hv tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nn? na je wanawake huwa mnafeel nn wakat wa tendo na uume wa namna hii. je hii hawezi kusababisha ugumba?
hv tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nn? na je wanawake huwa mnafeel nn wakat wa tendo na uume wa namna hii. je hii hawezi kusababisha ugumba?
kuna jamaa yangu ana uume uliopinda kuelekea kulia 90 degree pind unapo erect pia anapesex manii huwa hayatok kwa kac yaani yanakua kama yanamwagka huku mengne yakbak kweny mrija. je hil halwez kuleta utasa? na je husababishwa na nn? je anaweza kutibka? wana JF 2naomba taaluma zenu juu ya hili.
kwani si unasimama
hakuna tatizo bana na wala halina effect yoyote kwenye sex na kutoka kwa shahawa bila speed sio kwamba hazina nguvu ni hali ya kawaida tuu
Ngoja waje madoctor watakupa zaidi
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
hivi hata mkienda hosp huwa mnasema jirani yangu anaumwa ama ni humu tu? afadhali ungeweka id ya kike ukasema 'hubby' ndo ana shida. kwa wanaume kujadili details personal kama hizi na mwenzio,zinanipa goose bumps... haya,muambie aende kwa 'urologist'
huh..................napita tu.
ndo ata mimi kwa kweli huwa nashangaa...kama apa jf tu ambako hamuonani bado mtu anajiuma uma ivi akifika kwa dokta si ndo atamsingizia shemeji wa mke wa mjomba ake..!!kha..alafu ayo machupi sjui maboxer ya kubana munayavaa mwez mwilini mnategemea nini,,,kile kitu kinahitaji vile vibukta vya kisasa vya kiume vya draft flan ivi madukani buku 5 kwa moja....kitu fulu upepo...kinaswing simple harmonic orijino nini pendulum.....nenda ukanyoroshweee!!
ushauri mwingine kweli ni kama nguvu za giza.
hahahaaa...!!wana jf bana!..eti rafiki yangu.mmh..!!.ngoja nifunguke.huyo rafiki yako ulijuaje shahawa zinabaki kwenye mlija?kwanini msiwe mnakuja direct?hamna tatizo.manii hayatoki kwa kasi kwa sababu unasex/kutombana mara kwa mara.kaa kama miezi sita uone manii yatakavyo toka kama lisasi.halafu mtalimbo kupinda ni kwa sababu ya kuvaa chupi zinazobana.so unakuta kila ukivaa huo mtalimbo unaulazia kushoto/kulia.huwa haina matatizo coz huwa inakuna vizuri na mashii wanapenda sana coz inagusa kila upande.mia
huna tatizo mwaya,ni jambo la kawaida uume kupinda ila usivae chupi za kubana sana,hio ya manii nayo sidhani ni tatizo una wasiwasi wa bure tu...
Follow Us Here