jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.
jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.
Vile vile ni dalili ya kisukari .
Habari ! Kukojoa mara kwa mara kunaweza kua ugonjwa au si ugonjwa. Kama mchana unakojoa zaidi ya mara 8 na usiku zaidi ya mara 2 (polyuria au nocturia) itakuwa ni dalili za urinary tract infection (U.T.I) na siyo lazima iwe U.t.i pia kukojoa mara kwa mara kunawe kuwa kumesababishwa na kisukari, unywaji wa maji mengi, pombe, unywaji wa kahawa ,madawa kama diuretics , mimba Ebu jaribu kupima kama utakojoa kuanzia litre 3 basi ujue hilo ni tatizo.
nawashukuru kwa maoni na msaada wenu ndugu zangu. Labda niongezee Hakuna maumivu wakati wa kukoja, wala hakuna mimba. Usiku inakuwa kama mara 2, mchanza ndo mara kwa mara. once again, I appriciate 4 ur contribution.
Punguza ubaridi wa kiyoyozi.
Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds...
Follow Us Here