Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All?

    Report Post
    Page 2 of 18 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 346
    1. #1
      Baba Ubaya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th June 2008
      Posts : 113
      Rep Power : 579
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default kuwahi kuamliza

      Nini tatizo la hasa kwa wale wanahikumaliza wakati wa kufanya tendo la ndoa?

      Kwa wale mnaofahamu tufahamisheni
      Quote By Mkereketwa_Huyu
      Unajuwa kumwaga au kutokumwaga is a psychological thing na hutegemea kwa mtu na mtu. Kiwastani, mwanamke inabidi alainishwe kitandani kama vile kumshika shika na unatakiwa ujuwe hisia zake ziko vipi kutokana na utundu wako.

      Bahati mbaya wanaume wengi kitu kama hiki hawakijuwi, mzee akisimama tu atataka ajipigie haraka aondoke aende kwa mwingine wakati huyu uliyepiga hujamfikisha kileleni hata robo.

      Kuja katika jibu lako; kawaida mwanaume anafikia kilele anapojisikia. Yes, anapojisikia. Kumbukeni, kuna wanaume wengine wanatomba lakini hawamwagi shahawa kutokana na udhaifu wao au la wanakuwa hawana experience na wanakuwa hawajuwi namna ya kuji control ili wafike kileleni. Utakuta mtu dizaini hii ni mwepesi kwa kusifia demu baada ya shughuli pevu kitandani kuwa ame enjoy ile mbaya na kumwagia demu misifa kibao kuwa ni mtamu hajapata ona maishani mwake wakati ni uongo mtupu. Na demu yule yule akiondoka jamaa anawahi bafuni kujikrimu (masturbation).

      Vijana wengi washuka/wapanda mnazi (masturbation people) huwa hawachelewi kumwaga shahawa wanapokuwa faragha kujikrimu na imaginary girl friends zao, ila inawachukua muda saana kumwaga shahawa pale wanapokutana kimwili na mwanamke. Japo wengi siku hizi wanaogopa magonjwa na kuchukua njia ya mkato ya mkono lakini kwa kweli kushuka mnazi kuna madhara yake psychologically, na ndiyo kama haya.
      Quote By Tuko
      Pamoja na kwamba ejaculation ni response ya mwili baada ya stimulation kufikia threshold, lakini pia ni namna ya mwili kusave energy.

      Kwa maana hiyo, kama una hypoglycemia (upungufu wa glucoce kwenye damu), ujue mwili mwili utaharakisha ejaculation ili usave glucose. Ndio maana watu wanaofanya mazoezi kwao hili sio tatizo sana. Ndio maana siku umekula vizuri (ugali is the best), dakika zinaongezeka). Ndio maana baadhi ya watu wanakula biscuits za glucose au wanalamba glucose yenyewe kabla na baada ya kila bao, ili kuongeza glucose mwilini.

      Haya ya nyakula yatakuwa na mchango mdogo sana kama miili yetu haina uwezo wa kutoa glucose inayohifadhiwa kwenye maini (glycogen) na haraka kuibadilisha na kuitumia kama kutoa energy. Hakuna namna nyingine ya kuuwezesha mwili wako kuwa efficient kugenerate energy, zaidi ya kufanya mazoezi.

      Conclusion; Kuwa mtu wa mazoezi. Mwanzoni itakufanya usipate kabisa ashki, but baada ya kama wiki 2 (haijalishi iwe umepunguza uzito au la, cha muhimu mwili uwe flexible and efficient) utaona jinsi utakavyokuwa good performer.

      Mi huwa nasumbuliwa na tatizo kama la kwako, hasa pale ninapobanwa na makazi na masafari, nikajikuta nimeacha mazoezi. Wiki tatu tu za kutokufanya mazoezi hufanya performance yangu kushuka zaidi ya 50%.

      Ikishindikana kwa mazoezi, waone wamasai. Mkuyati unasaidia (kama una tatizo).
      Quote By Erotica
      Hilo ni tatizo kama goli zote inakua dakika chache. ila goli la kwanza ni lazima uzimike mapema.
      Quote By Roulette
      Nadhani watu wameweka standars za mahaba so high kiasi kwamba wanaume wangi wanajikuta below standards wakati it is just normal. Do you know the average sexual intercourse is only 2 min 54 seconds (goal la kwanza)?

      Sasa kabla hujapewa msaada please reassess your performance and let us know kama uko chini sana ya hapo.

      Kumbuka, prematurity is not a matter of how long you hold on before you come, but whether you are able to control the way you do na zaidi whether she is happy that you come at that time (My own definition)
      Quote By Dick
      Causes of premature ejaculation are often psychological in nature:

      1. Early childhood experiences which provoked fear of discovery during masturbation, for example might still be causing trouble.

      2. Encountering a particularly negative family attitude towards sex during your childhood may cause you to “rush” to complete sexual activity because you feel it is “dirty” or not permitted.

      3. Impotence, while itself often a treatable physical condition, may create a feeling of need to “get it done” before you lose your erection.

      4. Problems and worries about health, money, relationships, or any sort of stress in your life, may trigger an event or series of events.

      5. As hinted at above, negative reactions from a sexual partner can also precipitate the problem in what would otherwise be a normally happy, sexually fulfilled male.

      As can be imagined, once the event has occurred, it is not unrealistic to imagine it becoming so focused upon by the man that it becomes a self-fulfilling prophecy, no matter what its cause or its intensity or frequency.

      The other main causes of premature ejaculation are certain medications, but these are rare. It’s treatable!

    2. Miaka 50

    3. #21
      Join Date : 31st May 2008
      Posts : 10,786
      Rep Power : 22905
      Likes Received
      1335
      Likes Given
      2576

      Default Re: Kuwai ejaculation

      Quote
      Kijana mdogo kama wewe usitumie dawa yoyote mshkaji. Tatizo lako ni wasiwasi tu. Kupata bao la kwanza within 2 minutes ni kawaida usikonde. bao linalofuata should take longer.
      Naaam!
      Nitakupa uzoefu wangu
      Hilo sio tatizo pamoja linakera ukiwa na hamu ya kupiga nje ndani 100 ndio bao la wkanza lije ukapiga 15 basi inakera.
      Kukushauri jaribu kucheza na viungo vyoote ulicyopewa na mwenyezi Mungu.....mapenzi sio nje ndani kijana......

      kiungo maruidadi ni ulimi.....jua kucheza na ulimi kule ukeni kwa mwanamke wako imean kuzamia....
      Inajulikana kuwa wnawake wanachelewa sana kufika kwenye climax so inabidi uwe mjanja ucheze pele dakika za majeruhi basi kama man u ya 99 una Dwight Yorke moja wakati yeye alisha ingia nyavuni kama mara 2...

      .......jua wapi gal wako ukimshika wadudu wanapanda kwa sana.....cheza napo kwa sana....usiwe na haraka ya kuanza game hakikisha unamchezesha gwaride la utambulisho kama lisaa lizima najua hapo atakuwa amesha ingia nyavuni mara 1 hata 2 kama ukizamia vema...

      believe me ....bao nyingi sio ishu kamanda unaweza ku score bao moja kwa saa 2 ukimuanzishia ligwaride la utambulisho(kumkagua sehemu zake za mwili)

      ukiwa na more qns uliza.....
      Invisible likes this.
      style="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="https://www.jamiiforums.com/clear.gif" alt="Reply With Quote" /> Reply With Quote

    4. #22
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,256
      Rep Power : 31392
      Likes Received
      9625
      Likes Given
      685

      Default Re: Kuwai ejaculation

      Quote By Zeutamu
      Dogo unapenda sana kupiga mgalala eeehhh
      oh yeah.....
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    5. #23
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,805
      Rep Power : 44131
      Likes Received
      368
      Likes Given
      1430

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Kunywa Konyagi iliyochanganywa na Red bull
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj

    6. RR
      #24
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,605
      Rep Power : 1744
      Likes Received
      1020
      Likes Given
      481

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Piga puli kabla hujadinya...
      ..unaweza tumia dawa,kama uko Tz/Dsm then nenda pharmacy mwone pharmacisty,dawa ni SSRI na Antideprsants,Angalizo: Hizi sio dawa za ili tatizo ila side effect ndio inatumika kusaidia ili tatizo.
      Tafuta bakora.....akutandike mpaka alama za mijeledi zikutoke makalioni, ukisikia kulia usijizuie, we lia tu, baada ya hapo anza kula ngoma, hiyo ndio mwisho wa matatizo...
      Nini cha kufanya; avoid bao la kwanza kwa puchu, . Na pia wakati wa mambo na demu wako, unaweza ukawa unabana kila linapotaka kuja (kwa mfano kwa kuweka mawazo kwingine, au kupunguza speed ya ku-pump etc), kama demu wako muelewa ongea naye kuhusu hilo tatizo halafu anakuwa anakusaidia ukifanya hiyo training. Kama haeleweki, uwe unaweza pia kum-fake, usionyeshe ukipata bao, unakauka unaendelea ku-pump, ngumu hiyo oohh!
      kiungo maruidadi ni ulimi.....jua kucheza na ulimi kule ukeni kwa mwanamke wako imean kuzamia....
      Inajulikana kuwa wnawake wanachelewa sana kufika kwenye climax so inabidi uwe mjanja ucheze pele dakika za majeruhi basi kama man u ya 99 una Dwight Yorke moja wakati yeye alisha ingia nyavuni kama mara 2...

      .......jua wapi gal wako ukimshika wadudu wanapanda kwa sana.....cheza napo kwa sana....usiwe na haraka ya kuanza game hakikisha unamchezesha gwaride la utambulisho kama lisaa lizima. .
      Kunywa Konyagi iliyochanganywa na Red bull
      Ukiamua kuwa mtundu na kuchanganya zote hizi kwa pamoja yaweza kuwa mada kesi..
      Invisible likes this.

    7. #25
      Kafara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2007
      Posts : 1,051
      Rep Power : 837
      Likes Received
      24
      Likes Given
      12

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      mwambie mwenzi wako akiona dalili kwamba unakaribia kushusha mzigo; akufinye kisawasawa chwiiiiii! ule mshtuko mzigo wote utarudi ulikotoka hivyo kukupa nafasi kuendeleza libeneke.

      Ishara za mtu kukaribia kushusha mzigo ni pamoja na kubadilika kwa upumuaji, wengine huanza kuguna guna, wengina kama walikuwa kimya hapata kauli na kuanza kusema maneno mafupi mafupi km "tamu", "inakuja" na wengine ndio hpatwa na kigugumizi kabsaaaa
      Huwezi kuacha kula samaki eti kwa sababu umpendaye alizama ziwani...

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      Bibie's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 82
      Rep Power : 542
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Kuna vitu unaweza kununua vikakusaidia ila sijui kama uko bongo kama utavipata ila ulaya vipo so if ur in europe inbaidi uende kwenye adult store yeyote ukiwaelzea watakusiadia. Some of the things are D-lay Cream or spray, Stud delay, china brush na vrx. Try and u tell us the result. Ila china brush na stud delay ni kali sana ina desensatize kwa hiyo unapaka saa moja au nusu saa kabla ya mambo and then unaosha ili isimdesensetize mwenzako.
      rakeyescarl likes this.
      Bibie

    10. #27
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,256
      Rep Power : 31392
      Likes Received
      9625
      Likes Given
      685

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By Bibie
      Kuna vitu unaweza kununua vikakusaidia ila sijui kama uko bongo kama utavipata ila ulaya vipo so if ur in europe inbaidi uende kwenye adult store yeyote ukiwaelzea watakusiadia. Some of the things are D-lay Cream or spray, Stud delay, china brush na vrx. Try and u tell us the result. Ila china brush na stud delay ni kali sana ina desensatize kwa hiyo unapaka saa moja au nusu saa kabla ya mambo and then unaosha ili isimdesensetize mwenzako.
      Bibie, hizo desensitizer nimeshazijaribu na hazifanyi kazi aisee...
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    11. BAK
      #28
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,619
      Rep Power : 44968
      Likes Received
      8371
      Likes Given
      8347

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By Nyani Ngabu
      Bibie, hizo desensitizer nimeshazijaribu na hazifanyi kazi aisee...
      Fanya zoezi la kegel, ambalo pia liko kwa wanawake. Unapoenda kukojoa mkojo wa kawaida basi jaribu kuwa unabana angalau kwa dakika au hata zaidi unaendelea tena kukojoa halafu unabana tena ni zoezi unaloweza kulifanya hata mara 50 kwa siku. Halafu unawza kuendelea kufanya zoezi la kubana bila hata ya kwenda kukojoa ili kuweza kuwa na uwezo wa kubana nanino unapokuwa kwenye tendo la kujamiina na unafanya hivyo pale unapotaka wewe. Aisee nyani ngabu hiyo picha yako inatisha hebu mrudishe yule nyani wetu...
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    12. #29
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,256
      Rep Power : 31392
      Likes Received
      9625
      Likes Given
      685

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By Bubu Ataka Kusema
      Fanya zoezi la kegel, ambalo pia liko kwa wanawake. Unapoenda kukojoa mkojo wa kawaida basi jaribu kuwa unabana angalau kwa dakika au hata zaidi unaendelea tena kukojoa halafu unabana tena ni zoezi unaloweza kulifanya hata mara 50 kwa siku. Halafu unawza kuendelea kufanya zoezi la kubana bila hata ya kwenda kukojoa ili kuweza kuwa na uwezo wa kubana nanino unapokuwa kwenye tendo la kujamiina na unafanya hivyo pale unapotaka wewe. Aisee nyani ngabu hiyo picha yako inatisha hebu mrudishe yule nyani wetu...
      Bubu, hivi kwani premature ejaculation ni psychologial au ni physical au ni combo ya vyote?

      Wewe hiyo picha unaona inatisha lakini mwenzio cupcake anaona mi handsome boy....hehehehe
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    13. BAK
      #30
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,619
      Rep Power : 44968
      Likes Received
      8371
      Likes Given
      8347

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By Nyani Ngabu
      Bubu, hivi kwani premature ejaculation ni psychologial au ni physical au ni combo ya vyote?

      Wewe hiyo picha unaona inatisha lakini mwenzio cupcake anaona mi handsome boy....hehehehe
      Mimi nadhani ni maumbile ya kuzaliwa tu. Imagine njemba zingine hazifanyi zoezi wala nini lakini zinaweza kwenda masafa marefu hata saa nzima au zaidi. Lakini hapa dada zetu nao huanza kulalamika labda 'jamaa simridhishi' ndiyo maana anapiga saa nzima au zaidi bila kuanguka halafu wengine muda mrefu kiasi hicho husababisha dryness na kuongeza uwezekano wa michubuko lakini hili si tatizo maana mnaweza kutumia KY silk E.

      Kuhusu hiyo picha haya bwana, mimi sitii neno tena maana kipenda roho hula nyama mbichi, siwezi kushindana na cupcake alias Kelly01


      What are Kegel exercises for men?
      This exercises (Kegel or Kegal) were created in 1948, by Dr. Arnold Kegel to strengthen the pelvic floor muscles (they support your urethra, rectum, bladder and uterus). First they were created for women but now there are also Kegel exercises for men which can help you improve self-control during sex.

      The main thing that the same pelvic muscles are also involved in the ejaculation process. The contraction of the pelvic muscle (remember pubococcygeus) forces the ejaculate or seminal fluid from your prostate gland. Yes, these exercises were designed for women, but the same exercises can help men to gain control over the premature ejaculation.

      Men spend so much time at the gym working on their body muscles, but they often ignore their pubococcygeus. In fact, most of us don't even know about the pubococcygeus, though its role during male orgasm is hard to ignore. The pubococcygeus (it is also often called the PC muscle) can be strengthened to improve sex - power, length, and can be exercised without any equipment. They can be done at almost anytime and in any place. Nobody will even see!

      It may take 2 to 4 month before you see results. I did my Kegel exercises for men in a combination with Climinax (or better to say was taking Climinax and doing Kegels, because the main effect was from pills) so my girlfiend noticed great prolongation of our sex on the second week. If you suffer from premature ejaculation you can take pills without Kegels with great results. You can read my Climinax review or visit the official site.

      What can I expect from exercises for men? Do they work?
      Yes they do. You will experience such benefits if you do Kegels on a regular basis:

      Stronger pelvic muscles
      Increase the bloodflow to the genital area, and so support sexual arousal mechanisms
      Reduced "leaking" of urine and urinary incontinence (if you have any)
      Increased pleasure with your sexual activity
      Increased ability to have erections (longer and harder)
      How difficult are Kegel exercises for men?
      This exercises are

      Fast - just five to eight minutes twice a day
      This exercises are convenient. Do them while lying down, sitting, standing, watching TV or reading the newspaper. Atually I did them on the way to my work and back
      Kegel exercises for men are completely invisible to others. Nobody even can tell if you actualy are doing exercises now.
      Risk-free - in most bad case you will just work with a wrong muscle
      Simple - "flex" the pelvic muscle like holding back from or stopping urination. Hold the muscle for about 3 to 5 seconds, relax for about 3 seconds, then repeat.
      Painless! (You just can notice some unusual feelings at first but its only if you "overwork").
      Free - you even need no equipment!
      How do I find my PC muscles?
      Go to the bathroom
      In the middle of your stream of urine, stop and start the stream several times. PC muscles are the muscles you just used. Note, that at first you may also squeeze your anal muscles. As you become experienced, try to separate out different muscle groups that you are able to exercise by squeezing.
      Am I ready to do Kegel exercises for men?
      When you have identified your PC muscles, you are ready to start doing Kegel exercises for men. If you do too many exercises before you are ready (all like in gym), you might experience more or less pronounced muscle fatigue and/or soreness. So I do not recommend you to start out at the maximum number of exercises.

      How do I do Kegel exercises for men?
      To do the long Kegel exercises for men:

      Squeeze your PC muscles shut as tightly as you can and hold them so for as long as you can. Holding them for more than 10 seconds is not better.
      Then relax your muscles completely for 10 seconds. Make sure you relax them really for 10 seconds. And never less.
      Repeat. Try to do as many repeatings as you can (up to 15).
      Relax for a while. Congratulations, you have just done the long Kegel exercise.
      After this you should then perform the short exercise.

      To do the short Kegel exercises for men:

      Squeeze and hold for one second, then relax completely for one second.
      Repeat for a total of five times.
      Relax completely for ten seconds.
      Repeat the all above for 3 or 4 times.
      I can't hold them even for two seconds!
      When you start to do Kegels at first you may find that you can't even squeeze for a second or two. Guys, don't worry. This is typical. You can't keep it tight because the muscles just don't strength enough. Stop if you just can't squeeze them tight and your muscles have become fatigued. It's enough for that session. With an everyday practice, your muscles will become stronger and stronger. After a few weeks or months, you will be able to squeeze this PC muscles really tight for a full ten seconds doing the long exercises.

      Some tips?
      Empty your bladder before starting the exercises.
      Don't do Kegels while urinating. This may eventually lead to some voiding difficulties.
      Keep your thigh and abdominal muscles relaxed.
      Try to get the maximum tightening with each muscle contraction.
      Do not forget to breathe holding the muscles contracted.
      It is better to do fewer cycles, each with good form and tight control, than to do more cycles with poor form and weak control
      Good idea to contract the muscles while you are in different positions: sitting, standing, lying.
      How often should I do Kegel exercises for men?
      Try to have regular exercise sessions twice a day, but don't worry if you miss a session from time to time. I did Kegel exercises twice a day - in the way to my work and back. You will start to see results in 2-3 month. Individual results may varray. I did exercises (to end with my premature ejaculation) in a great combination with Climinax (read my Climinax review), so my girlfriend noticed that I can last longer on the second week.

      Am I doing the exercises correctly?
      You are NOT doing the exercises correctly if

      If you are holding your breath. (If you can talk normally and comfortably, then you are probably doing the exercises correctly.)
      Squeezing any other muscles, than the pelvic floor. These muscles are the only muscles that should be squeezed during the Kegel exercises. If you find yourself squeezing/stretching any other - hips, thighs, the lower abdomen, or elsewhere - stop and correct yourself. You will not benefit from such exercises.
      How can I remember to do my Kegel exercises regularly?

      Good idea to make Kegel exercises a Habit (did you read Stephen Covey?) The following tips may help you remember to do your Kegel exercises:

      Schedule your exercises at the same time every day. It can be your favorite regular TV show, while you do the dishes, when you wake up in the morning, after lunch or just before you go to bed.
      Reward yourself for each day that you do PC exercises twice a day. You could put a nice gold star on your calendar
      It is normal if you forget to do your exercises for a few days. It's common to have a few slips when trying to make any new change. Just get back to your exercises and don't get discouraged!

      Am I too lazy to do Kegels. What can I do?
      You can do nothing with it! LOL But you CAN do with your premature ejaculation. You may try Climinax.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    14. #31
      Bibie's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 82
      Rep Power : 542
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      They do work ninauhakika maana nifahamu watu wanao tumia na wako happy. Jaribu aina tofauti na kama umeshindwa hizo jaribu kutumia ginseng ya kichina ni nzuri kwa wanawake na wanaume.
      Bibie

    15. #32
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1551
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      LOL mna muda kweli nyie, no wonder wa Tanzania ni maskini/fukara.
      A positive thinker!

    16. #33
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,012
      Rep Power : 1410
      Likes Received
      178
      Likes Given
      105

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By FairPlayer
      LOL mna muda kweli nyie, no wonder wa Tanzania ni maskini/fukara.
      ..acha pumba wewe,sex ni major part katika maisha ya watu kila siku na kuna mengi ya kujifunza ili ndoa/uhusiano wa watu uwe mzuri,au ndio nyie mkisikia sex mnajidai ni ni haramu kuonglea kumbe mkipiga kona mnageuka haggard!
      "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

    17. #34
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,012
      Rep Power : 1410
      Likes Received
      178
      Likes Given
      105

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By Bibie
      They do work ninauhakika maana nifahamu watu wanao tumia na wako happy. Jaribu aina tofauti na kama umeshindwa hizo jaribu kutumia ginseng ya kichina ni nzuri kwa wanawake na wanaume.
      ...si useme tuu mnatumia na jamaa yako!
      "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

    18. #35
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,012
      Rep Power : 1410
      Likes Received
      178
      Likes Given
      105

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By james john
      Ndugu wana JF mimi nina tatizo la kuwai kuijaculate when am getting sex through uwa najitahidi kuicontrol hii hali ila nikipress dk moja mbili tayari through mi ni mgeni kidigo kwenye haya mambo huyu ndio mwanamke wangu wa kwanza kusex naye nina uwezo wa kurudia hata mara tano ila huwa namwaga fasta.JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NIFANYAJE?
      ...msaada wa nini wakati unakung'uta bao tano? sikumbuki last time nimepiga bao tano...nafikiri hilo la tano ni upepo tuu unatoka,naamini tatizo hufanyi foreplay ila usiwe na wasiwasi PE ni tatizo la kawaida sana kwa wengi...ila jitahidi kutumia njia nyingine kumweka mwenzako sawa maana wanawake unaweza kuwakojolesha bila kuingiza hiyo kitu yako,tafuta topic humu ya kuwakojolesha mademu kwa vidole (kuna video) angalia,wewe huna tatizo maana wanaume tunataka kukojoa tuu kumaliza nyege
      "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

    19. #36
      Lagatege's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th August 2008
      Location : Getini ikulu
      Posts : 408
      Rep Power : 630
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuwai ejaculation

      Quote By Nyani Ngabu
      Piga puli kabla hujadinya...
      Hapo puli haitasaidia si mumesoma hata akifanya mara 5 zote anawahi? Jaribu kupaka 'delay spray' utachelewa mpaka dakika 10-15.
      "Kila kukicha afadhali ya jana" Mrisho Mpoto-poet

    20. Mbu
      #37
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9992
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default Re: Kuwai ejaculation

      ...dunia hii inapita pamoja na mambo yake mgeukie muumba wako wakati wa ujana wako kabla hazijaja siku mbaya utakazo sema ningalijua
      ...sasa wewe nawe ndio unazidi kumtisha, unataka mwenzio aupe mimba mkono wake?
      #Dunia ni yako :Chaguo ni lako.



    21. #38
      Kafara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2007
      Posts : 1,051
      Rep Power : 837
      Likes Received
      24
      Likes Given
      12

      Default Re: Kuwai ejaculation

      Quote By Mbu
      ...sasa wewe nawe ndio unazidi kumtisha, unataka mwenzio aupe mimba mkono wake?
      kwi kwi kwi kwi kwi itabidi anywe vidonge vya kuzuia mimba basi kwi kwi kwi
      Huwezi kuacha kula samaki eti kwa sababu umpendaye alizama ziwani...

    22. #39
      Lagatege's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th August 2008
      Location : Getini ikulu
      Posts : 408
      Rep Power : 630
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Quote By Nyani Ngabu
      Bibie, hizo desensitizer nimeshazijaribu na hazifanyi kazi aisee...
      Ukipaka delay spray baada ya nusu saa au lisaa usioshe kabla ya mchezo utaharibu bali vaa condom nakuhakikishia at least 10-15mnts.
      "Kila kukicha afadhali ya jana" Mrisho Mpoto-poet

    23. #40
      nmiku's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th November 2008
      Posts : 38
      Rep Power : 545
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default Re: Kuwahi ejaculation

      Mkuu, mimi nataka nikupe sure means za kupata majibu ya swali lako. Kwa sababu hapa sitaweza kupata nafasi ya kukupa yote ninayotaka uyapate na kusatisfy kiu yako, nakupa mahala ambapo utapata 100% satisfaction. Wewe nenda 'google search' na andika 'premature ejaculation' na bonyeza. Chagua link yenye mwelekeo na ukibonyeza utapata hata zaidi ya unachotaka na utawafundisha hao wote wanaokupa majibu ambayo naona hayakusaidii bali kukupa hofu. Haya kazi kwako.

    Page 2 of 18 FirstFirst 123412 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Ejaculation During Exercise
      By Masanilo in forum JF Doctor
      Replies: 47
      Last Post: 18th February 2010, 12:28

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...