Waja JF....heshima mbele,
Naomba kupata msaada kwa mtu anayefahamu in details huu ugonjwa ujulikanao kamaGenital Herpes (au Genital warts), l unapatikanaje, dalili zake, test gani inatakiwa kufanya ili kujua kama umeukwaa tayari na kama unatibika, dawa gani inayofaa?




LinkBack URL
About LinkBacks
CLICK HERE TO REPLY! 

Bookmarks