Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
A conclusion is the place where you got tired of thinking
Majipu:
Saga kitunguu maji na kikange katika mafuta ya zaituni bila ya kuwa rangi ya manjano, paka kama marhamu na funga bendeji juu yake. Kila siku ukibadilisha pamoja na kusafisha utokaji wa usaha umalizike, halafu utakuwa ukitumia habat-sawda........................ Saharavoice
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
tumia antibiotic esp. Penicilline
Taja umri wao.
kamua jipu hadi liishe na kiini kitoke, ogea medketed soap na wanywe cloksasilin doz moja(vifanywe vyote kwa pamoja)..asisubir jipu lipone hii itasaidia kulikausha nakuzuia other infekshen ktk damu cz damu zao ni chafu.
Mkuu Habat sawda inapatikana sokoni Kariakoo kama wewe upo jijini Dares-Salaam nenda hapo Sokoni kariakoo Mtaa wa Nyamwezi au Mtaa wa Pemba kaulize kwenye maduka ya Madawa za Kiarabu Wapemba ndio wanaouza hapo au kama unaye jirani Muarabu muulizie atakupatia au angalia Picha yake hii hapa .............................. .......... Saharavoice
![]()
Black seed oil (Nigella Sativa) Habat Sawda na Habat Sawda Mafuta yake.
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Mara nyingi unapaka tu mafuta ya breki kila siku mara tatt.Mafuta haya yananyonya uchafu kwa haraka sana.Nimewahi tumia
Nami nilikuwa na tatizo hilo la majipu toka utoto wangu mpaka nilipotimiza miaka 24 nakumbuka nilipewa ethromycin toka kipind hicho mpaka sasa sijashikwa na jipu.
Follow Us Here