vikarudia tena akaenda kupima tena hakuna kitu akapewa dawa ileile na tena akapata nafuu..miezi mi3 ikapita ikarudia ile hali akapima vipimo vyote ikawa negative..sasa hata akitumia hiyo dawa ya fungus hapati nafuu na inampa shida kweli..akaniambia mimi nikakosa jibu upeo wangu uliishia hapo walipofanya wengine..naombeni mchango wenu wakuu nimsaidie jamaa yangu mana hali si nzuri.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:01 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||