JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Dalili za mimba

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. ERIC JOSEPH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : MBEYA TANZANIA
   Posts : 570
   Rep Power : 639
   Likes Received
   51
   Likes Given
   2

   Default Dalili za mimba

   mke wng ananiambia anahisi anaweza kuwa mjamzito na tokea tukutane nae hazijapita hata siku tano je dalili zinaweza kujitokeza.mana ananiambia mala kichefuchefu mala mate yanajaa mdoni hata hamu ya kula hana je inawezekana?naomba msada wenu


  2. #2
   chante's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th March 2011
   Posts : 178
   Rep Power : 582
   Likes Received
   36
   Likes Given
   0

   Default Re: Dalili za mimba

   Aende kwa dokta akapime!

  3. ERIC JOSEPH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : MBEYA TANZANIA
   Posts : 570
   Rep Power : 639
   Likes Received
   51
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By chante View Post
   Aende kwa dokta akapime!
   Nashukulu lakin je inawezekana dalili zikatokea?

  4. #4
   phina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : the gate of no gate
   Posts : 414
   Rep Power : 611
   Likes Received
   121
   Likes Given
   8

   Default Re: Dalili za mimba

   mmh!!?siku tano!!!?
   amewahi kupat mimba au hii ndo ya kwanza??
   me nnavojua hapo bado hata 'implatation' haijatokea!hana dalili zingine ukiachana na kichefu chefu??anahisi joto lake la mwili limepanda,maziwa yanamuuma au yanakuwa meusi,tumbo la chini kuuma-uma kidogo??

  5. ERIC JOSEPH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : MBEYA TANZANIA
   Posts : 570
   Rep Power : 639
   Likes Received
   51
   Likes Given
   2

   Default

   [QUOTE=phina;3040056]mmh!!?siku tano!!!?
   amewahi kupat mimba au hii ndo ya kwanza??
   me nnavojua hapo bado hata 'implatation' haijatokea!hana dalili zingine ukiachana nah.hapo mkuu sijapata jb itabidi nifuatilie kwa kina ila mimba hajawah pata nashukulu kwa ushauli wako


  6. #6
   Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3033
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default Re: Dalili za mimba

   Kampime si itaonyesha umri wa mimba? Na ukweli utajulikana hapo

  7. MATESLAA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2011
   Location : KINONDONI STUDIO
   Posts : 1,253
   Rep Power : 775
   Likes Received
   66
   Likes Given
   50

   Default Re: Dalili za mimba

   kaka hapo umeshaliwa kekundu yani unadanganya,,,yani siku tano hakuna kitu kama hicho
   NAZI AIMENYWI ....INAKUNWA

  8. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 25,235
   Rep Power : 397048806
   Likes Received
   12754
   Likes Given
   12160

   Default Re: Dalili za mimba

   siku tano hapana hawezi jua, unless kama mlikutana huko nyuma kwenye kipindi cha hatari na iwe zaidi ya siku 5 ambayo ndo mara ya mwisho mmekutana. kwa jibu zuri akapime
   "whoever wins the war gets to write the history"


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...