Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏ - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Education, Science & Technology Forums > JF Doctor


JF Doctor We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kila binadamu ni mgonjwa, suluhu ya tatizo lako yaweza kupatikana kwa kuuanika ugonjwa. Karibu


Reply
 
LinkBack Thread Tools Display Modes
Old 8th February 2009, 06:11 AM   #1
Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏
X-PASTER X-PASTER is offline 8th February 2009, 06:11 AM

Swali: UGONJWA WA KISUKARI UNASABABISHWA NA NINI?
Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na UKOSEFU au UPUNGUFU wa chembechembe (HORMONE ) kwa jina la insulin.

Swali: JEE UGONJWA HUU UNASABABISHWA NA KULA SUKARI NYINGI?
La hasha. Kula sukari nyingi sio sababu ya ugonjwa kisukari. Lakini lazima tuseme kwamba kula sukari nyingi si nzuri kwa afya yako kwani utaongeza uzito na kuweza kuathiri uwezo wa mwili wako kujikinga na maradhi tofauti. Hivyo sukari tutumie lakini kwa uangalifu.

Swali: KUNA AINA NGAPI ZA UGONJWA HUU?
Kuna aina mbili. Aina ya kwanza (Type 1) ni ile ambayo mwili unakuwa hauna kabisa hizo chembe chembe za INSULIN. Hujitokeza mapema kabisa tangu katika umri mdogo wa utoto. Matibabu yake ni sindano za insulin kabla ya kula chakula na wakati tofauti katika siku nzima. Aina ya pili ni ile ambayo kuna upungufu wa insulin. Hivyo mwili una insulin ambayo haitoshi kwa mahitaji ya kila siku. Matibabu yake yanakwenda kwa awamu tofauti. Awamu ya kwanza ni kuepuka vyakula vya uwanga na sukari na kula vyakula kama mikate ya ngano nzima ili ile insulin kidogo iliyopo iweze kutosha. Iwapo hii haitosaidia kuna aina fulani za vidonge ambazo hupewa mgonjwa. Vidonge hivi husaidia kuongeza insulin kidogo iliyomo mwilini. Ikiwa hii pia haikusaidia hapo tena hubidi mgonjwa kusaidiwa kwa shindano za insulin. Aina ya 2 mara nyingi hujitokeza katika umri wa kati au umri mkubwa na sio katika umri wa watoto wadogo.

NINI KINACHOFANYA MTU KUWEZA KUPATA UGONJWA HUU:
Mara nyingi ni urithi katika ukoo, yaani asili ambayo wazee waliopita au kutangulia walikuwa nao ugonjwa huu. Lakini pia hitilafu fulani za mwili zinaweza kufanya ile insulin iliyomo mwilini kutokufanya kazi.

JEE MTU ATAJUWAJE KAMA ANA UGONJWA WA KISUKARI?
Dalili zifuatazo zinaweza kujitokeza: kwenda haja ndogo mara kwa mara, na kunywa maji kwa wingi ( kiu haishi). Pia wengine hupoteza uzito, kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu. Wengine wanaweza kuwa na kidonda ambacho kinachelewa kupona katika sehemu yo yote ya mwili. Pia kupoteza hisia katika miguu au viganja inaweza kujitokeza.

NINI ATHARI ZA UGONJWA HUU?
Baada ya muda mrefu ugonjwa wa sukari huleta athari ya mishipa ya fahamu na kusababisha kupoteza hisia za ngozi na viganja au nyayo na kupungua nuru ya macho. Pia athari ya mafigo huweza kujitokeza na uzungukaji wa damu unaweza kupungua katika baadhi ya sehemu na kusababisha kufa kwa sehemu za mwili. Kujitokeza kwa dalili hizi kunategemea ni kiasi gani matibabu yamefanikiwa na wakati wa kuanza kwa matibabu hayo baada ya kujuilikana kwamba mtu ana ugonjwa huu.

VIPI UNAWEZA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU?
Ikiwa unayo historia katika familia sio lazima kwamba utapata ugonjwa huu. Lakini kwa wale ambao wanaweza kuupata wanaweza kuuchelewesha kwa kujitahidi kuishi maisha ya afya nzuri kwa kula chakula bora, mazoezi, kula mboga mboga kwa wingi na kujiepusha na uzito wa mwili. Pia kupima damu baada ya kila muda ikiwa una historia katika ukoo au una wasi wasi kutokana na dalili zilizotajwa hapo juu.

JEE KUNA MATIBAU YA MARA MOJA KUONDOA UGONJWA HUU?
Kwa dawa za hospitali mpaka sasa hakuna dawa ya kuondoa moja kwa moja ingawa hasa kwa aina ya 2 watu baada ya kurekebisha vyakula wanaweza kujiweka katika hali hali ambayo mwili unaweza kutumia insulin yake kidogo bila ya kula vidonge au sindano. Kuna utafiti wa kufanya transplant ili kuongeza insulin mwilini kwa kutumia sehemu (pancreas) ya mtu mwengine lakini bado haujafanikiwa kuweza kutumika kama ni matibabu.

JEE KUNA JUMUIA YA WATU WA UGONJWA KISUKARI
Naam UK Diabetes Associaltion. Wao hutowa mawaidha kwa wale wanaotaka.

WAPI NIENDE KUPATA KUPIMWA NA MAELEZO ZAIDI
Kwa Daktari wako au hosptali ya karibu.
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

 
X-PASTER's Avatar
X-PASTER
JF Senior Expert Member
Points: 1,555,807, Level: 100 Points: 1,555,807, Level: 100 Points: 1,555,807, Level: 100
Activity: 35% Activity: 35% Activity: 35%
Join Date: Mon Feb 2007
Location: Citizen Of Jannah
Posts: 4,731
Thanks: 907
Thanked 802 Times in 513 Posts
Views: 1119
Reply With Quote
  #2  
Old 17th February 2009, 08:53 PM
Kahinda Kahinda is offline
Kahinda has no status.
Senior Member
Points: 67,756, Level: 100 Points: 67,756, Level: 100 Points: 67,756, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Feb 2009
Posts: 242
Thanks: 12
Thanked 25 Times in 19 Posts
Rep Power: 22
Kahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enoughKahinda will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Asante X-Paster kwa somo hilo sikujua kuwa huwa unaweza kutoa nasaha na mawaidha kama hayo maana nilikuwa nakuona kama mmoja wa watu wenye hali ya udini lakini sasa naliondoa hili sasa
Reply With Quote
  #3  
Old 18th February 2009, 02:22 AM
Saikosisi's Avatar
Saikosisi Saikosisi is offline
Saikosisi disturbed
JF Premium Member
Points: 116,674, Level: 100 Points: 116,674, Level: 100 Points: 116,674, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Fri May 2007
Location: Home
Posts: 502
Thanks: 10
Thanked 10 Times in 8 Posts
Rep Power: 24
Saikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enoughSaikosisi will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Quote:
View Post
Swali: UGONJWA WA KISUKARI UNASABABISHWA NA NINI?
Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na UKOSEFU au UPUNGUFU wa chembechembe (HORMONE ) kwa jina la insulin.
au USUGU wa insulin (Insulin resistance)
Quote:
Swali: KUNA AINA NGAPI ZA UGONJWA HUU?
Kuna aina mbili. Aina ya pili ni ile ambayo kuna upungufu wa insulin
au USUGU (Insulin resistance)- insulin inakuwepo lakini haifanyi kazi kama inavyotakiwa.
__________________
"Success is my only modafkng option failure is not" - eminem
Reply With Quote
  #4  
Old 18th February 2009, 09:58 PM
X-PASTER's Avatar
X-PASTER X-PASTER is offline
X-PASTER NaTurAl BoRn ExTrEmIsT
JF Senior Expert Member
Points: 1,555,807, Level: 100 Points: 1,555,807, Level: 100 Points: 1,555,807, Level: 100
Activity: 35% Activity: 35% Activity: 35%
 
Join Date: Mon Feb 2007
Location: Citizen Of Jannah
Posts: 4,731
Thanks: 907
Thanked 802 Times in 513 Posts
Rep Power: 33
X-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enoughX-PASTER will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Quote:
View Post
Asante X-Paster kwa somo hilo sikujua kuwa huwa unaweza kutoa nasaha na mawaidha kama hayo maana nilikuwa nakuona kama mmoja wa watu wenye hali ya udini lakini sasa naliondoa hili sasa
Ni kweli mawazo yako, wala ujakosea KAHINDA! X-PASTER ni Mdini... seriously... he is...!
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
Reply With Quote
  #5  
Old 19th February 2009, 07:36 AM
mr kiroboto's Avatar
mr kiroboto mr kiroboto is offline
mr kiroboto a wiseman
Senior Member
Points: 81,484, Level: 100 Points: 81,484, Level: 100 Points: 81,484, Level: 100
Activity: 5% Activity: 5% Activity: 5%
 
Join Date: Sat May 2008
Location: Chanika
Posts: 218
Thanks: 16
Thanked 10 Times in 8 Posts
Rep Power: 22
mr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enoughmr kiroboto will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Quote:
View Post
au USUGU wa insulin (Insulin resistance)[/SIZE]
au USUGU (Insulin resistance)- insulin inakuwepo lakini haifanyi kazi kama inavyotakiwa.
insulin resistance hutokea kwa watu wote ambao ni obese na hii husababishwa na kemikali ambazo hutolewa na adipose tissue,lakini hii hali(insulin resistance) uweza kusababisha ugonjwa wa kisukari kama pancrease itakuwa haifanyi kazi vizuri,ila kama itakuwa inafanya kazi vizuri itaweza kuzuia hali hiyo hivyo kuweza kuzuia tatizo lisitokee.

Causes of diabetes
TYPE I-caused by completely abscent of insulin hormone due to auto destruction of the pancrease gland.

TYPE 2-caused by few number of insulin receptors (GLUT-4) or their abnormality,another cause is insulin resistance ,only possible if the portion of the pancrease responsible for secrection of insulin is not able so secrete sufficient amount so as to overcome this resistance.
Reply With Quote
  #6  
Old 26th June 2009, 12:41 AM
MziziMkavu's Avatar
MziziMkavu MziziMkavu is offline
MziziMkavu Hauchimbwi Dawa
JF Senior Expert Member
Points: 1,749,899, Level: 100 Points: 1,749,899, Level: 100 Points: 1,749,899, Level: 100
Activity: 55% Activity: 55% Activity: 55%
 
Join Date: Tue Feb 2009
Posts: 2,763
Thanks: 434
Thanked 346 Times in 231 Posts
Rep Power: 68
MziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the rough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

DAWA YA UGONJWA WA KISUKARI

Reply
Recommend Message 1 in Discussion From: waridi_lisilo_miba

Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga pamoja na dawa zifuatazo: 1. Shubiri 2. Ubani 3. Mvuje 4. Ukwaju 5. Habasoda (kiasi cha dawa hizi hazijatwangwa, hivyo jaribu kukadiria mwenyewe) baada ya kusaga vizuri, gawanya katika mafungo matatu yaliyosawa. Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupa mbili na uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi katika chupa nadhifu. MATUMIZI YA DAYA YENYEWE Tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia daya hii tena kwa muda ule ule wa siku 13. Itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe kamaUlivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14 , hii itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40. Baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa umekatazwa. Inshallah kwa kudra zake mwenyezi mungu utakuwa umepona maradhi hayo. Ndugu yangu muislam, ninakuomba unisaidie kuieneza karatsi hii bila malipo ya kipesa na inshallah utapata malipo yaliomema hapa duniani na kesho akhera. Kufanya hivyo utakuwa unaendeleza bidii kubwa iliyofanywa na Kadhi mkuu wa Tabuk Shaikh Saleh Mohammed Al-Tanjisiy amabaye alifanya juhudi kubwa kwa muda mrefu kufanya majaribio ya dawa hii. Mwenyezi mungu amjaze na kumfikishia kila la kheri duniani na akhera pamoja na sisi sote, Amein. Maandishi haya yamechapishwa upya na Hamoud Hilal Al-Rawahy kwa Nia ya kuyaboresha maandishi haya na kwa nia ya kusambaza ujumbe huu kwa watu wengi inavyowezekana.



Reply With Quote
  #7  
Old 2nd July 2009, 01:33 PM
Lagatege Lagatege is offline
Lagatege consistent
JF Senior Expert Member
Points: 124,493, Level: 100 Points: 124,493, Level: 100 Points: 124,493, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Sun Aug 2008
Location: Getini ikulu
Posts: 409
Thanks: 3
Thanked 6 Times in 6 Posts
Rep Power: 22
Lagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Nimekuwa na diabetes kwa miaka 12 uzito nilikuwa 92kg,miaka ya karibuni nimeanza kufanya mazoezi mara 3 kwa wiki,kukimbia,kupunguza kula,kulala mapema na kunywa maji mengi. Kwanza nilikuwa nameza vidonge 8 kwa siku,baada ya kuanza mazoezi nikapunguziwa mpaka 2 kwa siku.Sasa nina uzito 78kg na niko fit sichoki nikikimbia au mozoezini.Kwa muda wa mwezi sijahitaji kumeza dawa mwili umeweza kumudu.Daktari kanishauri niendelee kupima glucose asubuhi na usiku mwenyewe na kit yangu kwa muda wa mwezi mwingine na kama nitaendelea hivi nitakuwa nimepona.Nilikuwa na type 2 nawashauri wenzangu wenye diabetes wajaribu haya labda nao watafaidika.
__________________
"Kila kukicha afadhali ya jana" Mrisho Mpoto-poet
Reply With Quote
  #8  
Old 2nd July 2009, 03:49 PM
Mganga wa Jadi Mganga wa Jadi is offline
Mganga wa Jadi 4u
Senior Member
Points: 84,527, Level: 100 Points: 84,527, Level: 100 Points: 84,527, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Mar 2008
Location: Maneromango
Posts: 87
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 23
Mganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enoughMganga wa Jadi will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Quote:
View Post
Nimekuwa na diabetes kwa miaka 12 uzito nilikuwa 92kg,miaka ya karibuni nimeanza kufanya mazoezi mara 3 kwa wiki,kukimbia,kupunguza kula,kulala mapema na kunywa maji mengi. Kwanza nilikuwa nameza vidonge 8 kwa siku,baada ya kuanza mazoezi nikapunguziwa mpaka 2 kwa siku.Sasa nina uzito 78kg na niko fit sichoki nikikimbia au mozoezini.Kwa muda wa mwezi sijahitaji kumeza dawa mwili umeweza kumudu.Daktari kanishauri niendelee kupima glucose asubuhi na usiku mwenyewe na kit yangu kwa muda wa mwezi mwingine na kama nitaendelea hivi nitakuwa nimepona.Nilikuwa na type 2 nawashauri wenzangu wenye diabetes wajaribu haya labda nao watafaidika.
Thats goog keep it up.
Reply With Quote
  #9  
Old 2nd July 2009, 04:01 PM
Dingswayo's Avatar
Dingswayo Dingswayo is offline
Dingswayo Ithemba kalibulali
JF Senior Expert Member
Points: 162,673, Level: 100 Points: 162,673, Level: 100 Points: 162,673, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Tue May 2009
Posts: 347
Thanks: 115
Thanked 40 Times in 29 Posts
Rep Power: 21
Dingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enoughDingswayo will become famous soon enough
Smile Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Quote:
View Post
Nimekuwa na diabetes kwa miaka 12 uzito nilikuwa 92kg,miaka ya karibuni nimeanza kufanya mazoezi mara 3 kwa wiki,kukimbia,kupunguza kula,kulala mapema na kunywa maji mengi. Kwanza nilikuwa nameza vidonge 8 kwa siku,baada ya kuanza mazoezi nikapunguziwa mpaka 2 kwa siku.Sasa nina uzito 78kg na niko fit sichoki nikikimbia au mozoezini.Kwa muda wa mwezi sijahitaji kumeza dawa mwili umeweza kumudu.Daktari kanishauri niendelee kupima glucose asubuhi na usiku mwenyewe na kit yangu kwa muda wa mwezi mwingine na kama nitaendelea hivi nitakuwa nimepona.Nilikuwa na type 2 nawashauri wenzangu wenye diabetes wajaribu haya labda nao watafaidika.
Same here. Nilikuwa kama wewe, uzito huhuo, nimefanya mazoezi, dieting, kuepuka kula mafuta na vyakula vya starch, kula mboga za majani, matunda etc, acha pombe hasa beer, utajikuta uko fit kwa kila hali.
Reply With Quote
  #10  
Old 2nd July 2009, 04:06 PM
mfianchi mfianchi is online now
mfianchi has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 112,533, Level: 100 Points: 112,533, Level: 100 Points: 112,533, Level: 100
Activity: 11% Activity: 11% Activity: 11%
 
Join Date: Wed Jul 2009
Posts: 489
Thanks: 76
Thanked 126 Times in 78 Posts
Rep Power: 21
mfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enoughmfianchi will become famous soon enough
Default Re: Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus).‏

Asante sana,hata mie ninakisukari lakini situmii dawa mara nyingi nakula brown bread na jioni sile chochote,nataka kuanza mazoezi hivi karibuni kwani nilikuwa nimeacha sababu ya kazi,nakunywa maji sana,asante kwa ushauri
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
diabetes, kisukari, mellitus‏, ugonjwa


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Waufahamu ugonjwa uliomuua Amina Chifupa wa Mpakanjia? G.MWAKASEGE Celebrities Forum 11 19th February 2010 12:02 PM
Ugonjwa wa Kisukari MpigaKura JF Doctor 4 23rd May 2009 10:22 AM
Tanzania yatangaza tishio la ugonjwa wa ebola KadaMpinzani Jukwaa la Siasa 3 19th September 2007 05:53 AM
Ugonjwa uliomuua Amina! 2007/07/13 Lunyungu Jukwaa la Siasa 2 8th September 2007 06:06 PM
Ugonjwa wa hatari unaonyemelea viongozi wachache wa Taifa FairPlayer Celebrities Forum 22 24th August 2007 10:59 AM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 10:33 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com