Taathira za kukaa nyuma ya kompyuta kwa muda mrefu
JF DoctorWe care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kila binadamu ni mgonjwa, suluhu ya tatizo lako yaweza kupatikana kwa kuuanika ugonjwa. Karibu
Kwa maisha ya kisasa idadi kubwa ya watu ili mkono uende kinywani inanibidi watumie muda wa si chini ya masaa 8 kwa siku nyuma ya kompyuta.Taathira ya kukaa nyuma ya kompyuta kwa muda mrefu ni zipi? Je nini kifanyike walau kupunguza effect (kama zipo)?
I submit
__________________ Avatar's Msg: Hiyo ni trailer ya wapenda kula vya watu. Ha ha ha..
Wakuu mliobobea kwenye fani ya utabibu naomba mnisaidie..mimi ni MO na hivyo sijawa daktari kamili MD..sasa ndugu yangu mmoja alinifuata akiwa na tatizo la muda mrefu la kutokwa na vijipele na akikuna kinakuwa kijidonda kwenye uume wake wote kuanzia kichwa mpaka shina..akaenda kupima vipimo vyote kuanzia kaswende, gono na pia AIDS kukawa hakuna kitu..wakamwambia ni fungus..hata mi ningefikiria hivyo..akapewa dawa ya kupaka ya fungus akapata nafuu..after one month vikarudia tena akaenda kupima tena hakuna kitu akapewa dawa ileile na tena akapata nafuu..miezi mi3 ikapita ikarudia ile hali akapima vipimo vyote ikawa negative..sasa hata akitumia hiyo dawa ya fungus hapati nafuu na inampa shida kweli..akaniambia mimi nikakosa jibu upeo wangu uliishia hapo walipofanya wengine..naombeni mchango wenu wakuu nimsaidie jamaa yangu mana hali si nzuri.
Japo haihusiani na ile ya mwanzo mkuu,hili suala la vipele inaweza kuwa kuwa ni autoimmune disease,na kama we ni MO basi utakubaliana na mimi kuwa diagnosis si kitu rahisi hasa kwa magonjwa yenye dalili kama hizi nashauri mwambie jamaa yako akafanye vipimo zaidi kama hospitali inayomtibu ni ndogo basi aende kwa wataalamu zaidi hospitali kubwa na wacheck antibodies inawezekana wakagundua tatizo kwani si rahisi kwa dalili ulizotaja kupata ufumbuzi kupitia JF
Wakuu mliobobea kwenye fani ya utabibu naomba mnisaidie..mimi ni MO na hivyo sijawa daktari kamili MD..sasa ndugu yangu mmoja alinifuata akiwa na tatizo la muda mrefu la kutokwa na vijipele na akikuna kinakuwa kijidonda kwenye uume wake wote kuanzia kichwa mpaka shina..akaenda kupima vipimo vyote kuanzia kaswende, gono na pia AIDS kukawa hakuna kitu..wakamwambia ni fungus..hata mi ningefikiria hivyo..akapewa dawa ya kupaka ya fungus akapata nafuu..after one month vikarudia tena akaenda kupima tena hakuna kitu akapewa dawa ileile na tena akapata nafuu..miezi mi3 ikapita ikarudia ile hali akapima vipimo vyote ikawa negative..sasa hata akitumia hiyo dawa ya fungus hapati nafuu na inampa shida kweli..akaniambia mimi nikakosa jibu upeo wangu uliishia hapo walipofanya wengine..naombeni mchango wenu wakuu nimsaidie jamaa yangu mana hali si nzuri.
Kwa yeyote anayehitaji ushauri wa uhakika juu ya athari za vitu kama hivyo(emerging technology health risks and intervention to reduce risks) anitafute, kwa kuanzia anitumie pm nimpe private contacts. Nina PHD ya Occupational medicine so am confident na ushauri ninaotoa. Kama kawa sitoi ushauri bure, charge ni USD 200 per hour, so if you can manage the price, lets get in business.
NB; Kama huna hela unaweza kupata ushauri wa bure, kuna maprofesa wengi pale Muhimbili, but i doubt kwani wengi hata kufungua e mail hawajui.

Hili nalo linahusiana na matumizi ya Computer?
__________________ Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. -- Buddha

Thanks and welcome
Hebu give back to the community jamani.If u r capable of charging and making that much, for sure you can spare sometime for the community as part of ur social responsibilities.I am sure hata wewe unafaidika na michango ya wengine humu JF au unataka kusema wengine hawaijui hela?
__________________ Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. -- Buddha
Namaanisha ' to sit behind the PC' nikiwa na maana ya 'kutumia kompyuta' sio vinginevyo!
Bado maana ni ile ile mzee sema to seat infront of PC...mwanzo umenichanganya hata mie...kwa kiingereza napo mzee umechangaya...imekuwa ngumu kuandika seat infront of PC?
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology.
Hebu give back to the community jamani.If u r capable of charging and making that much, for sure you can spare sometime for the community as part of ur social responsibilities.I am sure hata wewe unafaidika na michango ya wengine humu JF au unataka kusema wengine hawaijui hela?
Niko pamoja nawe WOS...jamaa kawa mkavu sana....ushari tu kwa tanzania unacharge dola 200 ohh noooooo...
Kweli watu watapata matibabu?Kama ushauri ndio huu?Matibabu yatakuwa ni 700USD sasa.
C'mon
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology.
Niko pamoja nawe WOS...jamaa kawa mkavu sana....ushari tu kwa tanzania unacharge dola 200 ohh noooooo...
Kweli watu watapata matibabu?Kama ushauri ndio huu?Matibabu yatakuwa ni 700USD sasa.
C'mon
Niko pamoja nawe Buswelu pamoja na WOS nina wasiwasi na huyu jamaa yawezekana ni mweupe kabisa katika fani ya u-daktari thus why anaweka price kubwa ili watu washindwe kwenda kumwona maana inavyoonekana hajui chochote.