Hivi wadau, kuna Dawa ya kuponesha maumivu ya tumbo wakati wa hedhi? (chango),,
inapatikana wap?,
na ina madhara?,
na kwanin linauma sana?.
its urgent wadau,
Hivi wadau, kuna Dawa ya kuponesha maumivu ya tumbo wakati wa hedhi? (chango),,
inapatikana wap?,
na ina madhara?,
na kwanin linauma sana?.
its urgent wadau,
muone mnabii mayasa wa kanisa letu, anadai ukipata viro ba viwili vya valuer au konyagi, .unapona kwa 100%
kunywa zaatari siku zote za hedhi maumivu yatapungua . au ponda ponda tangawizi kavu ichemshe pamoja na maji kwa dakika 10 kisha ichuje kunywa .anza kunywa siku 3 kabla ya hedhi na endelea nayo siku zote za hedhi maumivu yataondoka au kupungua kwa kiasi kikubwa
Siku za nyuma Mzizi Mkavu alishaweka tiba ya tatizo hilo hapa.. Pitia post zake. Pia unaweza tumia vidonge vya IBUPROFEN badala ya panadol. Hakikika unameza wakati unapohisi maumivu yanaanza.. manake ukichelewa kuvimiza wakati maumivu yamekolea unaweza usione effect ya dawa haraka.
...All the time the LORD is good...
kama huna mtoto jitahidi umpate kwa haraka.
Follow Us Here