Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na inaweza kupona au plz help?
Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na inaweza kupona au plz help?
Pole mkuu nimeguswa ni kupe pole zangu.Kwa ushauri wa kimatibabu wenye kujua watakuja kukusaidia.Ila ninachojua kuna sindano za insulin huwa wanachomwagwa ila wakati upi inatumika ndo sijiu.Pole sana
ahsante na me nimepewa dawa nimeambiwa nikimaliza nikacheki na kama nikipata kdonda kitapona kwel
junior,
pole sana kwa kusumbuliwa na Diabities.
kulingana na maelezo yako ni kwamba sukari yako ipo chini hivyo unatakiwa kula vinywaji vya sukari kama
soda haswa fanta,mirinda
kwa kawaida sukari normal ni kuanzia 5-7 ila pia inategemea umepima wakati gan
maana kuna fasting( hii ni unapopima sukar asubuhi kabla hujala kitu chochote-mara nyingi hii inatakiwa kua ndogo au katika hiyo range niliyo kutajia) na random (hii ni mda wowote ukiwa tayari umekula chakula-kitu chochote-hii ndio unakuta kwa normal person inakwenda mpk 9) sasa pia kwa ushauri zaid muone daktari wa sugar maana kuna vituo kazi yao ni kupima tu na hawajui implication za hiyo sukar
Mkuu kwel nilipima asubuh ahsante kwa ushauri nitauzngatia ngoja niende tyme za mchana
Pole mkuu, kutokana na maelezo yako inamanisha kuwa sukari katika damu yako imepungua(hypoglacemia) .samahani kabla sijatoa ushauri wangu je una kisukari? Na kama unakisukari je unatumia dawa gani ? Maana tatizo linaweza kuwa Dawa ulizotumia kwa ajili ya kushusha sukari zi kashusha zaidi na kusababisha sukari kwenye damu kupungua. Kama unakisukari kuwa makini sana kwenye swala la chakula . Kwa sababu sukari yako imeshuka jaribu kwa haraka utumie glucose haraka . Ungekuwa hospita Ungepewa glucagun 1 mg au Dextrose infusion . Ila mkuu huo ugonjwa kama unatumia sindano za insulin kwa ajili ya kushusha sukari jaribu kuwa makini kwa upande wa chakula usizidishe sana sukari. Jaribu kuangari pia kama kweli ni kisukari cha kushuka kama ulivosema basi jitaidi utumie vyakula vywenye glucose kama ndizi,viazi, asali, etc
Pole sana
Usiwaze sana na ondoa uwoga. Unachotakiwa ni kufuata ushauri wa daktari na kutimiza masharti yake basi mambo yataenda vizuri. Ukiwa na stress basi hali itakuwa mbaya.
Kwa uelewa wangu mdogo, insulin kwako inafanya kazi kama kawaida, maana insulin inasaidia kuchukua glucose/sukari katika damu na kuisambaza kwa viungo vingine vinavyohitaji kwa ajili ya energy, na pia kuitunza ndio maana sukari inashuka kwenye damu. Tatizo inaweza kuwa hormone nyingine inaitwa glucagon ambayo inasaidia kuchochea ini kusambaza sukari kwenye damu.
Hivyo usiwe na wasiwasi na kidonda labda ingekuwa ile ya kupanda. Fanya mazoezi, clinic muhimu na zingatia vyakula( bahati haina restriction sana kama ya kupanda).
Daktari atakusaidia, ila wewe mwenyewe utajisaidia zaidi kwa kufuata ushauri.
Acha mawazo.
Pole mkuu, fuata tu masharti ya daktari utakuwa mzima,
usiogope kabisa.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Follow Us Here