Kuna mmama mmoja alikuwa akitumia pills zikamzingua akaziacha 1wk laterakaenda hspl kuweka loop yapata miezi 5 na ss anadalili za mimba(tumbo kujaa),je km ni mimba ni madhara yapi yatampata mtt?