Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

    Report Post
    Page 7 of 13 FirstFirst ... 56789 ... LastLast
    Results 121 to 140 of 251
    1. #1
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Thumbs up Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Haya Tena kwa wale wanaotaka Dawa ya nguvu za kiume wawasiliane na mimi kwa njia ya P.M. inauzwa Dola 300. Dawa ni ya mitishamba lakini imetengenezwa kwa njia ya kisasa Capsule unatumia kila siku kidonge kimoja Asubuhi na kidonge kimoja usiku

      baada ya kula chakula kwa muda wa miezi 3 Vidonge vipo 180baada ya hapo hutotumia tena Nguvu tena moja kwaa moja waweza kwenda mara tano kwa siku bila ya matatizo Mwenye kutaka awasiliane na mimi email yangu ni hapa

      ([email protected]) au wasiliana na mimi kwa njia ya Private Message Jamani hii ni Mkuyati kiboko yao au jina lingine naweza kusema kuwa ni chuma cha Pua. Maelezo yake soma hapo chini

      Imported from USA 100% Herbal V-pills

      V-Pills, derived from nature, the development of the penis texture, which helps stimulate sexual activity, more lasting erection, and to help raise the enjoyment of sexual intercourse, intense aphrodisiac contains plant extracts that contain.

      V-Pills content with plant extracts, and calms the nervous system up stress and tension that may occur prior to sexual intercourse also helps yenmenize.

      V-Pills safe and effective reinforcement of masculinity in many herbal substances that are known to have been formulated.

      V-Pills general blood pressure without altering the channels to the blood stream and affects the cells of the penis. This hardening penis and helps erection to occur. 3 boxes are used regularly for a long time effect. Documents section of the 5th You can see in the American FDA approval as a Vpills document.

      V-pills safe and effective reinforcement of masculinity in many herbal substances that are known to Eyefive Inc. Formulated by.

      Vpills from the pattern of use in order to give full stomach in the morning and evening after meals is recommended to have one each.
      Vpills how much to use?

      Vpills 1 box contains 60 capsules on a regular basis and to demonstrate the effect should be consumed within 1 month. For optimal results, use at least 3 months up to Vpills (3 boxes) for ongoing testing is recommended.
      "100% Original Product Warranty"

      V-pills Contents Utengenezaji wake hapa chini

      Vitamin E (as d-Alpha Tocopheryl Succinate), Vitamin B3 (as Niacin),
      Hawthorn (as Crataegus pinnatifida) (fruit), Saw Palmetto (as Serenoa repens) (fruit), Ginkgo (as Ginkgo biloba) (leaf), Chinese Ginseng (as Panax Ginseng) (root), Damiana (as Turnera diffusa) (leaf ), Demirdikeni (Tribulus terrestris-Tribulus Terrestris) (fruit), Oat Straw (Avena Sativa Oat-Straw) (grip), Thomas Horny Weed (Epimedium sagittatum Horny Goat-), Cayenne Fruit (as Capsicum species) (fruit)
      The content and information about the effects of V-Pills>>>

      PLEASE NOTE!
      V-Pills have been formulated as a food supplement and herbal medicine is not included in the class is not subject to medical prescription. Although 100% herbal ingredients with the active ingredients of a strong heart, diabetes and high blood pressure patients are advised to consult a specialist content. In addition, hormone therapy, or hormonal disease in persons who are encouraged to use the control of a specialist.

      Product Description Herbal vivid

      Herbal Vivid - The Only Male Enhancement Formula Backed by the Vivid Name. Herbal Vivid is a all natural herbal formula for penis enhancement that works to increase penis size, improve sexual health and strengthen erections. Herbal Vivid is a 100% safe and natural herbal formula guaranteed to enlarge the penis up to 3 to 4 inches when used as we recommend.

      MAGNA R+X
      The Magna RX is one of the best male enhancement supplements in the market. This dietary supplement is meant to provide you with permanent results for effective and intense erections. By increasing the blood flow, it can even help gain multiple orgasms and bigger ejaculation volumes. The Magna R+X is a doctor endorsed product for enhancing males wellness and strength, and you can confidently buy it for superior results.

      Magna R+X :Doctor endorsed
      Male enhancement supplement

      V-Pills Totally Natural Sexual Performance Enhancer
      America's leading brands in the V-Pills, thanks to VPills men no longer, more healthy, more confident and happier partners ...

      • Benefits of V-Pills'in
      • Helps to increase the feeling of youth and strength in heavily.
      • VPills helps to increase sexual desire.
      • VPills helps to increase sexual pleasure from intercourse.
      • VPills sexual organs, helps to increase blood circulation.
      • VPills Sexual helps boost the production of hormones.

      Haya tena wanaotaka Dawa ya Nguvu za kiume wawasiliane na mimi. Email yangu hii hapa [email protected]
      Last edited by MziziMkavu; 27th February 2013 at 05:45.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    2. Study Abroad

    3. #121
      nyaucho's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th April 2011
      Posts : 39
      Rep Power : 416
      Likes Received
      8
      Likes Given
      11

      Default Re: Ni nini chanzo cha kupunguza nguvu za kiume.

      Wa2 wanatakiwa wale karoti na karanga kwa sana. Pia bila kusahau ki2 cha MKONGO................RAAA

    4. #122
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,115
      Rep Power : 28888
      Likes Received
      11619
      Likes Given
      4783

      Default

      Obesity ina-disrupt hormonal production. Google for more info 'effects of obesity in hormones production'

      Tuongelee na uvivu wa kuchochea baiskeli?
      Quote By BIG X
      Obesity inachangia vipi!!
      MziziMkavu likes this.

    5. #123
      LORDVILLE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Location : Imaginary island
      Posts : 1,314
      Rep Power : 613
      Likes Received
      116
      Likes Given
      139

      Default Re: Ni nini chanzo cha kupunguza nguvu za kiume.

      aisee kuna hii mabo inaitwa PUN**TO!! hii mambo inaangamiza vijana hasa hawa under18!!! ni vyema kuiepuka...nawakilisha wakuu....
      MziziMkavu likes this.

    6. #124
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,883
      Rep Power : 24131
      Likes Received
      4612
      Likes Given
      2624

      Default Re: Ni nini chanzo cha kupunguza nguvu za kiume.

      Kuvaa chupi za kubana sana, hata ukiwa usingizini.......damu haizunguuki vizuri.....kadri umri unavyosogea jaribu kupiga boksa......
      MziziMkavu likes this.

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te

    7. #125
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Ni nini chanzo cha kupunguza nguvu za kiume.

      Sababu 15 Muhimu Zinazo Sababisha Upungufu wa Nguvu Za kiume

      Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
      1.ubugiaji wa tumbaku .
      2.uvutaji wa sigara.
      3.utafunaji wa mirungi.
      4.unywaji wa pombe.
      5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
      6.ugonjwa wa kisukari.
      7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
      8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
      9.kufanya kazi ngumu.
      10. Maradhi ya moyo
      11. Mafuta
      Mengi mwilini
      (high cholesterol)
      12 .
      Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa mawazo, Wasiwasi
      (anxiety)
      13. Matatizo katika uhusiano, Mawasiliano duni na Mwenzi wako.
      14.Upungufu wa homoni aina ya testerone
      15.kuongezeka uzito au uzito uliopitiliza.
      Chanzo:MziziMkavu Email ([email protected])
      Dawa ya Mwenye kutaka Kuongeza Nguvu za Kiume
      Bonyeza hapa
      http://www.jamiiforums.com/jf-doctor...anayetaka.html
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    8. FemaTV & Radio

    9. #126
      Kbenzege's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 6th August 2012
      Posts : 5
      Rep Power : 342
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Mkuu naomba naomba ya simu ili tuwasiliane my tel 0784331100. Unaweza kunitumia SMS nami nitakupigia. Hiyo ni kiboko ya mjini.
      MziziMkavu likes this.

    10. #127
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By Kbenzege
      Mkuu naomba naomba ya simu ili tuwasiliane my tel 0784331100. Unaweza kunitumia SMS nami nitakupigia. Hiyo ni kiboko ya mjini.
      Sawa nitakutumia Sms. Hii Dawa ni kiboko yao haijali uwe na umri gani hata ukiwa na umri wa miaka 80 itakutibu hayo maradhi yako ya Upungufu wa Nguvu za Kiume ukimaliza dozi huna haja tena ya kutumia dawa yoyote ingine tena na imewasaidia watu wengi hii dawa na haina madhara kwa Binadamu Kbenzege;
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    11. #128
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By MziziMkavu

      Imepimwa wapi kuhakiki kuwa "haina madhara kwa Binadamu"?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    12. #129
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By zomba
      Imepimwa wapi kuhakiki kuwa "haina madhara kwa Binadamu"?
      Huku nilkoitowa kuna Serikali inafuatilia kila kitu hakuna vitu vya Feki ukikamatwa unauza Dawa za Feki unakwenda jela miaka 7 Kuna Wachunguzi kila siku wanafuatilia kila Sehemu za Maduka ya Madawa, huku nilipo hakuna mchezo wala mambo ya kutowa Rushwa ukikamatwa unatowa rushwa unatupwa jela na kufungiwa biashara yako mkuu sipo Tanzania nipo Ughaibuni kwenye kufuata Sheria Mkuu zomba
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    13. #130
      Gang Chomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2008
      Location : hell
      Posts : 5,024
      Rep Power : 1720
      Likes Received
      964
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By MziziMkavu
      Sababu 15 Muhimu Zinazo Sababisha Upungufu wa Nguvu Za kiume

      Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
      1.ubugiaji wa tumbaku .
      2.uvutaji wa sigara.
      3.utafunaji wa mirungi.
      4.unywaji wa pombe.
      5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
      6.ugonjwa wa kisukari.
      7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
      8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
      9.kufanya kazi ngumu.
      10. Maradhi ya moyo
      11. Mafuta
      Mengi mwilini
      (high cholesterol)
      12 .
      Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa mawazo, Wasiwasi
      (anxiety)
      13. Matatizo katika uhusiano, Mawasiliano duni na Mwenzi wako.
      14.Upungufu wa homoni aina ya testerone
      15.kuongezeka uzito au uzito uliopitiliza.
      Chanzo:MziziMkavu Email ([email protected])
      Dawa ya Mwenye kutaka Kuongeza Nguvu za Kiume
      Bonyeza hapa
      http://www.jamiiforums.com/jf-doctor...anayetaka.html

      Sababu namba moja mpaka namba 4 ni wivu tu na umasikini wa watu ndio hupelekea kutaja hivyo vitu kuwa vinapunguza nguvu za kiume...

    14. #131
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By Gang Chomba
      Sababu namba moja mpaka namba 4 ni wivu tu na umasikini wa watu ndio hupelekea kutaja hivyo vitu kuwa vinapunguza nguvu za kiume...
      Unao uhakika unachokisema Mkuu?wewe unazo Nguvu za kiume?Mkuu Gang Chomba
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    15. #132
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By MziziMkavu
      Huku nilkoitowa kuna Serikali inafuatilia kila kitu hakuna vitu vya Feki ukikamatwa unauza Dawa za Feki unakwenda jela miaka 7 Kuna Wachunguzi kila siku wanafuatilia kila Sehemu za Maduka ya Madawa, huku nilipo hakuna mchezo wala mambo ya kutowa Rushwa ukikamatwa unatowa rushwa unatupwa jela na kufungiwa biashara yako mkuu sipo Tanzania nipo Ughaibuni kwenye kufuata Sheria Mkuu zomba
      Ingekuwa hakuna vitu feki huko kusigewekwa shria hiyo. Fikiri. Unajuwa saa nyingine unavyojibu huwa unanishangaza sana, unakuwa kama baharia fulani aliyeshindwa na maisha ya Nyumbani akahamia ughaibuni akaona huko ndio kila kitu. Usiwe kama kipofu aliyeona punda. Hujui kuwa huko nje ndio wavunja sheria wa kwanza? nakusikitikia sana ndugu yangu kwa mawazo yako mfu.

      Soma kidogo hapa unielewe nakuelezaa nini:

      Drug Safety - Prescription Drugs Not Approved by the FDA - Oprah.com

      Halafu hukohuko unakowaona wewe kuwa ni wa maana wao ndio wanao "approve" dawa zenye sumu kali sana kama hii:

      What is the most toxic drug ever-Medicines Questions answered

      Huko uliko ni duniani hapahapa na wote ni binaadam, na huko ndio kwenye crime rates kubwa kubwa kuliko kwetu. Ndugu yangu nimekaa nje ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 na wala huwezi kunifundisha maisha ya Europe, Americas na Asia. Nimeishi, nimesoma, nimefanya kazi, nimetembea hii dunia pengine kabla ya wewe hujazaliwa.
      Last edited by zomba; 8th August 2012 at 09:04.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    16. #133
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By zomba
      Ingekuwa hakuna vitu feki huko kusigewekwa shria hiyo. Fikiri. Unajuwa saa nyingine unavyojibu huwa unanishangaza sana, unakuwa kama baharia fulani aliyeshindwa na maisha ya Nyumbani akahamia ughaibuni akaona huko ndio kila kitu. Usiwe kama kipofu aliyeona punda. Hujui kuwa huko nje ndio wavunja sheria wa kwanza? nakusikitikia sana ndugu yangu kwa mawazo yako mfu.

      Soma kidogo hapa unielewe nakuelezaa nini:

      Drug Safety - Prescription Drugs Not Approved by the FDA - Oprah.com

      Halafu hukohuko unakowaona wewe kuwa ni wa maana wao ndio wanao "approve" dawa zenye sumu kali sana kama hii:

      What is the most toxic drug ever-Medicines Questions answered

      Huko uliko ni duniani hapahapa na wote ni binaadam, na huko ndio kwenye crime rates kubwa kubwa kuliko kwetu. Ndugu yangu nimekaa nje ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 na wala huwezi kunifundisha maisha ya Europe, Americas na Asia. Nimeishi, nimesoma, nimefanya kazi, nimetembea hii dunia pengine kabla ya wewe hujazaliwa.
      Mkuu zomba huna mpya wewe na huna maneno ya kuzungumza nenda

      katangaze Dawa feki ya kutibu Ukimwi aliyogunduwa Daktari wako Msigwa bonyeza http://www.jamiiforums.com/jf-doctor...ya-ukimwi.html Wakati mpaka sasa hakuna hata nchi moja Duniani iliyo gunduwa Dawa ya kutibu Ugonjwa wa

      ukimwi Daktari wako Dr Msigwa ameshavumbuwa Dawa ya kutibu Ukimwi nenda kamtangazie Dawa yake tuache hapa sisi Dawa yetu ya kutibu nguvu za Kiume usitupotezee muda wetu samahani kama nitakukwaza.
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    17. #134
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Ni nini chanzo cha kupunguza nguvu za kiume.

      Quote By Safari_ni_Safari
      Kuvaa chupi za kubana sana, hata ukiwa usingizini.......damu haizunguuki vizuri.....kadri umri unavyosogea jaribu kupiga boksa......
      Mkuu kuvaa chupi yenye kubana hakuwezi kusababisha Matatizo ya Upunguvu wa nguvu za kiume hata kidogo.
      Sababu 15 Muhimu Zinazo Sababisha Upungufu wa Nguvu Za kiume

      Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
      1.ubugiaji wa tumbaku .
      2.uvutaji wa sigara.
      3.utafunaji wa mirungi.
      4.unywaji wa pombe.
      5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
      6.ugonjwa wa kisukari.
      7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
      8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
      9.kufanya kazi ngumu.
      10. Maradhi ya moyo
      11. MafutaMengi mwilini
      (high cholesterol)

      12 .
      Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa mawazo, Wasiwasi
      (anxiety)

      13. Matatizo katika uhusiano, Mawasiliano duni na Mwenzi wako.
      14.Upungufu wa homoni aina ya testerone
      15.kuongezeka uzito au uzito uliopitiliza.

      Chanzo:MziziMkavu Email ([email protected])

      Mkuu.@
      Safari_ni_Safari

      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    18. #135
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By MziziMkavu
      Mkuu zomba huna mpya wewe na huna maneno ya kuzungumza nenda

      katangaze Dawa feki ya kutibu Ukimwi aliyogunduwa Daktari wako Msigwa bonyeza http://www.jamiiforums.com/jf-doctor...ya-ukimwi.html Wakati mpaka sasa hakuna hata nchi moja Duniani iliyo gunduwa Dawa ya kutibu Ugonjwa wa

      ukimwi Daktari wako Dr Msigwa ameshavumbuwa Dawa ya kutibu Ukimwi nenda kamtangazie Dawa yake tuache hapa sisi Dawa yetu ya kutibu nguvu za Kiume usitupotezee muda wetu samahani kama nitakukwaza.
      Nadhani roho imekuuma sana na uhasidi umekujaa uliposikia kuna mtu Tanzania kavumbuwa dawa mbadala ya UKIMWI.

      Mimi nakupa open challenge upeleke mgonjwa wako kwa gharama zangu, apimwe CD 4 na viral load kabla hajatumia dawa ya Dr. Msigwa na baada ya kutumia dose ya mwanzo (wiki nne) apimwe tena na mwingine apewe ARV bora uzijuazo wewe, halafu baada ya mwezi wote wapimwe na kama dawa ya Dr. Msigwa haijakuwa na mafanikio kuliko ARV yoyote uijuwayo, mimi ntalipa gharama na fidia ya usumbufu. Na kama ikionesha dawa ya Dr. Msigwa imeleta mafanikio (CD 4 zimeongezeka na Viral load imeshuka) basi wewe ulipe gharama na fidia ya usumbufu.

      Unasemaje kwa hilo badala ya kuleta uhasidi? Unaandikia mate na wino upo?

      Unatuletea vidawa vyako humu halafu ukiulizwa unajidai oooh "huku nilipo kuna sheria", ulifikiri Tanzania hakuna sheria? wacha kuwa kama kipofu aliyeona punda.

      Nimekupa open challenge humu kuhusu dawa ya dokta Msigwa na wanaosoma hizi nyuzi wote humu ni mashahidi.

      Wewe ndio kama wale Kikwete aliowaambia "njooni mchukuwe hela mkalete ct scan ya bei sawa na shangingi". Hakuna hata mmoja aliyejitokeza mpaka leo na hakuna ataejitokeza. Na wewe hii challlenge hautoiweza.

      nakushangaa wewe mwenye signature hii Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) unashindwa kuelewa kuwa dawa zipo, iliyobaki ni siasa na uhasidi tu kama ulionao wewe.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    19. #136
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By zomba
      Nadhani roho imekuuma sana na uhasidi umekujaa uliposikia kuna mtu Tanzania kavumbuwa dawa mbadala ya UKIMWI.

      Mimi nakupa open challenge upeleke mgonjwa wako kwa gharama zangu, apimwe CD 4 na viral load kabla hajatumia dawa ya Dr. Msigwa na baada ya kutumia dose ya mwanzo (wiki nne) apimwe tena na mwingine apewe ARV bora uzijuazo wewe, halafu baada ya mwezi wote wapimwe na kama dawa ya Dr. Msigwa haijakuwa na mafanikio kuliko ARV yoyote uijuwayo, mimi ntalipa gharama na fidia ya usumbufu. Na kama ikionesha dawa ya Dr. Msigwa imeleta mafanikio (CD 4 zimeongezeka na Viral load imeshuka) basi wewe ulipe gharama na fidia ya usumbufu.

      Unasemaje kwa hilo badala ya kuleta uhasidi? Unaandikia mate na wino upo?

      Unatuletea vidawa vyako humu halafu ukiulizwa unajidai oooh "huku nilipo kuna sheria", ulifikiri Tanzania hakuna sheria? wacha kuwa kama kipofu aliyeona punda.

      Nimekupa open challenge humu kuhusu dawa ya dokta Msigwa na wanaosoma hizi nyuzi wote humu ni mashahidi.

      Wewe ndio kama wale Kikwete aliowaambia "njooni mchukuwe hela mkalete ct scan ya bei sawa na shangingi". Hakuna hata mmoja aliyejitokeza mpaka leo na hakuna ataejitokeza. Na wewe hii challlenge hautoiweza.

      nakushangaa wewe mwenye signature hii Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) unashindwa kuelewa kuwa dawa zipo, iliyobaki ni siasa na uhasidi tu kama ulionao wewe.
      Sawa mkuu zomba ( System At Work)
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    20. #137
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By MziziMkavu
      Sawa mkuu zomba ( System At Work)
      Kama niliwahi kusoma mahala humu JF kuwa wewe ni mtafiti wa dawa mbadala (no pun intended). Kama ni kweli, nilitegemea wewe uwe wa kwanza kumtafuta huyu Dr. Msigwa na kujidhihirisha kiutafiti, nakushangaa, wewe unapokuwa hasidi na kuanza kui discredit hii dawa bila hata kumpeleka mgonjwa mmoja kuijaribu. Ni nini kilichokuumiza kuhusu hiyo dawa hata ukawa hivyo?

      Nakushauri mtafute Dokta Msigwa na ufanye japo utafiti wa ju juu wakumpleka mgonjwa mmoja au wawili ili ukiridhishe nafsi yako, na usiwe na shaka kuhusu gharama, mimi najitolea, gharama zake ni ndogo sana wala usiwe na shaka kwa hilo.

      Mtafiti wa madawa ya asili halafu leo unamponda mwenzako bila utafiti wowote? Umenisikitisha sana. Hata ile article uliyoibandika haraka haraka kule, haioneshi kuwa hii dawa haifai na pia nilimuuliza dokta msigwa kuhusu hiyo srticle akasema, mbona huyo mwandishi mimi hakuniuliza? ametumiwa na watu fulani fulani wenye uhasidi na wasiopenda mafanikio ya watu. Jee, wewe sio mmoja wao hao?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    21. #138
      MziziMkavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2009
      Location : European Union
      Posts : 22,106
      Rep Power : 19193
      Likes Received
      8049
      Likes Given
      26489

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By zomba
      Kama niliwahi kusoma mahala humu JF kuwa wewe ni mtafiti wa dawa mbadala (no pun intended). Kama ni kweli, nilitegemea wewe uwe wa kwanza kumtafuta huyu Dr. Msigwa na kujidhihirisha kiutafiti, nakushangaa, wewe unapokuwa hasidi na kuanza kui discredit hii dawa bila hata kumpeleka mgonjwa mmoja kuijaribu. Ni nini kilichokuumiza kuhusu hiyo dawa hata ukawa hivyo?

      Nakushauri mtafute Dokta Msigwa na ufanye japo utafiti wa ju juu wakumpleka mgonjwa mmoja au wawili ili ukiridhishe nafsi yako, na usiwe na shaka kuhusu gharama, mimi najitolea, gharama zake ni ndogo sana wala usiwe na shaka kwa hilo.

      Mtafiti wa madawa ya asili halafu leo unamponda mwenzako bila utafiti wowote? Umenisikitisha sana. Hata ile article uliyoibandika haraka haraka kule, haioneshi kuwa hii dawa haifai na pia nilimuuliza dokta msigwa kuhusu hiyo srticle akasema, mbona huyo mwandishi mimi hakuniuliza? ametumiwa na watu fulani fulani wenye uhasidi na wasiopenda mafanikio ya watu. Jee, wewe sio mmoja wao hao?
      Mimi sijamponda hata kidogo Dr Msigwa mimi ninachosema kuwa Serikali bado haijathibitisha Dawa yake kama ni kweli inatibu Ugonjwa wa Ukimwi wewe mbona unashindwa kunielewa? sisi Wa Tanzania ni rahisi kusema na kujibu kuliko kufanya Vitendo. jaribu kunielewa mkuu acha maneno yako ya Pumba hayo mkuu zomba
      Only Do What Your Heart Tells You

      Allah
      Has Not Revealed A Disease without Treatment....
      (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]

    22. #139
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By MziziMkavu
      Mimi sijamponda hata kidogo Dr Msigwa mimi ninachosema kuwa Serikali bado haijathibitisha Dawa yake kama ni kweli inatibu Ugonjwa wa Ukimwi wewe mbona unashindwa kunielewa? sisi Wa Tanzania ni rahisi kusema na kujibu kuliko kufanya Vitendo. jaribu kunielewa mkuu acha maneno yako ya Pumba hayo mkuu zomba
      Kuna dawa gani ambayo inathibitishwa na Serikali yetu kuwa ni ya ugonjwa fulani? Dawa hujithibitisha yenyewe. Serikali kazi yao kuipima kama ina madhara au haina kwenye mwili wa binaadam. Watafiti wa kisayansi na kijamii ndio kazi yao kuithibitisha.

      Wewe umekazana, hakuna duniani hakuna duniani. Mimi nakuambia ipo na hiyo hapo na kama una mgonjwa wako mpeleke ajaribiwe au hata wewe mwenyewe. Bure! Mimi ntakulipia gharama zote, usiwe na khofu kijana.

      Hayo maneno ujiambie wewe, mbona hutendi unasema tu? peleka mgonjwa au kaonane na Dr. Msigwa.

      Wewe useme halafu uwaambie wenzako wanasema tu, sisi tumekuwekea na simu na mahali utapoipata hiyo dawa tumekupa na open offer ya uende, nenda mwenyewe kafanye utafiti kwa dokta Msigwa au peleka mgonjwa wako, au peleka unaowaamini wewe kuwa wanaweza kukusaidia kwa kauli zao au peleka mwana sayansi umjuae, unashindwa nini na unabaki namaneno ya kuponda tu?

      Wewe kabla ya kuponda kwanza unge declare interest. Hii ya Msigwa imekuumiza vibaya sana.

      Nyinyi ndio wale, mnao tangaza mengine na huku mnatenda mengine. Watu kama wewe wako kwenye kundi la unafik na uhasidi. Lakini huwa hamfanikiwi kwa roho zenu mbaya na za chuki, ungekuwa na roho nyeupe ungemtafuta Msigwa ujiridhishe nafsi yako, mbona sisi tuliposikia tulimtafuta na tukajiridhisha nafsi zetu.

      Utakufa nacho kijiba cha roho!
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    23. #140
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

      Quote By MziziMkavu
      Inaonekana hiyo Dawa ya Dr Msigwa wewe ndio mpambe wake ?Maana unamtangazia na kumpigania vita unatoa ushahidi wako wa uongo kuwa kuna Watu 200 wamefanya majaribio ya kutibu Ukimwi? Ahhh

      Je hao watu 200 walifanya majaribio ya Dawa ya Dr Msigwa wamepona huo Ugonjwa wa Ukimwi? unao ushahidi wowote ule kuwa wamepona Ukimwi? Dr Msigwa amepata Mpambe mzuri. Hata wanaopima Dawa watu wa Serikali hawajathibitisha Ukweli wa Dawa ya Dr Msigwa, wewe umeshakuwa ndio wa kwanza kuthibitisha Dawa ya Dr Msigwa kuwa inatibu Ukimwi? Wewe umetibiwa na hiyo Dawa ya Dr Msigwa?Tuletee baadhi ya Wagonjwa aliwatibu Dr Msigwa wagonjwa wa ukimwi waliopona walete kwenye hii Jamii Forums wathibitishe kuwa wao walitibiwa kwa hiyo Dawa ya DR Msigwa?Acha kuleta maneno yako ya Uzushi huo mimi ninahisi Dr Msigwa labda ndio wewe ila umejipachika jina la Zomba acha kututapeli Mkuu zomba
      Nilikuwa nafikiri naongea na mtu mwenye akili, kumbe naongea na mtu ambae hana fikra hata kidogo. Uliyaona wapi hayo? makubwa jamani.

      Hivi uletewe wewe kama nani? kutu za kugonga meli zinakuletea tabu, unahitaji msaada. Kunywa maziwa na lozi zitakusaidia sana kuuwa sumu ya kutu mwilini.

      Ngoja uzinduzi kamili Tanzania bara upo njiani. Na huo sijui utauzuiaje?
      Last edited by zomba; 10th August 2012 at 17:54.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    24. Miaka 50
    Page 7 of 13 FirstFirst ... 56789 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Dawa za nguvu za kiume
      By semmy samson in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 18
      Last Post: 12th January 2011, 08:34
    2. eti, nguvu za kiume au ananizingua?
      By Joy1981 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 74
      Last Post: 20th November 2010, 23:34
    3. RAI: kutoka nguvu ya hoja hadi siasa za maji taka
      By minda in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 16
      Last Post: 29th July 2010, 12:33

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...